Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Mkuu uliona mbali
 
Mweee...
 
Tulikuwa tunasisitiza na bado tunasisitiza umuhimu wa kujenga taasisi imara na siyo mtu imara, John alijijenga yeye mwenyewe matokeo yake kauli za yeye kutawala milele zikaanza.

John alidhoofisha taasisi zote ndani ya nchi, zikafanya kazi kinyume na utaratibu, maneno yake yakawa ndiyo sheria. R.I.P Kiongozi katili kuwahi kutokea ndani ya nchi yetu nzuri tuliyopewa na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…