Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Post yangu ya tarehe 3 February 2021 wakati Deo Sanga anasema Magufuli aongezewe muda wa kutawala. Soma mstari wa mwisho hapo juu. YAMETIMIA
 
Mmh we jamaaa[emoji848][emoji848]
 
Duuuuh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Dua ya Kifo hiyo Samia watu kama hawa awafute tu uanachama... Viapo wao wanavichukulia poa tu
 
Hakika Mungu ni wa ajabu. Sifa na ukuu wake hazina mfano. Hakuna ajuaye kesho. Mungu akatuongize daima tujue kujipimia kwa kiasi na kwenda bila kiburi
Amen[emoji120][emoji120]
 
Reactions: BAK

Swali lako linaakisi hali iliyotokea.
 
Amen πŸ™πŸΎ πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Hakika Mungu ni wa ajabu. Sifa na ukuu wake hazina mfano. Hakuna ajuaye kesho. Mungu akatuongoze daima tujue kujipimia kwa kiasi na kwenda bila kiburi
 
Duh! Mkuu umeongea kama Lema vile na kweli ulichokisema kimekamilika.
 
Umeandika kwa hisia sana! ^Hakuna Katiba iliyo juu ya maslahi ya umma^


Nimekuelewa sana

cc:
UFIPA
BAVICHA
KAMBI RASMI YA UPINZANI
MR HEAVY
MR FARU J
MR ^MEEEEN^
MR ^MURA^
MR MUSIC
MR BISHOP
MS SAUTI YA Z
MS EM
MS EB
Copy yako imepokelewa kikamilifu hapa Ufipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…