Asubuhi ya mapema sanaKwa jinsi bunge lilivyo sahv lazima ipite hiyoo
[emoji23][emoji23]
Ova
Ila lisu ana gundu sana,Asubuhi ya mapema sana
We ulisikia wapi Chadema wakapata jimbo 1 tuu uchaguzi mkuu tena wa 2020
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Ccm Iko Tena Na Fitna Bungeni WamejazanaWameanza tena na upumbavu wao!
Hii ndio major target kwa awamu hii yaani kama hawajabadilisha katiba basi Mungu atakuwa katenda miujiza ulevi wa madaraka umewatawala hawa watu."Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga
#Bungeni
View attachment 1693592
Kumekucha sasa lile bunge la kijani linaanza kazi waliyoipigania .
Uchawi bungeni ushaanza eti wananzengo"Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga
#Bungeni
View attachment 1693592
Kumekucha sasa lile bunge la kijani linaanza kazi waliyoipigania .
Ila lisu ana gundu sana,
Kaifyekelea mbali TLS na Chadema hivyo hivyo,
Kaenda kujituliza zake Belgium.
kuna tofauti kati ya kupenda madaraka na kupenda kuogopwa.Hapana Mkuu. Mzee Magu anapenda madaraka kuliko hata uhai wake mwenyewe. Fuatilia matamshi na mwenendo wake.
Kikwete asingeondok huyo meko wao angekuwa raid?
...na Mbowe!Katumwa huyo.
Na "sisi" tunasema kwa kuwa amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais, tunataka aongezewe muda wa kuishi hata kama hatma yake imefika, tusikubali aondoke na kutuacha yatima.Deo Sanga: Mbunge wa Makambako said:Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka!
Had yesu arudiWale wa mitano tena 🖐️sasa hivi tuweke kauli mbiu gani jamani🙄🙄
Ndio, tunaweza kubadilisha katiba na kuongeza vipindi vya rais aliyepo madarakani kugombea, yaani kwa sasa anaruhusiwa kugombea mara mbili, tunaweza kuongeza hata mara nne au sita.
Wananchi wenyewe wataamua kupitia sanduku la kura, mbona Mheshimiwa Mbowe pale Chadema amegombea zaidi ya mara 3? Yupo in power kwa zaidi ya miaka 20. Kansela wa Ujerumani yupo in power kwa mda gani? Tuache uoga
Sent from my Android using JamiiForums mobile app