Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

amelewa cheo hajui vile tuna njaa kali
 

Huyo mbunge amepitishwa kwa amri ya huyo huyo rais, hivyo lazima atetee huyo rais aendelee kukaa madarakani maana ndio makubaliano ya yeye kuzawadiwa ubunge.
 
Huyo deo sanga hata shule tu hakusoma kabahatika kupata utajili wake wa wizi makambako pale ati anajiita jah people, naona kazi imeanza sasa.
 
Ameanza kutaka kuleta mambo yasiyofaa Magufuli keshasema kwa kinywa chake hata nukta ya mshale haitozidi kwanza keshachoka kuongoza wahuni wanaozamia ulaya kupitia ubalizi!
 
Yule hata siyo wa kupoteza muda kujadili kauli yake. Mtu ambaye hata kuandika tu ni shida, na alipelekwa shule, nadhani hiyo inathibitosha kuwa hafundishiki, na watu wasiofundishika ni wale wenye low IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwa taarifa huyo Deo Sanga ndio kutumika kufungua njia, utaona jinsi wanaojiita wasomi watakavyorukia hilo suala. Huyo anayesemekana atalazimishwa kukaa madarakani ndio anayeratibu zoezi zima.
 
Ngoja nigairi kufa kwangu nisubiri ngoma hii
 
Ameanza kutaka kuleta mambo yasiyofaa Magufuli keshasema kwa kinywa chake hata nukta ya mshale haitozidi kwanza keshachoka kuongoza wahuni wanaozamia ulaya kupitia ubalizi!

Kwa taarifa yako Magufuli anataka sana kuendelea kukaa madarakani, ila anajua wengi hawatakubali, anachofanya ni kuwatumia hao vibaraka wake. Utakuja kusema hapa.
 
Amkeni kumekucha sasa ile kauli mbiu imeanza, tunataka ukomo wa ubunge iwe mara moja tuu ili wawe na akili wazee wetu wachumia tumbo
 
lisemwalo lipo, kama halipo lipo nyuma laja
 
Wasitupigie kelele. Waongeze hata miaka 100 but Karma is real
 
Mbunge jimboni kwake shida zote wananchi hawazioni wanaona la mkulu kuongezewa muda,ili mbunge wao azidi kunona.
 
Mbowe miaka 20 sawa Chadema wajanja, Magufuli miaka 15 hapana, CCM wajinga.
 
Nzi wa kijani kichwani wamejaa tope tupu,yani wao kazi ni kumsifia meko na kumtukuza...heri covid iwachukue tu tupunguze wajinga tanzania ya viwanda
 
Wapumbavu hawatokaa waishe duniani!
 
Haya ndiyo vitu sisi tulikuwa tunazitaka sasa! Hongera sana Bunge letu. JPM is going nowhere. ^We will be back in some form^ ~ Donald Trump.

Trump can only be vague as the US is a real pain in his azz. But for Jiwe in his beloved TZ, it’s all plain sailing: he’ll certainly be back in the same form - possibly more awesome!
 
Hii dhambi ya jpm akiwa raisi wa milele ikifanikiwa TISS mna la kujibu huko ahela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…