King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Covid 19 watapinga kinafiki kwani nao wao sasa wako upande wa Jiwe.
Uviko19 watasupport kabisa wala hawatapinga kwa unafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Covid 19 watapinga kinafiki kwani nao wao sasa wako upande wa Jiwe.
amelewa cheo hajui vile tuna njaa kaliMBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Uchaguzi umefanyika Oktoba 2020, Novemba 2020 Raisi alilihutubia bunge na kueleza vipaumbele vyake. Februari mwanzoni 2021 yaani kama miezi mitatu au pungufu tangu aingie madarakani anatokea mtu anazungumzia kuongeza muda wa Raisi kubaki madarakani. Kwa miaka 5 ya uongozi wa kikatiba hata mwaka mmoja hajamaliza ; bado ana miaka 4 na miezi 9. Hivi hiyo ndiyo kazi ya mbunge?
Huyo deo sanga hata shule tu hakusoma kabahatika kupata utajili wake wa wizi makambako pale ati anajiita jah people, naona kazi imeanza sasa."Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga
#Bungeni
View attachment 1693592
Kumekucha sasa lile bunge la kijani linaanza kazi waliyoipigania .
Yule hata siyo wa kupoteza muda kujadili kauli yake. Mtu ambaye hata kuandika tu ni shida, na alipelekwa shule, nadhani hiyo inathibitosha kuwa hafundishiki, na watu wasiofundishika ni wale wenye low IQ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameanza kutaka kuleta mambo yasiyofaa Magufuli keshasema kwa kinywa chake hata nukta ya mshale haitozidi kwanza keshachoka kuongoza wahuni wanaozamia ulaya kupitia ubalizi!
lisemwalo lipo, kama halipo lipo nyuma lajaMBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Mbowe miaka 20 sawa Chadema wajanja, Magufuli miaka 15 hapana, CCM wajinga.Jiwe kapora kura za wapinzani na ndani ya ccm aliwakata wabunge wenye akili (mfano akina Adadi Rajabu, Andrew Chenge, Maganga Ngeleja, n.k) akapitisha wenye mtindio wa ubongo ili wapitishe maazimio ya kumbakisha madarakani.
Kwahiyo huu ujinga tulisha ufahamu tangu wakati wa mchakato wa kukata majina ya wagombea na kupora kura za wapinzani.
Nzi wa kijani kichwani wamejaa tope tupu,yani wao kazi ni kumsifia meko na kumtukuza...heri covid iwachukue tu tupunguze wajinga tanzania ya viwandaMBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Wapumbavu hawatokaa waishe duniani!MBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Haya ndiyo vitu sisi tulikuwa tunazitaka sasa! Hongera sana Bunge letu. JPM is going nowhere. ^We will be back in some form^ ~ Donald Trump.
Inaelekea ni mpango wa muda mrefu hao wanaoropoka ni wale ambao uvumilivu umewashinda au wamepewa kazi ya kutest mitamboHizi mbiu za rais kubakia madarakani si za kubeza.