Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

inspectorbenja acheni ujinga
Hii ni sawa kwa sababu umefanya wewe ila si ndugu yako, dada ako au mzazi wako kufanyiwa.
 
Kweli kabisa inavyoonesha hicho kidada chako kinaa mashauzi yake kimerequest afu tatu afu nyodo kibao na kutaka kumpelekesha dreva bajaj ya mil 10.3 kwa afu tatu pumbafuuu na hilo ni funxo kwa visonkolokwinyo wote
Nimesoma mwisho nikacheka. Bajaj ya 10m kwa abiria 3,000! Mbona hapa ni kama anaetoa 10m ili apate 3,000 ndio anashida? Si angetembelea na watoto wake kwenda beach ili aepuke kutumwa kwa 3,000.
 
Hv kuingiza chombo cha usafiri hapo mlimani c unalipia? Kwahy gharama zingekuwa za nani kati ya dereva au huyo babie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…