Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Mwali Corona ndo kashafika mkaribisheni muhangaike nae
 


Inaweza kuwa kweli kama mdhaniavyo, lakini vile vile inaweza kuwa sio kweli. What if alidanganya tarehe ya kuja ili akutane na mchepuko hotelini?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waiter zungusha ,


NASUBILI VYUO VIKUU VIFUNGWE TU , MAANA NIME POSTPONE KISA KUSHINGWA KUMALIZIA ADA , THEN MWEZI WA 10 NDO VIFUNGULIWE .
Mimi nasubiria magereza yafunguliwe ndugu zetu watoke
 
Waiter zungusha ,


NASUBILI VYUO VIKUU VIFUNGWE TU , MAANA NIME POSTPONE KISA KUSHINGWA KUMALIZIA ADA , THEN MWEZI WA 10 NDO VIFUNGULIWE .

Ila vifungwe baada ya kusaini Boom


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii mikusanyiko inayozungumziwa inaanzia watu wangapi?

Mkuu unaonaje makanisani, vyuoni ambako madarasa bado maisha kama kawaida, magerezani, kwenye misiba, harusi, nyomi za kwenye dala dala nk.

Tuanze na hizo kabla ya kwenda kwenye nitty gritty za mikusanyiko kuanzia wangapi au vipi mkuu?
 
serikali iliyopo madarakani ni makini hata usiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwa sawa
 
Ilitakiwa hata wale alioongozana nao kwenye ndege wafuatiliwe na kuchekiwa afya zao
 
serikali iliyopo madarakani ni makini hata usiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwa sawa

Mkuu kila kitu kuwa sawa bila jitihada ni more of a wishful thinking.

China finally Free From Corona Virus

China mambo yamenyooka kwa jitihada za makusudi.

Hizi zetu mipaka iko wazi, wageni wanaingia kama kwao hamna quarantine wala nini. Wengine wanaji quarantine wenyewe na hata kujipeleka wenyewe hospitali.

Kweli hatuna sababu ya kuhoji Ila tuamini tu kila kitu kitakuwa sawa?

The big question is how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…