Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Dont panic , hakuna kitu Bongo.Mkuu kwenye hili tumeandika kweli:
1. Sitisha mikusanyiko yote kwa angalau14 days.
2. Funga mipaka yote angalau 14 days
3. Sitisha miradi mikubwa ya maendeleo kwanza.
4. Ahirisha deadlines za kodi
Tupambane na huyu adui kwa nguvu moja. Huku tukiusoma upepo kwanza kuwa unaelekea wapi.
It is not life as usual any more. This is really emergency. Wewe huoni hivyo mkuu?
Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?
Huyuu mama mnamhukumu bila sababu ya msingi.
Inawezekana kabisa kama si tabia yake ya asili ya uchakaramu basi corona inaathiri ubongo pia, maana nimeona clips kadhaa watu wanafanya vitendo visivyo utu kama kutaka kuambukiza wengine kwa kusudi.Jana anasema kapona hivyo anataka kuoga na kujipoa apendeze aongee na watu, huyu zinamtosha kweli? Badala ya kuomba msamaha Kwa kutuletea janga yeye anawaza kujipodoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema kila wakati.Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.
Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.
Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.
Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.
Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.
Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.
Source: BBC Swahili leo.
Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."
At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Vyuo vikuu vimeshafungwaWaiter zungusha ,
NASUBILI VYUO VIKUU VIFUNGWE TU , MAANA NIME POSTPONE KISA KUSHINGWA KUMALIZIA ADA , THEN MWEZI WA 10 NDO VIFUNGULIWE .
Easier saying than doneKumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.
Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.
Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.
Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.
Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.
Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.
Source: BBC Swahili leo.
Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."
At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Mkuu kwenye hili tumeandika kweli:
1. Sitisha mikusanyiko yote kwa angalau14 days.
2. Funga mipaka yote angalau 14 days
3. Sitisha miradi mikubwa ya maendeleo kwanza.
4. Ahirisha deadlines za kodi
Tupambane na huyu adui kwa nguvu moja. Huku tukiusoma upepo kwanza kuwa unaelekea wapi.
It is not life as usual any more. This is really emergency. Wewe huoni hivyo mkuu?
Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?
Duuh bi maza huyo kama kinga zake zipo good ata survive.Mama mwenyewe huyu hapaView attachment 1391706View attachment 1391706
Kwahiyo alikuwa analijua hilo ndiyo maana aliji quarantine mwenyewe sasa si makusudi hayoMshaambiwa aliji'quarantine mwenyewe
Mnaumwa kbs nyie
Mnajiona TZ keki kwamba hamuwezi ugua sio
gonjwa liko Marekani nk nyie mna nini..inahusuu?
Asisafiri alizuiwa kwani!!?
AngefanyajeKwahiyo alikuwa analijua hilo ndiyo maana aliji quarantine mwenyewe sasa si makusudi hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kama ni vyema angeenda kwao moja kwa moja, Sasa hao wazungu kuna ndugu zao huku akifa si anakufa yeyeAngefanyaje
mbona wazungu walokutwa Zanzibar na Dar hamuwalaumu na hawajaji'quarantine?.!
Inawezekana Mkuu huna uelewa sana; Je kama Mataifa yamekuwa affected ndio nini hasa? Kuna kiwango cha athari na hatua za kuchukua kwa kadiri inavyozidi;Hana ustaarabu wowote, tarehe 3 March mataifa mengi yalikuwa affected, huo ustaarabu kwa nn asingeutumia kuahirisha hiyo safari? Usimtetee hana ustaarabu wowote!!!
Mzungu akija anaishi hotelini akihudumiwa na wazawa huoni risk ni ile ile kama Isabela alivyoenda HoteliBasi kama ni vyema angeenda kwao moja kwa moja, Sasa hao wazungu kuna ndugu zao huku akifa si anakufa yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza mwambukiza ndugu yako maradhi kwa makusudi? Wakati unajua hali yakwenu?Angefanyaje
mbona wazungu walokutwa Zanzibar na Dar hamuwalaumu na hawajaji'quarantine?.!
Hao wa hotelini sio watu?.Wewe unaweza mwambukiza ndugu yako maradhi kwa makusudi? Wakati unajua hali yakwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa ungeanzia Afrika sina hakika kama watu wangeingia Kule kwao kiholela, tena ndio ujikute mwafrika..
Na Kuna tetesi yule mgonjwa waliompima uwanjani walimwachia baada ya 'kuongea nao' , ni mgonjwa mtanzania wa asili ya Asia.Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.