Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Dont panic , hakuna kitu Bongo.Mkuu kwenye hili tumeandika kweli:
1. Sitisha mikusanyiko yote kwa angalau14 days.
2. Funga mipaka yote angalau 14 days
3. Sitisha miradi mikubwa ya maendeleo kwanza.
4. Ahirisha deadlines za kodi
Tupambane na huyu adui kwa nguvu moja. Huku tukiusoma upepo kwanza kuwa unaelekea wapi.
It is not life as usual any more. This is really emergency. Wewe huoni hivyo mkuu?
Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?
Lakini chukua tahadhari, maonyo ya kutumia condom ni more appropriate.
Kuna magonjwa mabaya zaidi.