Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Mkuu kwenye hili tumeandika kweli:

1. Sitisha mikusanyiko yote kwa angalau14 days.
2. Funga mipaka yote angalau 14 days
3. Sitisha miradi mikubwa ya maendeleo kwanza.
4. Ahirisha deadlines za kodi

Tupambane na huyu adui kwa nguvu moja. Huku tukiusoma upepo kwanza kuwa unaelekea wapi.

It is not life as usual any more. This is really emergency. Wewe huoni hivyo mkuu?

Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?
Dont panic , hakuna kitu Bongo.
Lakini chukua tahadhari, maonyo ya kutumia condom ni more appropriate.
Kuna magonjwa mabaya zaidi.
 
Huu ugonjwa ungeanzia Afrika sina hakika kama watu wangeingia Kule kwao kiholela, tena ndio ujikute mwafrika..
 
Jana anasema kapona hivyo anataka kuoga na kujipoa apendeze aongee na watu, huyu zinamtosha kweli? Badala ya kuomba msamaha Kwa kutuletea janga yeye anawaza kujipodoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa kama si tabia yake ya asili ya uchakaramu basi corona inaathiri ubongo pia, maana nimeona clips kadhaa watu wanafanya vitendo visivyo utu kama kutaka kuambukiza wengine kwa kusudi.
 
Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.

Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.

Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.

Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.

Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.

Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.

Source: BBC Swahili leo.

Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."

At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Mungu ni mwema kila wakati.
Kuna ule msemo kwamba ugonjwa wa mafua hauwaui watu weusi(waafrika).
Kuna ukweli katika hili la korona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.

Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.

Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.

Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.

Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.

Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.

Source: BBC Swahili leo.

Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."

At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Easier saying than done
 
Pia ongeza hapo chini kwamba wadai waahirishe kudai marejesho kwa miezi 6
Mkuu kwenye hili tumeandika kweli:

1. Sitisha mikusanyiko yote kwa angalau14 days.
2. Funga mipaka yote angalau 14 days
3. Sitisha miradi mikubwa ya maendeleo kwanza.
4. Ahirisha deadlines za kodi

Tupambane na huyu adui kwa nguvu moja. Huku tukiusoma upepo kwanza kuwa unaelekea wapi.

It is not life as usual any more. This is really emergency. Wewe huoni hivyo mkuu?

Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?
 
Watoto below 5 nasikia Ni ngumu sana kuupata na wanaopata wanarecover faster,hii inafanya wataalamu kukuna vichwa,why?.
 
Mshaambiwa aliji'quarantine mwenyewe

Mnaumwa kbs nyie
Mnajiona TZ keki kwamba hamuwezi ugua sio

gonjwa liko Marekani nk nyie mna nini..inahusuu?
Asisafiri alizuiwa kwani!!?
Kwahiyo alikuwa analijua hilo ndiyo maana aliji quarantine mwenyewe sasa si makusudi hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana ustaarabu wowote, tarehe 3 March mataifa mengi yalikuwa affected, huo ustaarabu kwa nn asingeutumia kuahirisha hiyo safari? Usimtetee hana ustaarabu wowote!!!
Inawezekana Mkuu huna uelewa sana; Je kama Mataifa yamekuwa affected ndio nini hasa? Kuna kiwango cha athari na hatua za kuchukua kwa kadiri inavyozidi;
Ndio maana unaweza kuona Tangu imeingia kwenye baadh ya mataifa, Haikuwa tu Ghafla watu kuacha kwenda Chuo, Shuleni, walifanya maamuzi hayo baada ya Athari kufika kiwango fulani;

Lakini unafahamu Ndege sio basi, Unaona Amesafiri 03 lakini sio kwamba hapo ndo alikuwa amekata Ticket same day.

Lakini kwa akili ya Kawaida tuu, Kama Flight yako tu haijaahirisha safari wewe unaahirisha? nchi unayoenda Haijazuia watu wewe Utajizuia mwenyewe? Unajua Gharama ya kuahirisha Flight?

Kwa hiyo unaweza kusema kwamba Yeye amelipa Nauli yake aende tu akauchukue? Really? Yaan hakika watu wa nchi yangu Tz huwa wakati mwingine mnafikiri kwa Low Profile sana.

Usiwaze tu kwa upande mmoja tu, na usikashifu watu hivyo mkuu.
 
Basi kama ni vyema angeenda kwao moja kwa moja, Sasa hao wazungu kuna ndugu zao huku akifa si anakufa yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu akija anaishi hotelini akihudumiwa na wazawa huoni risk ni ile ile kama Isabela alivyoenda Hoteli

ila mawe anarushiwa Isabela tu
Double standards!
 
Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.

Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.

Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.

Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.

Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.

Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.

Source: BBC Swahili leo.

Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."

At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."
Na Kuna tetesi yule mgonjwa waliompima uwanjani walimwachia baada ya 'kuongea nao' , ni mgonjwa mtanzania wa asili ya Asia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom