Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

Mlete habari iliyokamilika.
Mara dereva wa Mtei Express mara wa Maning Nice.
Mna wanasheria?

Andikeni habari yenye usahihi.
 
Mtu anauawa ndani ya nchi yake na raia wa kigeni huku watanzania wenzake abiria wanaangalia?!
cha muhimu kwa sasa ni taarifa ya polisi,watuambie, hao walikuwa wageni? wameshakimbilia kwenye nchi zao? swali lingine kama walikuwa watz wameshakamatwa? tunataka kuwaona wamekamatwa na wanapelekwa mahakamani.
 
Mlete habari iliyokamilika.
Mara dereva wa Mtei Express mara wa Maning Nice.
Mna wanasheria?

Andikeni habari yenye usahihi.
awe wa mninga au wa mtei, hoja ni kwamba kuna mtu kauawa na madereva malori ya rwanda, cha muhimu ni hao wauaji wakamatwe. kwani kuna ubishi kwamba kuna mtu kafa hapo? au shida yako wewe ni kujua basi lipi tu.
 
Anapigwa abiria wanaangalia tu, hapa Kuna ufafanuzi unahitajika.
 
Kama ni kweli then watanzania ni waoga sana, yaani dereva anapigwa nyie abiria mnaangalia tu badala ya kuingilia na kuamulia!!
 
Mpaka tupate habari ya upande wa pili.

Nijuwavyo nadereva wa mabasi ndiyo huendesha vibaya, wanajimwambafai sana barabarani.
 
imagine, hadi sasaivi polisi hawajatoa taarifa yeyote kuhusu hili. hao ndio wanalinda wananchi na mali zao kweli?
Dereva wa lori ni mtanzania utingo mnyarwanda
Na pale walipokuwa wanagombana abiria walikuwa bize wanachukua video badala ya kuamulia....
Huyo dereva wa bus alienda polisi alifungua file la kushambuliwa akaruhusiwa Alifia huko mbeleni
Itakuwa wakat anafatilia matibabu
Dereva wa lori mtz na utingo mnyarwanda wote wanashikiliwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…