Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Na wewe ni walewale tu, your points are illogicalKwa hiyo alikuwa ana pambana na walevi na watu Waliokuwa na silaha. Sasa hapo abiria wangepambanaje na walikuwa hawana silaha. Ku rekodi angalau kuna saidia kutoa ushahidi
Nani kakwambia Hao madereva wa roli ni watutsi? Inaweza kuwa wabongo wenzetu, kuna wabongo wana roho mbaya sana.Watutsi sio watu kabisa lakini kuna Wabongo wanawashobokea sana,wale watu wamezoea kuuana huko kwao.
???????NImekutana na clip moja imeharibu siku yangu yote. inaonyesha dereva wa mtei anakata roho na kuna wanaume wameshika fimbo inaonekana ndio wamempiga, inasemekana ni madereva wa lorry. ni kweli?
wanadamu sometimes wabaya sana sana.
View: https://x.com/i/status/1831253133109899406
Nimeandika hili tukio ni reminder ukiwa unakufa watanganyika watakurekodi waweke status nikimaanisha kila unachofanya cha hatari uwe makini kwani mtetezi wako wa kwanza ni wewe.Sasa wewe ulifikiri ukiwa mbele ya watu ndio upigane hovyo utegemee waingilie ugomvi wajo wa kupuuzi? Utakufa huku unaangaliwa tusubiri polisi waje wakutupe nyuma ya defender lao.
Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?
Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...
Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..
View attachment 3087265
View attachment 3087267
=====
UPDATES KUTOKA JESHI LA POLISI
View attachment 3088120
ILA ABIRIA WAMENIKWAZA SANA!!YAANI MTU ANAPIGWA NYIE MNACHUKUA VIDEO BADALA YA KWENDA KUAMULIA!!Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?
Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...
Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..
View attachment 3087265
View attachment 3087267
=====
UPDATES KUTOKA JESHI LA POLISI
View attachment 3088120
Nyie watu mnachekesha sana. Sasa dereva kashuka kaenda kumshambulia dereva mwingine, wewe ungekuwa abiria na wewe ungeshuka kwenda kuamulia au kuingilia ugomvi usiokuhusu?ILA ABIRIA WAMENIKWAZA SANA!!YAANI MTU ANAPIGWA NYIE MNACHUKUA VIDEO BADALA YA KWENDA KUAMULIA!!
masuala ya kazi, biashara, na ujana pia. nilizaliwa nikikataa kutawaliwa, kuonewa au kusumbuliwa na mwanadamu. ni Mungu tu ametusaidia tumeokoka, ama la..Kwanini ulisomea Sasa? Imekusaidia nini?
Kuamulia ugomvi ni busara zaidi maana inaepusha matatizo kama haya ya vifo etcNyie watu mnachekesha sana. Sasa dereva kashuka kaenda kumshambulia dereva mwingine, wewe ungekuwa abiria na wewe ungeshuka kwenda kuamulia au kuingilia ugomvi usiokuhusu?
Huyo dereva mwingine hata mahakamani anaweza kujitetea self defence. Kwa sababu maelezo tuliosikia ni kuwa dereva wa bus kamzibia njia halafu kamfuata kwenye gari lake kaanza kumshambulia.
Mfano wewe ungekuwa na gari yako umemkosea dereva huyo wa bus baadae anakuchomekea anashuka anakuja kukushambulia ungefanyaje?
Busara zaidi ni kukaa mbali na ugomvi usiokuhusu. Kuna watu wengi walijaribu kuamulia ugomvi wakaishia kujeruhiwa wao.Kuamulia ugomvi ni busara zaidi maana inaepusha matatizo kama haya ya vifo etc
sawaBusara zaidi ni kukaa mbali na ugomvi usiokuhusu. Kuna watu wengi walijaribu kuamulia ugomvi wakaishia kujeruhiwa wao.
Ndo unyumbu unapokuja hapa.Nyie watu mnachekesha sana. Sasa dereva kashuka kaenda kumshambulia dereva mwingine, wewe ungekuwa abiria na wewe ungeshuka kwenda kuamulia au kuingilia ugomvi usiokuhusu?
Huyo dereva mwingine hata mahakamani anaweza kujitetea self defence. Kwa sababu maelezo tuliosikia ni kuwa dereva wa bus kamzibia njia halafu kamfuata kwenye gari lake kaanza kumshambulia.
Mfano wewe ungekuwa na gari yako umemkosea dereva huyo wa bus baadae anakuchomekea anashuka anakuja kukushambulia ungefanyaje?
Hii taarifa haijitoshelezi nachokiona.cha muhimu wamekamatwa au wameshakimbilia nchin kwao. tunataka kusikia hili. polisi wapo wapi?
Kivyovyote hata wewe lazima kuna chochote utapoteza.Nyie watu mnachekesha sana. Sasa dereva kashuka kaenda kumshambulia dereva mwingine, wewe ungekuwa abiria na wewe ungeshuka kwenda kuamulia au kuingilia ugomvi usiokuhusu?