Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Mfano mimi abiria nishuke nianzishe vurugu je dereva anaweza kushuka kuja kunisaidia? Au atawasha gari aondoke na kuniacha? Nimewaza tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuja kukusaidia ndio maana alishuka kuwasaidia maana amebeba Roho za watu wakamuua yeye sababu amefelisha mpango wao wa kuwaua abiriaMfano mimi abiria nishuke nianzishe vurugu je dereva anaweza kushuka kuja kunisaidia? Au atawasha gari aondoke na kuniacha? Nimewaza tuu.
Kwenye bus Wewe ulitaka wawe Wapi?Abiria walikua wapi?
Hawakuona wala kuingilia?Kwenye bus Wewe ulitaka wawe Wapi?
Angalia clip hio huyo muuaji anaonekana anazunguka na Chuma hilo baadhi ya abiria wapo pembeni hapo au huoni Jamaa anakata roho abiria wamevurugwa angalia tena clip vizuri au unaogopa?Hawakuona wala kuingilia?
Hakuna Kampuni ya maroli inayochukua miaka 25 ni kuanzia Miaka 35 kuendelea na uwe na uzoefu Miaka isiyopungua 5/6 ndio wanakupa kazi, Kampuni nyingi ndio ipo hivyo kwa hio muuaji kilichosababisha aue sio umriDereva wa lori,wangeakuwa angalau kuanzia mika 40 na kuendelea.
Mambo yamebadilika sana siku hizi.Ndo unyumbu unapokuja hapa.
Kujibizana barabarani kupo, ila linapokuja suala la wachache wanapigana mpaka kuuana bila kujali sababu na wengi mpo mnatazama huku mkirikodi, nyinyi mnaotazama mkirikodi ni wajinga tu kama wajinga wengine mfano wanyama nyumbu n.k
Alieenda kumwambia mwenzie unaendesha lafu ni dereva wa bus sio dereva wa Lori, kitendo cha dakika ngapi huku umebeba roho za zinazokulalamikia dereva huyo mwenye Lori anataka kutuua?na ana sifa za kijinga kujiona anajua kuendesha sana. Hivyo,angekuwa na akili timamu,akimuona mwenzie yuko lafu,kumuacha kwani kitendo cha dakika ngapi?
Kabisa mkuu, bora kuamini upo mwenyewe hata kama umezungukwa na watu.Mambo yamebadilika sana siku hizi.
Mtu anaweza akapigwa hadharani mchana kweupe mbele ya umati wa watu na hakuna atakayekuja kumsaidia/kumnusuru.
Hii hali nimeiona sehemu kadhaa sasa hapa duniani. Si Tanzania tu.
Tena mbaya zaidi, badala ya watu kutoa msaada, kila mmoja wao atatoa simu yake na kuanza kurekodi huku wakishindana nani atakuwa wa kwanza kurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Hali imekuwa tofauti kabisa.
Zamani haikuwa hivyo. Mimi nakumbuka kabisa ilikuwa ikitokea ugomvi wa kupigana, watu [strangers] walikuwa wanaingilia kati na kuamulia ugomvi.
Siku hizi cha muhimu siyo utu. Cha muhimu ni mitandao ya kijamii na ‘likes’ zake.
Binafsi nimebadili kabisa mentality siku hizi.
Nikiwa kwenye public, najichukulia kama nipo mwenyewe tu.
jifunzeni uungwana, ubabe usio na kichwa wala miguu matokeo yake ndio haya unauawa watu wanaanza kulaumu abiria kwanini hawakuingilia.Kivyovyote hata wewe lazima kuna chochote utapoteza.
1. Hilo basi lilijiwasha likaendelea na safari? Kama jibu ni hapana,basi hata muda ni kitu cha thamani. Ugomvi ungeamliwa,safari ingeendelea.
2. Muuaji kaxhukua maamzi ya kijinga sana. Ila si kwamba ameamka akiwa amedhamilia kuua. Kwa hiyo,jiangalieni sana. Unaweza chukizwa na kitendo alichofanya, ngumi moja au kofi,kisa umekasilishwa na alichofanya, kikakusababishia kufungwa maisha. Vitu vingine ni vya kuwa makini sana
✍️✍️Hasira za barabarani ni mbaya, tujifunze kudhibiti hisia zetu ma ujue kuwa kuna watu ni machizi zaidi yako ama wana hasira zaidi yako. Huwezi jua atafanya nini ukimfuata. Usishuke kwenye gari yako ukifanyiwa rafu samehe na endelea na safari yako. Hakuna aibu kupisha ugomvi
Kwa hio angemuacha tu aue tu abiria walio kwenye Gari na Lori lake? Maana it was do or die fanya au ufe ushaelewa angezembea yule Muhuni alidhamilia kuua abiria ndio maana kamuua dereva kwa kukwamisha mpango wakejifunzeni uungwana, ubabe usio na kichwa wala miguu matokeo yake ndio haya unauawa watu wanaanza kulaumu abiria kwanini hawakuingilia.
Wanyama ndio wanaopigana hovyo. Kama una akili timamu tumia busara na sio kupigana ukitegemea watu wengine waingilie. Pigana kufa at your own risk.Ndo unyumbu unapokuja hapa.
Kujibizana barabarani kupo, ila linapokuja suala la wachache wanapigana mpaka kuuana bila kujali sababu na wengi mpo mnatazama huku mkirikodi, nyinyi mnaotazama mkirikodi ni wajinga tu kama wajinga wengine mfano wanyama nyumbu n.k
Alishaepusha ajali, angeenda mbele akawapa taarifa askari wakamsubiri huko. Kuzuia lori na kuanza kupigana kumesaidia nini sasa?Kwa hio angemuacha tu aue tu abiria walio kwenye Gari na Lori lake? Maana it was do or die fanya au ufe ushaelewa angezembea yule Muhuni alidhamilia kuua abiria ndio maana kamuua dereva kwa kukwamisha mpango wake
Loli la Rwanda hao ni wanyarwanda wana roho chafu ya kuuana kwao kuua mtu ni kama kuua kuku genocide ni kielelezo toshaNani kakwambia Hao madereva wa roli ni watutsi? Inaweza kuwa wabongo wenzetu, kuna wabongo wana roho mbaya sana.
Wewe umewahi hata kuendesha Gari ukayaona madudu ya madereva barabarani au unaropoka ropoka tu, yeye kaenda kuzungumza nae km dereva mwenzie sio ugomvi na ubabe nyinyi ndio mnakuza mambo na kumfanya marehemu km ana makosa wakati alichokifanya kwa Usalama wa abiria ni sahihi au ulitaka wafe abiria zaidi ya 30 ndio ufurahi hivi kumbe kuna watu ni Mazuzu humu Jukwaani halafu wanajiona ni GT?Wanyama ndio wanaopigana hovyo. Kama una akili timamu tumia busara na sio kupigana ukitegemea watu wengine waingilie. Pigana kufa at your own risk.
Hoja hapa si waliopigana, ni unyumbu wa wanaotazama wakirikodi. Unadhani hiyo tabia ya kutazama na kurikodi inaishia kwa wapiganaji tu, hata ukavamiwa na fisi akaanza kukurarua nyumbu watarekodi utafunwe kila kitu huku wakiambatanisha na emoji za masikitiko.Wanyama ndio wanaopigana hovyo. Kama una akili timamu tumia busara na sio kupigana ukitegemea watu wengine waingilie. Pigana kufa at your own risk.
Ntakupa scenario moja:Hoja hapa si waliopigana, ni unyumbu wa wanaotazama wakirikodi. Unadhani hiyo tabia ya kutazama na kurikodi inaishia kwa wapiganaji tu, hata ukavamiwa na fisi akaanza kukurarua nyumbu watarekodi utafunwe kila kitu huku wakiambatanisha na emoji za masikitiko.