Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

Koh Koh koh.......!
yao yao .......!!
Jeshiiiiiiiiii.......!!!
konde boyyyyy.....!!!!
😁😃
in harmonize vocal.....??
 
Vyovyote ilivyokuwa huyo askari hakuwa na haki Wala mamlaka ya kumuajibisha huyo raia. Yeye siyo Hakimu Wala jaji bali ni ubabe tu wakijinga na kafanya hivyo kwa vile kaona yuko na back up ya wenzake nina uhakika km angekuwa peke yake asingefanya huo upuuzi. Huyo ni askari kanjanja anatakiwa afukuzwe kazi mara moja akalime kwao kijijini.
 
Km unazijua haki zako na unaishi hapa Duniani bila kumsujidia mtu huwezi kusema hivi. Nyie ndiyo mnafanya wanaume wa Dar wanadharaulika. Wapi kuna sheria inayosema usi overtake gari la jeshi au police. Hivi bado Kuna Watanzania ambao bado mna element za kijima za kumuona askari km umekutana na koboko. Badilikeni, nje ya uniform anazovaa akiwa kazini askari yeyote ni raia km wewe ana haki km raia wa kawaida. Ndiyo maana akiibiwa au kupigwa atakwenda police kufungua jalada kinyume na hapo ni kwenda kinyume na sheria za nchi na atashitakiwa km raia wengine.
 

Etiiii!!!
 
Kosa ni ku mu over take or Kuna lingine mkuu

Hapana mjeshi alikuwa analazinisha kuovertake dereva wa saratoga akawa anamzuia maana huyu mjeshi huenda angesababisha ajali sasa ile kuziiwa alafu mbeleni ndio akamruhusu kumbe koplo nae alikuwa kashajaa upepo ikabidi atembeze kadebra kidogo kwa raia
 
Mkuu kwani haiwezekani kulipua kwa nyuma?
 
Ivi mjeda ukimpiga za usoo akaona wazungu mia mia Kuna kesiii🤣🤣🤣,inamaana Jamaa hawapihiki mbona always wao Ndo hupiga....ukute hapo dogo anamiaka 28 kampiga baba 45....seeee mi namwonyesha ukengee labda wawe 7.
 
Akili yako inawaza ngono tu hapo hakuna kingine. Sitaweza kuelekezana na mtu anaewaza ngono tu kuwa ndo kitu watu wanachofanya kila saa. Kwa heri.
 
Akili yako inawaza ngono tu hapo hakuna kingine. Sitaweza kuelekezana na mtu anaewaza ngono tu kuwa ndo kitu watu wanachofanya kila saa. Kwa heri.
Yaani wewe ningekuporomoshea matusi ya nguoni

Wewe ukilala unautwanfa usingizi unajua kuna wanajeshi majeshi yote wako shifti hawalali ili wewe ukorone usingizi mnono huku ukishika baby wako nkikia mintage vitandani mwenu hopeless wewe.

Jinga kabisa wewe Ukiona gari yeyote ya jeshi lolote pisha ukiwa na hicho kigRi chako kilichookotwa majalalani japani au ulaya ukauziwa kama used car

Mungu nisaidie mimi kiumbe dhaifu nisikuporomoshee matusi ya nguoni wewe
 
Teh teh teh. Acha mikwara hiyo, sasa matusi mimi yatanifanyaje yatanitoboa au kunivunja? Nahisi unasumbuliwa na PMDD wewe wahi hospital ukapate dawa.

hao wanajeshi unaosema hawalali hawafanyi hizo kazi bure, wanapata pesa kutoka kwenye kodi ninayolipa. nawezaje kutoa shukrani kwa mtu anayetimiza wajibu wake? Nyie ndo wale "tunaishukuru serikali imejenga madarasa" wakati ni wajibu wake.
 
We unazani kila mwanajeshi akiamua kujichukulia sheria mkononi kama alivyofanya huyo nchi itakuwaje msipende kusifia ujinga
 
Oooh hapo sawaah
 
Kambini ni eneo la jeshi raia ulienda kufuata nini ike sio sehemu ya kwenda kupiga picha za selfie na hawara zako

Tena hao walikuhurumia nadhani uliingia kambi ambayo wababe walikuwa wameenda kulewa officers mess
Ila wanajeshi wana hulka ya kupiga mnoo, sijui hata nisemeje ila bas tyuhh aaaah
 
Mbna povuu sanaa wee mzee, au huna gari wee? Maana sio kwa omo hii khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…