TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Au wamesha mchacha wangwe!?
 
Inaelekea ni risk sana kuwahudumia viongozi wa upinzani Tanzania kwasababu kuna Uzi uko humu ukimuonyesha dereva huyuhuyu Kwa jina maarufu Maradufu alivamiwa na kukatwa mapanga mwaka 2017.
 
Chama letu la ukombozi kama mnanisikia. Hawa watu tunaopambana nao wana zana za kila namna iwe za wazi ama vitisho hata kwa wenye lorge. Bora kuingia gharama ndogo fulani.

Mnachukua vyumba mahala fulani na kujifanya mupo hapo then mnatoka kwa kisiri mmoja mmoja kwenda gest zingine kwa kificho. Bora hata muwe mnalala kwenye nyumba za wanachama sehemu husika kwa siri kubwa.
Hii nchi tulipofikia sio salama kabisa.
 
CCM hawatokubali kuachia Dola kirahisi

Ili kuwaondoa CCM inabidi ili anaewatoa madarakani atumie nguvu kubwa kuliko ile walioitumia 29/10/2025 kubaki madarakani

Siyo kwa maandamano Wala sijui migomo,no

CCM wanaijua lugha moja tu ya ukatiri,basi
 
DEREVA WA JOHN HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU ZIMETAPAKAA KWENYE SAKAFU.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche

Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma.

Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.

Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.

Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa.

Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
 
Wanaoqndamana wanawapambania hata nyinyi walimu ******* *******.
Chaki zimekuchanganya huoni umhimu wa watu kupambani haki msenge wewe
Response yako tu inaonyesha maisha yako yalivyo magumu kuanzia uchumi hadi saikolojia.

Na kama unawashwa kinyeo naweza kukupa msaada kwa kukuzibua chamber, wewe hadi wazazi wako
 

Wadhalimu hawachoki

Toka mkataba
Facebook Β· JamiiForums
940+ reactions Β· 8 years ago

TARIME, MARA: Dereva wa Mbunge John Heche alivamiwa na watu ...


Dereva huyo aliyefahamini kwa maji Suez Daniel Maradufu amepata majeraha kichwa na anaendelea na matibabu Hospitalini hapo
 
Huna IQ Wala chochote Cha kunichalenji sycophants mmoja wewe.
Abdul anakula maisha huko ,umelewa chaki unaaza kuongea ujinga hapa .
Acha kuramba matal#k@ ya mbogamboga takataka wewe
Naweza kulamba hata matako ya baba yako na nikampiga ukuni. Hata kama alishakufa naweza kuingilia hata kiunzi chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…