TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

At least umekuja kivingine
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Siasa inalipa ila ya upinzani inalipa zaidi tena hapo kwa papo
 
Unabisha nini' na unaongea nini' Sasa?!! Si ndo yaleyale niliyoyasema; kukimbilia kulaumu watu ndivyo mlivyojiandaa hivyo Ili mradi tu shutuma ziwe zinamuendea Samia. Huyo dereva sijui kama unafahami chochote kinachomuhusu kuhusu maisha yake kwa ujumla lakini tayari, kwa maelekezo ya kina heche, lissu na kitima, umeshafika hapa mbio kumlaumu Samia.

Haina shida, tupo tunaomuombea kheri na tunaamini Mungu atamvusha salama.......chuki, wivu, husda, uongo, roho ya kishetani ya mauti vitatupiwa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mbali huko
Inaonekana umezoea mipasho na upashkuna.
Muda wa kujihangaisha kukujibu chawa promax kama wewe sina.
Endelea kutetea na kukumbatia maovu yatendwayo na hao wanaokutuma.
Ila mtambue tu kuwa siku zote uovu una mwisho. Hakuna jamii itakayo vumilia kufanyiwa matendo ya kikatili siku zote.
 
Inaonekana umezoea mipasho na upashkuna.
Muda wa kujihangaisha kukujibu chawa promax kama wewe sina.
Endelea kutetea na kukumbatia maovu yatendwayo na hao wanaokutuma.
Ila mtambue tu kuwa siku zote uovu una mwisho. Hakuna jamii itakayo vumilia kufanyiwa matendo ya kikatili siku zote.
Mi pia sina muda wa kulijibu linyumbu lisilojielewa, liongo na lililojaa chuki kwa mtu. Maovu mnayatengeneza wenyewe chadema halafu mnajifanya kutoka kunyooshea watu vidole......pumbavu zenu magaidi wakubwa nyie. Unamtisha nani hapa mtoto mzuri kama wewe?!!
 
Kwamba asijitete ili wamfunge kwa kumkuta na hatia akose sifa za kugombea urais siyo? Na badae wampe msamaha wa rais uku akiwa kapoteza sifa za kua kiongozi hasakigombea urais

Unadhani lissu ni mjinga kijitetea
Some time chadema ni vipofu sana..nilisema hapa jf hata kesi ya lissu ingependeza zaidi kama lissu angekataa kutoa ushahidi au kujitetea hivyo kuiacha kesi isikilizwe upande mmoja..kwa sababu isha Julikana dunia nzima kuwa mahakama na hiyo kesi inafuata amri za Rais
 
Kwamba asijitete ili wamfunge kwa kumkuta na hatia akose sifa za kugombea urais siyo? Na badae wampe msamaha wa rais uku akiwa kapoteza sifa za kua kiongozi hasakigombea urais

Unadhani lissu ni mjinga kijitetea
Kwa akili finyu kama zako ni ngumu kuelewa ..kuhusu kumfunga wakitaka wanamfunga hata akijitetea namna gani ...usidhani wanashindwa kumfunga kwa sababu ya kujitetea kwake bali kuna sababu tofauti na hizo ndiyo zinamfanya samia na ccm wasimfunge lissu ... kuhusu kugombea pia umesahau kuwa CCM ndiyo ilitamani sana chadema wagombee urais 2025 na huyo lissu ashiriki..unajua kwa nini ...hoja siyo kugombea, ccm awaogopi mgombea wa upinzani kugombea maana wao awapatagi ushindi kwa kura ..tumia akili kijana
 
Exactly! Kikwete alikuwa mfano mzuri! Hata Samia alitaka kuifanya NCHI iwe na democrasi na uchumi imara!
Tatizo watz hawana jema na hawana subra..mama wa watu akahamua afuate siasa za magufuli ili kuwaunga mkono kina Tlaatlaah and the like
Siyo hawana jema ni wapinzani. Nchi yenye kufuata mfumo wa vyama vingi lazima kutakuwa na wapinzani lazima kutakuwa na ushindani kisiasa. Mabishano yote ya kisiasa yanaamuliwa na sanduku la kura. Siyo na utekaji.
 
Jiwe ndio muhasisi wa siasa za mauaji! Na uminyaji democrasia,na mengineyo!

Mama wa watu alivyoingia madarakani akasema tulipotoka pabaya sana, nataka tufungue ukurasa mpya,na pia sitokusanya kodi za dhulma!

Kweli bwana! Waliokimbia Nchi wakarudi,waliozuiliwa pesa zao (freeze) zikarudishwa, umeme tukashushiwa bei ikawa TSH 27000/= nashukuru Mungu nilinufaika na ilo punguzo la umeme,

Vijana wetu waliosotea ajira miaka yote ya jiwe ,alivyoingia huyu mama akatoa ajira!

Sasa bwana! Kumbe binadamu akishazoea shida ni ngumu' kumnasua huko,anaweza hata akakuua
Wapuuzi wakaanza sasa maneno yao" Mara Samia anamkosoa na kwenda kinyume na magufuli,mara anamsimanga,mara kwann ashushe bei ya umeme shirika litashindwa kujiendesha,
Yaani ikawa upuuzi mtupu kabisa!

Sisi wengine humu tulitoa ushauri serikali ya awamu ya sita ifanye kama alivyokuwa anawafanyia jiwe hawa mbuzi wasio na shukurani kama Wana wa Israel na mola wao ....
Kwenye umeme umechanganya files,27k aliiacha magu!
Wengine wakasema inanyonya shirika.
 
Idara ya usalama ifumuliwe coz badala ya kulinda taifa yenyewe inafanya compromise ya kulinda maslahi ya wachache!!

Kama waliotekwa na kuuawa ni kwa ajili ya maslahi ya taifa ni sawa maana Kuna watu hufa kwa ajili ya taifa lao!

Lakini

Kama ni kwa maslahi genge fulani,basi tumefeli pakubwa sana!!
Ni nani anaifumua?
Hao watakaokua kwenye team mpya watatokea wapi?
Kwa kifupi tutaishia kuugulia maumivu tu 😢
 
Kwenye umeme umechanganya files,27k aliiacha magu!
Wengine wakasema inanyonya shirika.
Angalia mlivyo wasahaulifu?? Umeme bei alishusha Samia, na nyie wapumbavu mkaanza kumnanga kuwa ataua shirika kwa punguza bei ya kuunganisha umeme!
Nyie Kila kitu mnakinasibisha na dikteta jiwe!
 
Angalia mlivyo wasahaulifu?? Umeme bei alishusha Samia, na nyie wapumbavu mkaanza kumnanga kuwa ataua shirika kwa punguza bei ya kuunganisha umeme!
Nyie Kila kitu mnakinasibisha na dikteta jiwe!
Wewe mzee wa hovyo mpumbavu ndio nini?
Matusi ya kazi gani?
Mpumbavu mwenyewe!
 
Back
Top Bottom