gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Tuma hela ukafanyiwe njeMwili uakafanyiwe post mortem nje ya Tanzania. Ukifanyiwa hapo tz hamtapata majibu na huyo daktari naye atauwawa.
Tuma hela ukafanyiwe njeMwili uakafanyiwe post mortem nje ya Tanzania. Ukifanyiwa hapo tz hamtapata majibu na huyo daktari naye atauwawa.
Na wakati mzee wa wa watu alitukanwa sana akaamua kukaa kimya.Wabongo hawana jemaKila rais lazima atakutana na upinzani, ishu ni unariact vipi. Mm nadhani rais Kikwete ndio aliweka mfano mzuri kwa hapa bongo
Jamiiforums umejiunga lini mkuu hivi unajua huyu jamaa alishawahi kushambuliwa na mapanga Kwa mambo haya haya ya siasa? Uzi upo humu jamiiforums.Poleni,kuna mama mmoja alikunywa pombe akaingia kulala na asubuhi mlango kuvunjwa damu zimetapakaa.Daktari alisema pombe imepasua bandama.Simaanishi dereva alikunywa,ila tungesubiria taarifa kamili.Tunaeza tukana sana humu tukaingia dhambi kumbe hajauwawa. Nadhani muda ni hakimu mzuri tuvute subira
Siasa za chupi (chuki)Mazingira yanatatanisha,
HECHE AKAMATWE AHOJIWE JUU YA HILI/
Jamiiforums umejiunga lini mkuu hivi unajua huyu jamaa alishawahi kushambuliwa na mapanga Kwa mambo haya haya ya siasa? Uzi upo humu jamiiforums.
Sijui,ila nashauri tuvute subira huenda hajauwawa au kauwawa ila uhakika haupo 100%Jamiiforums umejiunga lini mkuu hivi unajua huyu jamaa alishawahi kushambuliwa na mapanga Kwa mambo haya haya ya siasa? Uzi upo humu jamiiforums.
Kivp aulizwe heche kwani walilala wote chumba kimoja?Muulize heche fala wewe, acha kubwabwajwa kingese hapa. Mtu mumemkabidhi kwa heche halafu linamkuta jambo mnakuja mitandaoni kueneza ujinga wenu.
Asante Mungu kwa hiki kidogoHapa hatusemi Asante Mungu kwa hiki kidogo?..kumbe watu wote hufa?..msalimie mallaya mfupi, mbaya msaliti wa nchi yake Hilda Newton
Kipi tutakifanya mkuu maana vyombo vilivyopewa dhamana ya kutulinda vinaruhusu haya , je tuwe watu wa kulipa kisasi au Mungu atulipie? , Tukilipa sisi tutakosea kulipa ila malipo ya Mungu hajawahi kosea kulipa na anaweza kulipa hadi tukaja baki kuwa na huruma tena kwa mlipwaji.Tutaendelea kumwachia Mungu mpaka lini mkuu?
Exactly, missed target!Possibly.. Cartels kutoka Rwanda au Burundi huko, waliandaliwa na CCM,wame miss target tu.
😄😄😄 Nacheka kama mazuriKisiwa cha amani au sio ?
# 7/7
📌💯CCM hawatokubali kuachia Dola kirahisi
Ili kuwaondoa CCM inabidi ili anaewatoa madarakani atumie nguvu kubwa kuliko ile walioitumia 29/10/2025 kubaki madarakani
Siyo kwa maandamano Wala sijui migomo,no
CCM wanaijua lugha moja tu ya ukatiri,basi
Damu zimetapakaa Tena !? Kweli hapo ni assassinDahh!!!! 😭 😭 😭, Ni huzuni kubwa sana, haya ni mauaji kabisa, wamekuta damu zimetapakaa sakafuni ni wazi kuna foul play
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi..
Sio Kwa maneno tu ya nyuma ya keyboard na kuwaacha watesi wafanye Vyovyote vile wanavyo jisikia ,Pengine kuna siku haya yataisha
Exactly! Kikwete alikuwa mfano mzuri! Hata Samia alitaka kuifanya NCHI iwe na democrasi na uchumi imara!Kila rais lazima atakutana na upinzani, ishu ni unariact vipi. Mm nadhani rais Kikwete ndio aliweka mfano mzuri kwa hapa bongo
Wanakuambia ni maagizo kutoka juu!TISS kwa sasa hawajali
Iwekee Uzi tuchangieTaarifa zipo nyingi sana na kuna Mpinzani wanataka apigwe Risasi au atekwe auwawe
Britanicca