CjakuelewaKwa onyo la keyboard tu utachemka
Manina zako, acha fiksi wewe. Hakuna wa kuandamana hapoDah tarehe 7 Ifike haraka sana, Mimi na familia yangu tutakuwa front line Mazee
Muulize heche fala wewe, acha kubwabwajwa kingese hapa. Mtu mumemkabidhi kwa heche halafu linamkuta jambo mnakuja mitandaoni kueneza ujinga wenu.Ni kwamba amejiua? Hizi chuki mwisho wake utafika tu na tutaisaka Amani kwa nguvu sana.
Pengine kuna siku haya yataishaCCM ni wapumbavu sanaa sasa huyu dereva ana kosa gani ?
Kwenda kuuwa MTU kama huyu CCM itafaidika na nini
Definitely mkono wa mtuKama ni mkono wa watu, nawalaani wahusika hata kizazi cha tano
And it's where we're heading toPengine kuna siku haya yataisha
Kama kuna mlinzi utaratibu gani ulipaswa kufuatwa?Kwa nini chadema wameruhusu huo mwili kupelekwa na police? Walipofikia hakuna mlinzi?
Tumechoka sana na CCM jamani inamaliza watanzania tuikatae kwa kila namna.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Tuchukue tahadhali gani. Wahudumu wa guest walikuwa wappiPengine kuna siku haya yataisha
Punguza mihemko na mahaba ya uchama hizi mada nzito kwako.Muulize heche fala wewe, acha kubwabwajwa kingese hapa. Mtu mumemkabidhi kwa heche halafu linamkuta jambo mnakuja mitandaoni kueneza ujinga wenu.