CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Wanawachokoza wananchi halafu wananchi waki react wanasema wanalipwa, wamechokoza wenyewe sasa ngoja 7/7 watoto waje kudai haki yao ya kuishi bila kutekwa .Huu utawala unajitengenezea kumbukumbu mbaya sana kwa kizazi cha sasa na kile kijacho.