TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Isije ikawa wanatest zile sumu za Russia. Warusi ni mabingwa katika sumu zinazua taratibu.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.

Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.

Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.

Some time chadema ni vipofu sana..nilisema hapa jf hata kesi ya lissu ingependeza zaidi kama lissu angekataa kutoa ushahidi au kujitetea hivyo kuiacha kesi isikilizwe upande mmoja..kwa sababu isha Julikana dunia nzima kuwa mahakama na hiyo kesi inafuata amri za Rais
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.

Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.

Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.

Hapa hatusemi Asante Mungu kwa hiki kidogo?..kumbe watu wote hufa?..msalimie mallaya mfupi, mbaya msaliti wa nchi yake Hilda Newton
 
Back
Top Bottom