Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #201
Hafiki miaka 10Kwa hii kasi ya utekaji, mauaji, uvunjaji wa sheria etc Samuya na serikali yake lazima wakamatwe wajibu hata miaka 10 ikipita , too much
Hafiki miaka 10Kwa hii kasi ya utekaji, mauaji, uvunjaji wa sheria etc Samuya na serikali yake lazima wakamatwe wajibu hata miaka 10 ikipita , too much
Huna jipya, we ni mapichapicha ya kizamani tu...
😄😄😄 Nacheka kama mazuri
Hilda msaliti?? Ivi yuko wapi hildaHapa hatusemi Asante Mungu kwa hiki kidogo?..kumbe watu wote hufa?..msalimie mallaya mfupi, mbaya msaliti wa nchi yake Hilda Newton
Exactly! Kikwete alikuwa mfano mzuri! Hata Samia alitaka kuifanya NCHI iwe na democrasi na uchumi imara!
Tatizo watz hawana jema na hawana subra..mama wa watu akahamua afuate siasa za magufuli ili kuwaunga mkono kina Tlaatlaah and the like
Mwisho wake ni pale Mtanganyika atakapojitambua othewise it may take a decadeNi hatari masta... lakini yana mwisho !
Bro mambo gani hayo? Peleka watoto na wewe ila mke tuachie bado mbichi maana hautorudi 🤣🤣Dah tarehe 7 Ifike haraka sana, Mimi na familia yangu tutakuwa front line Mazee
..Mama ndio hana subira.
..zile 4R hazikufanya kazi hata miezi 6 akazitupa pembeni akarudi kwenye utekaji wa awamu ya 5.
..Mama alipaswa kuwa na subira na kusimama kwenye 4R badala ya utekaji na mauaji.
Eti mama!!
Unajua hii Nchi imejaa mazuzu sana mpaka nashindwa kuelewa tatizo nini hasa
Wife ndo anataka tuanze hata kabla ya tarehe 7, ana hasira mbaya mbovuBro mambo gani hayo? Peleka watoto na wewe ila mke tuachie bado mbichi maana hautorudi 🤣🤣
Ndo hivyoWanakuambia ni maagizo kutoka juu!
Unabisha nini' na unaongea nini' Sasa?!! Si ndo yaleyale niliyoyasema; kukimbilia kulaumu watu ndivyo mlivyojiandaa hivyo Ili mradi tu shutuma ziwe zinamuendea Samia. Huyo dereva sijui kama unafahami chochote kinachomuhusu kuhusu maisha yake kwa ujumla lakini tayari, kwa maelekezo ya kina heche, lissu na kitima, umeshafika hapa mbio kumlaumu Samia.Kivp aulizwe heche kwani walilala wote chumba kimoja?
Ndo akili na ujinga wenu huu. Mnafanya hatia kwa maksudi kisha mnakuja na visingizio na assumptions zisizo na mantiki. Yaani kutoa uhai wa Watanzania wenzetu siku hizi imekua jambo dogo na la kawaida tu kama kafa kuku.
Jipeni matumaini tu na kuvimba kichwa ila siku yaja mtalia na kujutia matendo yenu maovu.
7/7 makutano wapi mrembo.Huu utawala unakunywa damu bila uoga..!
Kijazi7/7 makutano wapi mrembo.