Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kutapakaa kwa damu ni red flag!DEREVA WA JOHN HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU ZIMETAPAKAA KWENYE SAKAFU.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma.
Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa.
Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
Nadhani walidhani ni Heche, target was HecheKutapakaa kwa damu ni red flag!
Hao wanatingisha kiberiti waone reaction ya Chadema wakiona kimya watamuua kweli Heche .Nadhani walidhani ni Heche
Poa, Samia hakutaka uadui ndo maana aliwaita, aliwalipa na kuwafungulia milango kina heche na lissu lakini wanachomlipa ni hiki tukionacho; matusi, uhamasishaji wa vurugu n.kPunguza mihemko na mahaba ya uchama hizi mada nzito kwako.
Siasa si uadui kwa ustawi wa Tanzania.
R.I.P Suez Dani Maradufu,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Sidhani. The strike of a close aide is intended to induce fear in him or to rob him of a loyal aide!Nadhani walidhani ni Heche
Siwezi kukukanusha. All is possible! Ila kumuua dereva definitely watahusishwa na kama ni kulipiza kisasi una uwezo utalipiza.....Sidhani. The strike of a close aide is intended to induce fear in him.
Kwa jinsi ambavyo macho ya dunia yako kwao, kumuua kiongozi mwandamizi wa CHADEMA ni decision ngumu sana kwao kuifanya!
Heche kaamua kumuua dereva wke kuficha ushahidi wa madhambi yakeTusifike mbali, ishu ni kukubaliana tu ni mabadiliko gani yafanyike, haina haja ya kuuana, siasa haziendi hivyo. Kina starmer mambo yaliwashinda wakaona isiwe taabu, wakaachia madaraka ili wenye fikra mpya nao wazitumie kujenga nchi yao. Mtu akiona maji yamemfika shingoni ajiuzulu tu kuliko kufanya siasa za chuki, mara kuzuia siasa zisifanyike kunakopelekea uhasama na chuki, hizi ni siasa za aibu kubwa. Watu waachwe waseme tani yao ndio uhuru na demokrasia komavu hiyo. Watu wakibanwa hujenga chuki na uhasama wa kuuana
Ulaaniwe na UKOO wako wote. ..Ulaaniwe ufe usingizini leo usiku. Ukifumba macho upitilize huko mpaka kaburiniHeche kaamua kumuua dereva wke kuficha ushahidi wa madhambi yake
huyu dereva alikatwakatwa mapanga mwaka 2017 akanusurika huenda mapanga yalimuathiri..Hatari sana!
Labda kitu kilitegwa kwa ajili ya Heche wakabadilisha maamuzi dakika za mwisho ikawa bahati mbaya kwa dereva.
Huna jipya, we ni mapichapicha ya kizamani tu...