Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Target ni Lissu ndio upande ulioshambuliwa na matundu yalionekana baada ya kufyatua risasi dereva akailaza siti yake pamoja na ya lissu na lissu Alilalia tumbo huku akiwa amesogea zaidi siti ya nyuma ya abiria ,sasa wale kina makonda wakawa wanamimina tuu risasi hovyo upande wa abiria pasipo kumrushia risasi upande wa dereva na tinted ilisaidia wakiendeleea kumimina risasi dereva alikua ameshashuka na kukaa ubavuni mwa tairi ya gari ...

Nimeamua nikujibu wewe moja kwa moja ili ukakojoe ukalale huko View attachment 2508644
Kama una ushahidi kiasi hicho Cha kutaja majina ya watu Kwa nini usifungue kesi
 
Na askari walinzi wanaokuwa wakilinda katika hayo makazi wakihojiwa wanasemaje?
Hatusemi "akihojiwa, atasemaje" bali twasema "alipohojiwa alisemaje". Sasa mimi sina kumbukumbu kama hao walinzi waliwahi kuhojiwa.
 
Kabla ya kusameheana wahusika wa shambulio wajikoteze hadharani hata kwa kusema tu walilazimishwa na hapakuwa na option alimradi wajitokeze, ukweli ukishajulikana ndipo mambo ya kusameheana yafanyike.
Vinginevyo watu waendelee kupigia kelele lile shambulio mpaka uchunguzi/upelelezi wa kina ufanyike.
Hiv kwani upepelezi wenyewe wa hili suala uliishiaga wapi? au jalada lake lilishapotea au lilishafungwa na kisha kuhamia kwenye "plea burgain"?
 
Hiv kwani upepelezi wenyewe wa hili suala uliishiaga wapi? au jalada lake lilishapotea au lilishafungwa na kisha kuhamia kwenye "plea burgain"?
Upelele bado haujaanza, wanadai hawawezi kumuhoji Lissu wala walinzi waliopaswa kuwa zamu wala waliokuwa wakihusika na kupanga ratiba za ulinzi wala hawawezi kuhoji majirani na pia hawataki kuangalia footages za CCTV cameras yaani hayo yote hawataki kuyafanya mpaka wampate aliyekuwa akimuendesha Lissu na pia hawataki kutumia Interpol wala kuwasiliana na vyombo vya usalama vya Belgium ili arudishwe ila mpaka ajilete mwenyewe kwa gharama zake na akifa(just in case) na kesi itakuwa imefia hapo(kwa mujibu wa polisi)
Bongonyoso.
 
Huyo huyo asieweza kuwa professional killer mnamtuhumu alimuua sa8 na mpaka leo hakuna ushahidi alioacha kuonesha anahusika, huyu amateur aliweza vipi ku cover tracks zake kitaalam namna hiyo halafu kwa Tundu afanye kazi ya kijinga kiasi hiko?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Kili mnyama ana style yake ya kuwindwa.

Simba anapomvizia swala kumkamata ni tofauti na atakavyowinda mbogo. Upo hapo we kilaza?

Wengine Ben saa8 tumekuja kumfahamu baada ya kupotea kwake.

Lisu hakuwa cheap kiasi hicho, kama aliweza hadi kujua gari ambazo zilikuwa zinamfatilia unadhani ni rahisi kumteka lisu kibwege.

Wenzako walipanga njia zote za kummaliza mwisho hiyo ya rasasi ndio waliona the best.

"Don't hunt what you won't kill "
 
Dreva analaumu polis kwann hawakumuohoji lisu akiwa general hospital?

Hivi amewaza nini? Na
Ni kwa uwezo gani au namna gani risas 38 zote 17 lisu tu zote yeye alikuwa wapi?
Kwani footages za CCTV cameras ziko wapi ili tusisumbuke kujiuliza maswali hayo ya kitoto, video recordings zinakilakitu jinsi walivyoshambuliwa au tuseme walivyojishambulia wenyewe ili mbivu na mbichi ziwe dhahiri kuliko kudanganya kwa maneno hawa wakisema hili na wale wakisema lile.
Zilimkosa vipi au kama ni yeye alimpiga risasi Lissu na kwa maajabu ya Mungu Lissu akaamua kumtorosha na kumlinda mtu aliyemshambulia kwa risasi ili amuue basi footages zilizorekodiwa na CCTV cameras zitatuonyesha kila kitu.
Tuseme tu polisi wote waliugua hawakuweza kufika lindoni siku hiyo, tuseme tu majirani wote hawakuona wala kusikia hata hiyo milio ya risasi, tuseme tu hata ofisi ya polisi inayohusika na kupanga polisi wa kulinda viongozi wa serikali siku ile ya shambulio ilighafilika ikasahau kuwatuma polisi kwenye maeneo yao ya kazi. Tufanye hata Magu hakuona umuhimu wa polisi wanaohusika na ulinzi kuulizwa ilikuwaje kukakosekana ulinzi siku ile, tuseme ni kweli Lissu alipokuwa hospitali ni kwamba alikuwa mtoro bungeni hivyo hakustahili kulipwa chochote na yote mengi yanayotia kinyaa yaliyotokea baada ya shambulio lakini swali muhimu ni FOOTAGES ZA CCTV CAMERAS ziko wapi ili tukate mzizi wa fitna?
 
Kili mnyama ana style yake ya kuwindwa.

Simba anapomvizia swala kumkamata ni tofauti na atakavyowinda mbogo. Upo hapo we kilaza?

Wengine Ben saa8 tumekuja kumfahamu baada ya kupotea kwake.

Lisu hakuwa cheap kiasi hicho, kama aliweza hadi kujua gari ambazo zilikuwa zinamfatilia unadhani ni rahisi kumteka lisu kibwege.

Wenzako walipanga njia zote za kummaliza mwisho hiyo ya rasasi ndio waliona the best.

"Don't hunt what you won't kill "
Kwanini sasa umeniita kilaza?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwaio sikuizi kwenye gali tuna kaa matako juu kichwa tuna weka kwenye bod mhhh hazikikumpata kwa sababu binadamu tuna kawaida ya kulinda vichwa kuliko kingine kwenye yafrani
Lugha na mantiki hapo ni tatizo.

Hoja ya msingi ni kuwa, kwanini watu washangae risasi kumkosa dereva.

Wengine humu wanachangia ilimradi kupoteza wafuatiliaji.
 
Back
Top Bottom