Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Na mchezo umechezwa kuanzia kutoa polisi wa zamu lindoni, kung'oa cameras baada ya tukio, kuwaamrisha polisi wasiwasiliane na Interpol, kuzuia wabunge wa CCM wasiende kumjulia hali hospitalini, kuzuia misa za kumuombea, kuzuia mpaka watu kuvaa T-shirts za kumuombea, kuzuia mpaka leo hii polisi wakwepe kumuhoji Lissu huku yeye akiongea live kwamba shambulio lilipangwa na Magu na wala polisi hawakanushi, pia mchezo huu unahusisha kukataliwa kwa wazo la Mbowe la kushirikisha FBI au MI6 ya Scotland Yard.
Kweli ni mchezo na ulihusisha aliyekuwa mkuu wa nchi - Jiwe.
Wewe siasa ni mchezo mchafu Sana swali linakuja humu magu sikafa kwanini wasitumie mwanya huu kuweka kila kitu wazi nini shida hamna Cha magufuli kama magu mwenyewe kachezewa sembuse lisu eti kisa magu rais wewe
 
[emoji38][emoji1][emoji38] aisee we jamaa mjuaji sana
Nimeuliza swali kwa jinsi gari lilivyomiminiwa risasi haziwez kuwa zimempata mtu mmoja inakuwaje dereva hakupatwa na risasi ambazo zilimpatq mweshimiwa Lissu pekee?

wewe mwenye akili nyingi nifafanulie sijauliza kiushabiki wa kisiasa.
Na asilete majibu ya dereva alikua na 'bahati' sana siku hiyo


Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kupigwa risasi kwa lissu ni tukio lililopangwa kijinga na watu wajinga,nje ya siasa,lissu ana maisha yake mengine,hivyo huwez kujua,lkn kuihusisha serikali na huo upuuzi,inabidi uwe na Akili mbirikimo na fikra zenye matege.
Kiukweli na washangaa Sana hawa watu yaani wana upeo mdogo wakufikili Mimi ni shabiki kindakindaki wa lisu ila kwahili eti magufuli ali mshambulia akamuacha hai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana siungi mkono hata kidogo kwamba lisu ni bora Sana watu wote walio wai tagetiwa na serikali.

Eti wakafyatua risasi sekunde 30-50 alfu wakakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nikapiga mlango nikatoka nje ya gari kwamba majamaa wasistuke kuwa kuna mtu katoka nje ya gari [emoji23][emoji23][emoji23] nika mficha chini yakiti [emoji23][emoji23][emoji23] khaaa huu ni upuuzi wa hali ya juuu kwamba hawa wauwaji niwazembe kiasi gani wanazidiwa na wauni
 
Target ilikua lissu sio dereva hata ukiangalia matobo ya risasi unaona zililengwa kwenye siti ya abiria tena ubavuni isingiwezekana kupita mpaka kwa dereva bila kuzuiwa na mwili wa Lissu na kumbuka uyo dereva akukaa kwenye gari mpaka risasi zote 30 zilivyoisha kwa mujibu wa maelezo yake alipata mfadhaiko maana hajazoea mambo ya vita kwaiyo possibly jamaa aliluka nje kabla hata ya risasi 5 tu. Nahisi kule ndani either lissu aliilaza siti yake au nae alifanikiwa kuluka siti ya nyuma kitu ambacho waliopiga zile risasi hawakufukiria na ukizingatia gari ina tinted hawaoni ndani ndio maana wao wakakomaa na siti ya abiria tu.
Sijui umetumia akili gani hivi risasi mnazijua kweli nyie 30risasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona nyie mnaagalia cartoon ndio maana hamuwazi mbele
 
Swali la msingi kwa sasa ni kwa nini muda akihojiwa na DW anabadilisha kauli? Siku ya tukio aliongea na waandishi wa TZ akawaambia kuwa aliona gari inamfuata ila alipomueleza boss wake Lissu alijibu kuwa hakuna haja kujisalimisha polisi kwa usalama badala y
yake waendelee tu na safari nyumbani. Why a change? Sio kuwa kafundishwa cha kuzungumza? Au anadhani ulimwengu mzima umesahau alichosema siku ya tukio?
Ni fala pekeake anaweza kuamini huu utumbo mwanzo na Mimi nilijua ni hivyo ila baada tu ya magufuli kufa nikastuka kuna kitu nyuma kama rais angelikuwa ana nguvu kiasi iko Cha kujichafua mwenyewe we sizani kama lisu angelikuwa hai mpaka leo sizani
 
Jiwe hakuwa peke yake, kazi yake ilikuwa ni kutoa amri tu lakini mipango na utekelezaji ilikuwa ni timu ya Makonda na wenzake 'wasiojulikana' yaani kikundi haramu ndani ya TISS.

..walenga shabaha hawakuwa vilaza.

..walikuwa walenga shabaha mahiri.

..kwanza target yao / Lissu walikuwa hawamuoni, alikuwa ndani ya gari, lakini waliweza kupiga kwa risasi 16.

..itoshe kusema Lissu alipona kwa bahati, sio kwasababu walenga shabaha hawakuwa mahiri.
 
Muda wa kugeuk mpaka kulalia tumbo hapana mnatupanga nafasi ya ile siti na sehem ya miguu sio rahis kugeuka katika mazingira yale
Eti we fikilia na risasi kwa speed ya risasi 30 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bwana hizi story ni za watoto
 
Msome huyu nchangiaji

CYP Mkutubi​

3 years ago (edited)
Huyu dereva, nimeyasikiliza maelezo yake kwa umakini sana ... kuna haja kubwa sana ya kuhojiwa na Idara ya Upelelezi ya Jeshi la Polisi. Jeshi letu la Polisi halina utaratibu wa kwenda kuwahoji washukiwa nje ya nchi, wewe kama Mtanzania ulitakiwa kuhitikia wito wa Jeshi la Polisi kuja kuhojiwa Tanzania. Ulikaidi, na hata sasa hutaki kurudi Tanzania. Mwenye akili za kupembua anaona kabisa kuna siri nzito zimefichwa! Wahusika wanazidi kujificha kwa kuelekeza lawama serikalini ili wasifikiriwe! Njoo uhojiwe!! Kikulacho kinguoni mwako, ipo siku MUNGU Mwenyezi atawafunulia Wana-CHADEMA. Jiulizeni ... kwanini kila anaeinuka kuwania Uwenyekiti wa CHADEMA lazima ashambuliwe au kufa kabisa, au kunyang'anywa uwanachama kabisa?! Huyu Top kwanini yeye haya hayamkuti?? !!! CHADEMA fikirieni mara nyingine tena! Mzua pembe ndo mzika pembe!!
Show less
Siamin Kam mbowe apange shambulio la namna hyo Hadi kutoa kamera za serekali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sijui umetumia akili gani hivi risasi mnazijua kweli nyie 30risasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona nyie mnaagalia cartoon ndio maana hamuwazi mbele
Risasi zililenga target ambayo ilikua siti ya abiria hazikua zinapigwa randomly tu
 
Ni mjibu nini sasa wkt serikali ina resources nyingi za kufanya uchunguzi wanamtaka dereva wa nini kwanza je angekua amekufa pia wasingefanya uchunguzi, hivi kuna kishoka anaweza kwenda kutoa kutoa tuu CCTV ktk nyumba za serikali ? Huyu ni mjinga na mpumbavu tu kama wewe unaweza kuchukua sehemu ya ujinga wake na kuutumia kama reference ni ufala pro max
Upumbavu Sana bwan anawaaza eti cdm wakatoe had kamera jmn hpn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mataga kwa nini hamtaki kuzungumzia suala la walinzi na CCTV camera kabisa??!
Kiukweli na washangaa Sana hawa watu yaani wana upeo mdogo wakufikili Mimi ni shabiki kindakindaki wa lisu ila kwahili eti magufuli ali mshambulia akamuacha hai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana siungi mkono hata kidogo kwamba lisu ni bora Sana watu wote walio wai tagetiwa na serikali.

Eti wakafyatua risasi sekunde 30-50 alfu wakakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nikapiga mlango nikatoka nje ya gari kwamba majamaa wasistuke kuwa kuna mtu katoka nje ya gari [emoji23][emoji23][emoji23] nika mficha chini yakiti [emoji23][emoji23][emoji23] khaaa huu ni upuuzi wa hali ya juuu kwamba hawa wauwaji niwazembe kiasi gani wanazidiwa na wauni
 
Wanao hoji mbona dereva hakupigwa hata risasi moja, kwanini pia wasihoji mbona risasi hazikumpata Lisu kichwani?

Watu wana ruka hoja muhimu kama nani aliwaondoa askari getini, nani ali ondoa CCTV camera, hao watu walikuwa na dhamira gani?

Ipo siku ukweli uta julikana tu.
 
Huyu lisu hapana kwakweli anaongea ujinga tu

All in all mmesikia kwamba CCM bado tupo tutajenga madaraja, mashule, viwanja na kila maendeleo

CHAWA WA MAMA
Acha upumbafu kijan siyo ccm Wala CDM walilikubali swala la lisu kumiminiwa risasi zote zile ,chukulia labda alikuwa kak ako au Bab ako ungejisikiaje mkuu


Mfno Ni mm Bab angu au kaka angu katendwa hvyo lzm nilipize kisasi kikali sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mataga kwa nini hamtaki kuzungumzia suala la walinzi na CCTV camera kabisa??!
Una uwakika gani kama walinzi hawakuwepo na kama walinzi hawakuwepo siku iyo ni hatua gani ilichukuliwa??
 
Wewe siasa ni mchezo mchafu Sana swali linakuja humu magu sikafa kwanini wasitumie mwanya huu kuweka kila kitu wazi nini shida hamna Cha magufuli kama magu mwenyewe kachezewa sembuse lisu eti kisa magu rais wewe
Taarifa nyeti za serikali kama mauaji hazitolewi ovyo ovyo tu kwa sababu kiongozi mkuu ashakufa ni lazima zilindwe zikiwekwa wazi kwanza serikali itachafuka kwamba inaua raia wake pili hao hitmen wanaotumwa kufanya hayo matukio nao watakua na wasiwasi ipo siku watawekwa wazi, mind you kila serikali ina dark side yake ambayo lazima ilindwe kwa namna yoyote ile. Sijasema kama magu ndie alipanga ilo shambulio lakini kama hayo madai ni ya kweli usitarajie serikali itajitokeza na kusema ivyo
 
Wanao hoji mbona dereva hakupigwa hata risasi moja, kwanini pia wasihoji mbona risasi hazikumpata Lisu kichwani?

Watu wana ruka hoja muhimu kama nani aliwaondoa askari getini, nani ali ondoa CCTV camera, hao watu walikuwa na dhamira gani?

Ipo siku ukweli uta julikana tu.
Kwaio sikuizi kwenye gali tuna kaa matako juu kichwa tuna weka kwenye bod mhhh hazikikumpata kwa sababu binadamu tuna kawaida ya kulinda vichwa kuliko kingine kwenye yafrani
 
Taarifa nyeti za serikali kama mauaji hazitolewi ovyo ovyo tu kwa sababu kiongozi mkuu ashakufa ni lazima zilindwe zikiwekwa wazi kwanza serikali itachafuka kwamba inaua raia wake pili hao hitmen wanaotumwa kufanya hayo matukio nao watakua na wasiwasi ipo siku watawekwa wazi, mind you kila serikali ina dark side yake ambayo lazima ilindwe kwa namna yoyote ile. Sijasema kama magu ndie alipanga ilo shambulio lakini kama hayo madai ni ya kweli usitarajie serikali itajitokeza na kusema ivyo
Hicho kitu sikubariani nacho kama ni hivyo CMG kachele alifanya makosa kuanika ubadhirifu wa serikali awamu ya tano maana ........ Hapna
 
Hakuna mwenye uhakika kama walinzi hawakuwepo zaidi ya Lissu na Dereva wake ndio maana uchunguzi wa polisi unatakiwa uanze na walinzi kujua kama walikuwepo au hawakuwepo na kama pia CCTV camera zilikuwepo.
Una uwakika gani kama walinzi hawakuwepo na kama walinzi hawakuwepo siku iyo ni hatua gani ilichukuliwa??
 
Wewe siasa ni mchezo mchafu Sana swali linakuja humu magu sikafa kwanini wasitumie mwanya huu kuweka kila kitu wazi nini shida hamna Cha magufuli kama magu mwenyewe kachezewa sembuse lisu eti kisa magu rais wewe
Serikali ndiyo inalindwa, ukumbuke uraisi ni taasisi na indicators zote zinalenga kwamba ilihusika, otherwise serikali ingehakikisha mbivu na mbichi zinajulikana. Serikali inajikinga yenyewe ili taasisi ya uraisi isiumbuke.
Magu nguvu aliyokuwa nayo kipindi anatawala angehakikisha wahusika wanakamatwa na wangekamatwa, kama hakuhusika kusingekuwa na zuio kwa wabunge wa CCM kwenda kumjulia hali.
Zuio kwa watu kumuombea au uvaaji wa T-shirts za kumuombea apone haraka bila ya uhusika wake lisingewezekana kwani alikuwa akitawala kibabe sana.
Tanzania back in the day imeshawahi kuomba vyombo vya uchunguzi/upelelezi vya nje ambavyo ni credible kusaidia upelelezi pale wanapokwama kwa nini kwenye hili hawakufanya hilo wakati Mbowe aliomba lifanyike? Serikali iliogopa/ilikwepa hilo lisifanyike kwa kumlinda nani?
-Hayo ni kwa uchache tu ila yako mengi sana yanayomuangukia Magu.
 
Back
Top Bottom