Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Na askari walinzi wanaokuwa wakilinda katika hayo makazi wakihojiwa wanasemaje?
Swali la msingi kwa sasa ni kwa nini muda akihojiwa na DW anabadilisha kauli? Siku ya tukio aliongea na waandishi wa TZ akawaambia kuwa aliona gari inamfuata ila alipomueleza boss wake Lissu alijibu kuwa hakuna haja kujisalimisha polisi kwa usalama badala y
yake waendelee tu na safari nyumbani. Why a change? Sio kuwa kafundishwa cha kuzungumza? Au anadhani ulimwengu mzima umesahau alichosema siku ya tukio?