Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

So target Lissu ndo professional killers watumie Risasi 31? Are you serious? Then wampige maeneo Yale? Then wasihakikishe Kama kafa Wakati mmesema waliwatoa Askari kwa amri toka juu? Utakuwa mpumbavu Tu ndo unaweza amini Hilo.

Ungesema Labda kulikuwa na mission ya kikundi cha watu wazima kumharibia jina JPM sawa. Tena kikundi ambacho cha Untouchables. Mantiki inaweza kuja. Hata jamaa wa tabata mjinga tu wa mapenzi alikumhuka kununua magunia mawili ya mkaa kupoteza ushahidi.
Yule bwege wenu anavyopenda sifa asingekubali kuchafuliwa angeunda tume haraka sana sasa akakimbilia kuzuia watu wasimuombee Apone bwana TL , matokeo yake akatangulia yeye ,na inaonesha huwa hata hilo gari lililoshambuliwa kwa risasi huwa unaliona kwa njee tuu,mtu kama makonda anaweza kuwa professional killer? na wewe ni wa kupuuzwa tuu
 
Target ni Lissu ndio upande ulioshambuliwa na matundu yalionekana baada ya kufyatua risasi dereva akailaza siti yake pamoja na ya lissu na lissu Alilalia tumbo huku akiwa amesogea zaidi siti ya nyuma ya abiria ,sasa wale kina makonda wakawa wanamimina tuu risasi hovyo upande wa abiria pasipo kumrushia risasi upande wa dereva na tinted ilisaidia wakiendeleea kumimina risasi dereva alikua ameshashuka na kukaa ubavuni mwa tairi ya gari ...

Nimeamua nikujibu wewe moja kwa moja ili ukakojoe ukalale huko View attachment 2508644
Huo muda wa kulaza siti aliutoa wapi wakati risasi zinamwagika, mbona inatisha sana
 
Huo muda wa kulaza siti aliutoa wapi wakati risasi zinamwagika, mbona inatisha sana
Sio kila mtu ni mzito ndugu kuchukua maamuzi,binafsi nna matukio mengi yamenikuta hata nikusimulia unaweza kudhani ni movie ila ni uhalisia tupu.. hasa kila hatua unapojua unafuatiliwa nae ilikua sio siku yake hata wangepiga bomu
 
Hii issue yakulaza siti sasahivi imeshageuzwa! Kwa mujibu wa Lissu juzi akihojiwa na Clouds alieleza kuwa dereva wake alimvuta upande wake, hivo akalala kiubavu na dereva akapiga teke mlango wake na kutoka nje.


Nini kinakwepwa? Kama maelezo yangekuwa kulaza siti kama walivyokaeleza mwanzo, sintofahamu ingekuwa kubwa! Maana upange uliotumika uo wenye matundu ndipo gia ya kulaza siti ilipo hivo lazima dereza ingelazimika ainuke apitishe mkono mpaka upande wa pili wa Lissu ambako risasi zinatokea pemben ya mlango ndo alaze siti! Kitendo hiki kingekuwa na maswali cos kufanya hivo kunaashiria yeye alimkwepesha Lissu sawa ila hizo ambazo zikipita ilikuwa lazima zingemfikia yeye tu! Na isngekuwa rahisi Lissu kuumia mguu wa kulia cos mguu wa kushoto unaukinga mguu wa kulia direct labda mpigaji apigie toka juu.


Hatujui kwanini mwazo walisema walilaza siti na sasa kwanini waseme hivo kuwa alilalia friji pale kwa ubavu! Ilo sijui mm
Unadhani kwa nini polisi hawamuhoji Lissu? Si kwamba kuna kitu wanakwepa? Ok kila kilichotokea pale kiko recorded si kwamba hayo maswali yote unayojiuliza majibu yake yako kwenye footages ambazo licha ya kwamba baada ya tukio cameras zikang'olewa lakini servers huwa zinahifadhi matukio yaliyorekodiwa.
Kwa nini polisi wasishirikishe Interpol kumaliza utata ili wahalifu wabainike?
Polisi huwa wanaitisha press hata kwa matukio madogo madogo kipi kinawazuia kuufahamisha umma at least kwamba wamefikia hatua fulani(bila kutoa crucial information zinazoweza kuathiri upelelezi kama upelelezi unafanyika kweli of which I doubt)
Nani alikuwa anapanga zamu za ulinzi? Kwa nini polisi hawajiulizi inakuwaje eneo linalolindwa 24/7 tena na polisi wenye silaha pamoja na security guards wa G4 Unit hawakuwepo muda ule wa shambulio.
Pale waliposhambuliwa ndani ya ile yard huwa kuna Polisi wa kubadilishana zamu yaani anaingia mmoja kumpokea mwenzake wanasaini kitabu ndipo aliyekuwepo anatoka na opposite ni nyumba aliyokuwa akiishi tulia by then alikuwa naibu spika ambapo nje ya geti huwa wapo polisi 24/7 na wanaona kila kinachotokea nyumba ya opposite polipotokea shambulio, nani aliamuru wasiwe lindoni muda ule wa shambulio?
Hii ilipangwa na watu wa usalama ila walihusisha vigogo wa polisi kuondoa walinzi wakati ule wa shambulio, upuuzi wao wakarudi tena kung'oa cameras baada ya tukio, thank God hawakufanikiwa kumuua na leo yuko na anaotoa shuhuda ya yaliyotokea otherwise kama angefariki dereva angesharudishwa kwa msaada wa Interpol na kubambikwa hiyo kesi na wangeunganishwa wengine isemwe kwamba wameuana wenyewe kwa wenyewe eti ilikuwa ni internal power struggles. Ku-survive kwa Lissu kuliharibu plans zote za Jiwe na hapo alizidi kumchukia zaidi, akili kubwa ilitumika kumkimbizia hospitali ya Nairobi otherwise ingekuwa amebaki Tanzania angemaliziwa hospitali.
Haishangazi kuona kwamba wabunge wa CCM walipigwa mikwara wasiende kumtembelea hospitali, polisi walizuia misa maalum za kumuombea zisifanyike na T-shirts zenye maneno ya kumuombea apone haraka zilipigwa marifuku. Yote ilikuwa ni amri ya Mwendakuzimu aliyekuwa amegadhibika sana kwa zoezi lake kufeli.
Hivi wasiojulikana wameyeyukia wapi? Jiwe alitengeneza kikosi hatari sana cha kuua, kuteka, kutesa na kupora mali.
 
Kama yeye si muhusika kwanini alitoroshwa kwa kisingizio kuwa naye atauwa?
Alitoroshwa na aliyekusudiwa kuuawa? Je na sasa analindwa na aliyekusudiwa kuuawa? Yaani Lissu hana akili amlinde aliyekusudia kumuua(kwani wamekuwa wote muda mrefu Belgium)? Makovu, mavyuma mwilini na ile near death experience bado amlinde tu?
Are you stupid?
Hivi polisi waliopaswa kuwa zamu kulinda lile eneo wameshahojiwa? Au iliyekuwa na mamlaka ya kupanga ulinzi ameshaulizwa kwa nini muda ule eneo lote halikuwa na walinzi kitu ambacho ni kinyume na utaratibu. Was just a coincidence kwa walinzi wameyeyuka na shambulio likatokea?
A pattern is far more than just a coincidence, it's so easy to connect the dots on the matter.
 
Angekuwa Magufuli. Lissu angekuwa hana pa kukimbilia. Ni mpumbavu Tu anayeweza Amini kuwa nguvu ya Rais wa Tanzania atumie watu wakampige Risasi maeneo ambayo ya government ambapo kila mjinga Kama wewe anaweza kurelate.

Mission za mtu wa Serikali alihitaji Risasi moja Tu. Na Hata kuwa kwake ubelgiji asingepona. Hao wakina kagame wanatuma watu mpaka marekani na utauliwa. Lissu Hakuwa na lolote na kumfanya Rais amwone tishio.

Lissu Ni Kama wale wanafunzi wa sekondari ambao lazima abishane kwa ajili ya cheap popularity. Lakini kwenye maslahi yake wala haongei. Kwa namna ya CHADEMA ilivyo na uenyekiti wa mbowe miaka yote hii na hulka mnayompachika Lissu pasingeiva.

Shetani na nusu uliza Museveni. Kagame. Paul B wa Cameroon nk. Tanzania ni tamu sana. Endeleeni Tu kuishi kwa ujinga ujinga.
Usilete stori za vijiweni kwa watu wanaojielewa. Huu upuuzi kamsimulie mamako na babako wajinga wajinga huko kijijini kwenu
 
Inawezekana risasi zote zaidi ya 30 ziishie tu kwenye mwili wa Mh. Lissu bila kupenya risasi hata 1 kumdhuru Dereva aliyekuwa upande wa pili wa Lissu?

Mbona kama inafikirisha sana?
CCTV cameras zina footages za tukio zima, it's very simple uliza ziko wapi na hautajiuliza tena hayo maswali yako.
 
Uzuri wa risasi zile zilikua zinachagua wa kumpata. Yani risasi thelathini zote zilikua zinalengwa kwa lissu hata kama angekingwa na manowari ile
Manowari isingetoboka ila angetobolewa lissu.

Dereva hakupata hata moja? Basi ana Mungu wake
Dereva hadi leo hajarudi kisa usalama wake, Ila Lissu aliyepigwa risasi amerudi na amesema usalama wake upo vizuri.
 
Kuna mtu nilisha wai muuliza muuliza vipi kuhusu hili alinijibu nikalale niache ya watu wazima ila alisema kama serikali ingekuwa nyuma hili huyu jamaa asinge pona na Wala asingepigwa risasi ni michezo tu
Na mchezo umechezwa kuanzia kutoa polisi wa zamu lindoni, kung'oa cameras baada ya tukio, kuwaamrisha polisi wasiwasiliane na Interpol, kuzuia wabunge wa CCM wasiende kumjulia hali hospitalini, kuzuia misa za kumuombea, kuzuia mpaka watu kuvaa T-shirts za kumuombea, kuzuia mpaka leo hii polisi wakwepe kumuhoji Lissu huku yeye akiongea live kwamba shambulio lilipangwa na Magu na wala polisi hawakanushi, pia mchezo huu unahusisha kukataliwa kwa wazo la Mbowe la kushirikisha FBI au MI6 ya Scotland Yard.
Kweli ni mchezo na ulihusisha aliyekuwa mkuu wa nchi - Jiwe.
 
Dereva hadi leo hajarudi kisa usalama wake, Ila Lissu aliyepigwa risasi amerudi na amesema usalama wake upo vizuri.
Dooohh. Huyo Dereva haitaji ulinzi mungu wake anamlinda sana... Imagine risasi 31.. risasi 16 kwa lisu hizo nyingine 15 zimepita hewani na hazijamgusa dereva aliyeweza kushusha siti ya lissu upande wa kushoto wa gari zilipopigwa risasi.. Dereva anabulet proof mwili mzima
 
Na mchezo umechewa kuanzia kutoa polisi wa zamu lindoni, kung'oa cameras baada ya tukio, kuwaamrisha polisi wasiwasiliane na Interpol, kuzuia wabunge wa CCM wasiende kumjulia hali hospitalini, kuzuia misa za kumuombea, kuzuia mpaka watu kuvaa T-shirts za kumuombea, kuzuia mpaka leo hii polisi wakwepe kumuhoji Lissu huku yeye akiongea live kwamba shambulio lilipangwa na Magu na wala polisi hawakanushi, pia mchezo huu unahusisha kukataliwa kwa wazo la Mbowe la kushirikisha FBI au MI6 ya Scotland Yard.
Kweli ni mchezo na ulihusisha aliyekuwa mkuu wa nchi - Jiwe.
Mpaka leo polisi wanazuiwa na jiwe hayupo? Basi mnamsingizia Jiwe
 
Uzuri wa risasi zile zilikua zinachagua wa kumpata. Yani risasi thelathini zote zilikua zinalengwa kwa lissu hata kama angekingwa na manowari ile
Manowari isingetoboka ila angetobolewa lissu.

Dereva hakupata hata moja? Basi ana Mungu wake
Manowari Za barabarani zimekaaje?
 
So target Lissu ndo professional killers watumie Risasi 31? Are you serious? Then wampige maeneo Yale? Then wasihakikishe Kama kafa Wakati mmesema waliwatoa Askari kwa amri toka juu? Utakuwa mpumbavu Tu ndo unaweza amini Hilo.

Ungesema Labda kulikuwa na mission ya kikundi cha watu wazima kumharibia jina JPM sawa. Tena kikundi ambacho cha Untouchables. Mantiki inaweza kuja. Hata jamaa wa tabata mjinga tu wa mapenzi alikumhuka kununua magunia mawili ya mkaa kupoteza ushahidi.
Makonda na timu yake ndiyo unawaita
'professional killers', they're just killers or rather just murderers. Hawa vijana wa UVCCM ambao huwa wanaingizwa tu TISS alimradi akiwa mkuda au na referee wa kumuunganishia mchongo ndiyo unawaita 'professional killers'? These useless goons ndiyo uwaite professionals?
Usijaribu kulinganisha hao kuku na well trained assassins wa Kagame au hata wa Museveni, kule kuna mafunzo serious ndiyo maana hata ukimbilie nchi gani wanakufua wanakuua au unapigwa 'usingizi' unarudishwa ukiwa ndani ya kasha la kidiplomasia.
 
Dereva hadi leo hajarudi kisa usalama wake, Ila Lissu aliyepigwa risasi amerudi na amesema usalama wake upo vizuri.
Dereva alisoma huko huko Belgium na sasa ana ajira ya kudumu, polisi wakimuhitaji wanajua jinsi ya kumpata.
Kuwepo kwake kule kipindi huki hakuhusiani na usalama bali ni ajira aliyonayo, hilo Lissu amelisema wazi, tafuta swali jingine.
 
Back
Top Bottom