Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Naomba kuuliza swali. Zilipigwa risasi zaidi ya 30 na wanaonyesha walipanga kuua hawa watu hizi ni risasi nyingi sana. Swali langu Je huyu dereva alipigwa risasi ngap?
Kwani aliyetaka kuuliwa ni Dereva?

Swali la kikauzu sana
 
Msome huyu nchangiaji

CYP Mkutubi​

3 years ago (edited)
Huyu dereva, nimeyasikiliza maelezo yake kwa umakini sana ... kuna haja kubwa sana ya kuhojiwa na Idara ya Upelelezi ya Jeshi la Polisi. Jeshi letu la Polisi halina utaratibu wa kwenda kuwahoji washukiwa nje ya nchi, wewe kama Mtanzania ulitakiwa kuhitikia wito wa Jeshi la Polisi kuja kuhojiwa Tanzania. Ulikaidi, na hata sasa hutaki kurudi Tanzania. Mwenye akili za kupembua anaona kabisa kuna siri nzito zimefichwa! Wahusika wanazidi kujificha kwa kuelekeza lawama serikalini ili wasifikiriwe! Njoo uhojiwe!! Kikulacho kinguoni mwako, ipo siku MUNGU Mwenyezi atawafunulia Wana-CHADEMA. Jiulizeni ... kwanini kila anaeinuka kuwania Uwenyekiti wa CHADEMA lazima ashambuliwe au kufa kabisa, au kunyang'anywa uwanachama kabisa?! Huyu Top kwanini yeye haya hayamkuti?? !!! CHADEMA fikirieni mara nyingine tena! Mzua pembe ndo mzika pembe!!
Show less
Hakuna usalama
 
Target ni Lissu ndio upande ulioshambuliwa na matundu yalionekana baada ya kufyatua risasi dereva akailaza siti yake pamoja na ya lissu na lissu Alilalia tumbo huku akiwa amesogea zaidi siti ya nyuma ya abiria ,sasa wale kina makonda wakawa wanamimina tuu risasi hovyo upande wa abiria pasipo kumrushia risasi upande wa dereva na tinted ilisaidia wakiendeleea kumimina risasi dereva alikua ameshashuka na kukaa ubavuni mwa tairi ya gari ...

Nimeamua nikujibu wewe moja kwa moja ili ukakojoe ukalale huko View attachment 2508644
Hii issue yakulaza siti sasahivi imeshageuzwa! Kwa mujibu wa Lissu juzi akihojiwa na Clouds alieleza kuwa dereva wake alimvuta upande wake, hivo akalala kiubavu na dereva akapiga teke mlango wake na kutoka nje.

Nini kinakwepwa? Kama maelezo yangekuwa kulaza siti kama walivyokaeleza mwanzo, sintofahamu ingekuwa kubwa! Maana upange uliotumika uo wenye matundu ndipo gia ya kulaza siti ilipo hivo lazima dereza ingelazimika ainuke apitishe mkono mpaka upande wa pili wa Lissu ambako risasi zinatokea pemben ya mlango ndo alaze siti! Kitendo hiki kingekuwa na maswali cos kufanya hivo kunaashiria yeye alimkwepesha Lissu sawa ila hizo ambazo zikipita ilikuwa lazima zingemfikia yeye tu! Na isngekuwa rahisi Lissu kuumia mguu wa kulia cos mguu wa kushoto unaukinga mguu wa kulia direct labda mpigaji apigie toka juu.

Hatujui kwanini mwazo walisema walilaza siti na sasa kwanini waseme hivo kuwa alilalia friji pale kwa ubavu! Ilo sijui mm
 
Lissu alijipiga risasi mwenyewe, afu akapanda akatoa CCTV.

Pia Lissu alitoa amri walinzi waondoke
 
Walipanga kumuua nani hao watu??
Naomba kuuliza swali. Zilipigwa risasi zaidi ya 30 na wanaonyesha walipanga kuua hawa watu hizi ni risasi nyingi sana. Swali langu Je huyu dereva alipigwa risasi ngap?
 
Adam Mohamed Bakari, dreva wa Mh. Lissu aliyasema haya katika mahojiano yake na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo.
Inategemewa kuwa jinsi dunia inavyostaarabika ule ustarabu uenee kwenye nchi zote hata kama kwa kuchelewa. Nikisoma baadhi ya hoja kwenye uzi huu naona kuna baadhi yetu hatuatahili kuitwa binadamu. Maana hata kama risasi hukupigwa wewe au unadhan wewe au ndugu yakoi hamtakuja pigwa risasi, kila mtu angetegemewa hata awe na uwezo wa kubuni (imagination) ya yaliyompata huyu binadamu mwenzetu. Nadhani hiyo imagination hata Rais wetu, SSH, anayo na ndiyo ilimtuma kwenda kumpa pole Tundu Lissu Nairobi na Ubeljiji. Na tunachopigania kwa risasi ni kitu gani? Na hao wapiga risasi hawakuwepo hata wakati wa kupigania Uhuru wetu wa Tanzania! Kama mnaoandika dhihaka humu mnafanya mchezo, basi ndiyo maana kuna watu wa nje ya Afrika wameanza hoja kuwa Afrika inatakiwa itawaliwe tena. Na tutatawaliwa kwa sababu hatuna hata umoja kuwa sisi wote ni Watanzania ila tunawaza tofauti tu na tofauti hizo suluhu yake si kupigana risasi.Tanzania,Wakombozi wa udhalimu,tumegeuka kushabikia udhalimu wa sisi kwa sisi! Huu ujinga usipokomeshwa utakuwa upumbavu, jinsi wapumbavu wanavyokuwa wengi ndivyo Tanzania itakavyokuwa. Usalama wa nchi yetu uko hatarini! Mtu ye yote hata mwenye akili na hekima kiduchu hawazi kushindwa kuona hatari ya malezi haya ya kitaifa. Mwenyezi Mungu Apishe mbali!!
 
Target ni Lissu ndio upande ulioshambuliwa na matundu yalionekana baada ya kufyatua risasi dereva akailaza siti yake pamoja na ya lissu na lissu Alilalia tumbo huku akiwa amesogea zaidi siti ya nyuma ya abiria ,sasa wale kina makonda wakawa wanamimina tuu risasi hovyo upande wa abiria pasipo kumrushia risasi upande wa dereva na tinted ilisaidia wakiendeleea kumimina risasi dereva alikua ameshashuka na kukaa ubavuni mwa tairi ya gari ...

Nimeamua nikujibu wewe moja kwa moja ili ukakojoe ukalale huko View attachment 2508644

Hahaaahaa, aisee aspoelewa tena basi
 
Inawezekana risasi zote zaidi ya 30 ziishie tu kwenye mwili wa Mh. Lissu bila kupenya risasi hata 1 kumdhuru Dereva aliyekuwa upande wa pili wa Lissu?

Mbona kama inafikirisha sana?
 
[emoji38][emoji1][emoji38] aisee we jamaa mjuaji sana
Nimeuliza swali kwa jinsi gari lilivyomiminiwa risasi haziwez kuwa zimempata mtu mmoja inakuwaje dereva hakupatwa na risasi ambazo zilimpatq mweshimiwa Lissu pekee?

wewe mwenye akili nyingi nifafanulie sijauliza kiushabiki wa kisiasa.
Hakuna atayeweza kukujibu sababu Mawatu yamekaa kisiasa yakidhani kila Mtu asiyekubaliana na hoja zao ni mwanasiasa mpinzani wao [emoji23]
 
Adam Mohamed Bakari, dreva wa Mh. Lissu aliyasema haya katika mahojiano yake na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo.

Kwahiyo unataka kutuambia ndiye aliyempiga risasi Lissu! Funguka.
 
Hii issue yakulaza siti sasahivi imeshageuzwa! Kwa mujibu wa Lissu juzi akihojiwa na Clouds alieleza kuwa dereva wake alimvuta upande wake, hivo akalala kiubavu na dereva akapiga teke mlango wake na kutoka nje.

Nini kinakwepwa? Kama maelezo yangekuwa kulaza siti kama walivyokaeleza mwanzo, sintofahamu ingekuwa kubwa! Maana upange uliotumika uo wenye matundu ndipo gia ya kulaza siti ilipo hivo lazima dereza ingelazimika ainuke apitishe mkono mpaka upande wa pili wa Lissu ambako risasi zinatokea pemben ya mlango ndo alaze siti! Kitendo hiki kingekuwa na maswali cos kufanya hivo kunaashiria yeye alimkwepesha Lissu sawa ila hizo ambazo zikipita ilikuwa lazima zingemfikia yeye tu! Na isngekuwa rahisi Lissu kuumia mguu wa kulia cos mguu wa kushoto unaukinga mguu wa kulia direct labda mpigaji apigie toka juu.

Hatujui kwanini mwazo walisema walilaza siti na sasa kwanini waseme hivo kuwa alilalia friji pale kwa ubavu! Ilo sijui mm
Kuna mtu nilisha wai muuliza muuliza vipi kuhusu hili alinijibu nikalale niache ya watu wazima ila alisema kama serikali ingekuwa nyuma hili huyu jamaa asinge pona na Wala asingepigwa risasi ni michezo tu
 
Magufuli alikuwa shetani na nusu

Angekuwa Magufuli. Lissu angekuwa hana pa kukimbilia. Ni mpumbavu Tu anayeweza Amini kuwa nguvu ya Rais wa Tanzania atumie watu wakampige Risasi maeneo ambayo ya government ambapo kila mjinga Kama wewe anaweza kurelate.

Mission za mtu wa Serikali alihitaji Risasi moja Tu. Na Hata kuwa kwake ubelgiji asingepona. Hao wakina kagame wanatuma watu mpaka marekani na utauliwa. Lissu Hakuwa na lolote na kumfanya Rais amwone tishio.

Lissu Ni Kama wale wanafunzi wa sekondari ambao lazima abishane kwa ajili ya cheap popularity. Lakini kwenye maslahi yake wala haongei. Kwa namna ya CHADEMA ilivyo na uenyekiti wa mbowe miaka yote hii na hulka mnayompachika Lissu pasingeiva.

Shetani na nusu uliza Museveni. Kagame. Paul B wa Cameroon nk. Tanzania ni tamu sana. Endeleeni Tu kuishi kwa ujinga ujinga.
 
Target ni Lissu ndio upande ulioshambuliwa na matundu yalionekana baada ya kufyatua risasi dereva akailaza siti yake pamoja na ya lissu na lissu Alilalia tumbo huku akiwa amesogea zaidi siti ya nyuma ya abiria ,sasa wale kina makonda wakawa wanamimina tuu risasi hovyo upande wa abiria pasipo kumrushia risasi upande wa dereva na tinted ilisaidia wakiendeleea kumimina risasi dereva alikua ameshashuka na kukaa ubavuni mwa tairi ya gari ...

Nimeamua nikujibu wewe moja kwa moja ili ukakojoe ukalale huko View attachment 2508644

So target Lissu ndo professional killers watumie Risasi 31? Are you serious? Then wampige maeneo Yale? Then wasihakikishe Kama kafa Wakati mmesema waliwatoa Askari kwa amri toka juu? Utakuwa mpumbavu Tu ndo unaweza amini Hilo.

Ungesema Labda kulikuwa na mission ya kikundi cha watu wazima kumharibia jina JPM sawa. Tena kikundi ambacho cha Untouchables. Mantiki inaweza kuja. Hata jamaa wa tabata mjinga tu wa mapenzi alikumhuka kununua magunia mawili ya mkaa kupoteza ushahidi.
 
Inategemewa kuwa jinsi dunia inavyostaarabika ule ustarabu uenee kwenye nchi zote hata kama kwa kuchelewa. Nikisoma baadhi ya hoja kwenye uzi huu naona kuna baadhi yetu hatuatahili kuitwa binadamu. Maana hata kama risasi hukupigwa wewe au unadhan wewe au ndugu yakoi hamtakuja pigwa risasi, kila mtu angetegemewa hata awe na uwezo wa kubuni (imagination) ya yaliyompata huyu binadamu mwenzetu. Nadhani hiyo imagination hata Rais wetu, SSH, anayo na ndiyo ilimtuma kwenda kumpa pole Tundu Lissu Nairobi na Ubeljiji. Na tunachopigania kwa risasi ni kitu gani? Na hao wapiga risasi hawakuwepo hata wakati wa kupigania Uhuru wetu wa Tanzania! Kama mnaoandika dhihaka humu mnafanya mchezo, basi ndiyo maana kuna watu wa nje ya Afrika wameanza hoja kuwa Afrika inatakiwa itawaliwe tena. Na tutatawaliwa kwa sababu hatuna hata umoja kuwa sisi wote ni Watanzania ila tunawaza tofauti tu na tofauti hizo suluhu yake si kupigana risasi.Tanzania,Wakombozi wa udhalimu,tumegeuka kushabikia udhalimu wa sisi kwa sisi! Huu ujinga usipokomeshwa utakuwa upumbavu, jinsi wapumbavu wanavyokuwa wengi ndivyo Tanzania itakavyokuwa. Usalama wa nchi yetu uko hatarini! Mtu ye yote hata mwenye akili na hekima kiduchu hawazi kushindwa kuona hatari ya malezi haya ya kitaifa. Mwenyezi Mungu Apishe mbali!!
Mleteni dereva, mnajifanya kutiatia huruma bila fact.
 
Rosado 30 hazikumpata zote Kama wats wanavyofikiria maana ukiangalia matundu ya kwenye gari yalipiga juu ya Kioo
 
Kuna mtu nilisha wai muuliza muuliza vipi kuhusu hili alinijibu nikalale niache ya watu wazima ila alisema kama serikali ingekuwa nyuma hili huyu jamaa asinge pona na Wala asingepigwa risasi ni michezo tu
Kimsingi shambulio lilikuwa limepangwa na watu kadhaa ndani ya serikali na ndani ya chamachake. Ila haikuwa issue ya kiserikali
 
Back
Top Bottom