Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Dereva wa Lissu: Sikumwambia Lissu kuwa kuna magari yanatufuata hadi nilipoegesha gari

Naomba kuuliza swali. Zilipigwa risasi zaidi ya 30 na wanaonyesha walipanga kuua hawa watu hizi ni risasi nyingi sana. Swali langu Je huyu dereva alipigwa risasi ngap?
Lisu hakupigwa risasi anajidekeza aonewe huruma!! Ni uongo wa mchana kweupe hakupigwa risasi! Alitaka tu kumchafua Magufuli aonekane ni muuaji!!

Alisikika mnywa gongo mmoja akiropoka mtaani!!
 
Naomba kuuliza swali. Zilipigwa risasi zaidi ya 30 na wanaonyesha walipanga kuua hawa watu hizi ni risasi nyingi sana. Swali langu Je huyu dereva alipigwa risasi ngap?
Maswali kama haya yalitakiwa yajibiwe na Uchunguzi wa Jeshi la Polisi.
 
Maswali kama haya yalitakiwa yajibiwe na Uchunguzi wa Jeshi la Polisi.

..dereva alikuwa anatafutwa kipindi kile Lissu amepoteza fahamu.

..matarajio yalikuwa Lissu atakufa hivyo ingekuwa rahisi kumbakia kesi kijana wa watu.

..baada ya Lissu kupata fahamu na kueleza kilichomtokea hawajajisumbua tena kumtafuta dereva na kumchukua maelezo.
 
Kuna watu wanadai eti Lissu alijipiga risasi hao watu wanaofahamu risasi kweli ?watu wanaogopa hata manati sasa iwe risasi !Kwa akili hiyo sijui huyo Lissu aliagiza na maaskari wasiwepo lindo ili ajipige risasi hizo.Watu wenye mawazo kama hayo hivi wanakuwa na vinasaba vya binadamu au kenge
 
Target ni Lissu ndio upande ulioshambuliwa na matundu yalionekana baada ya kufyatua risasi dereva akailaza siti yake pamoja na ya lissu na lissu Alilalia tumbo huku akiwa amesogea zaidi siti ya nyuma ya abiria ,sasa wale kina makonda wakawa wanamimina tuu risasi hovyo upande wa abiria pasipo kumrushia risasi upande wa dereva na tinted ilisaidia wakiendeleea kumimina risasi dereva alikua ameshashuka na kukaa ubavuni mwa tairi ya gari ...

Nimeamua nikujibu wewe moja kwa moja ili ukakojoe ukalale huko View attachment 2508644
Lisu amesharejea nyumbani ,huyo dereva yuko wapi ,mbona anaonekana lisu tu peke yake !!?
 
😆😄😆 aisee we jamaa mjuaji sana
Nimeuliza swali kwa jinsi gari lilivyomiminiwa risasi haziwez kuwa zimempata mtu mmoja inakuwaje dereva hakupatwa na risasi ambazo zilimpatq mweshimiwa Lissu pekee?

wewe mwenye akili nyingi nifafanulie sijauliza kiushabiki wa kisiasa.
Nami naomba nikuulize swali kama lako hili, kwa nia njema kabisa kama uliyonayo wewe: hawa watu waliompiga risasi Lissu, mbona walipiga risasi kwa maksudi ili zisimuue Lissu, bali zimjeruhi tu, basi?
Hebu tueleze kuhusu hili swala, nasi tutatafuta njia ya kukueleza ni vipi dereva haikumpata risas hata moja iliyoelekezwa garini.
 
Naomba kuuliza swali. Zilipigwa risasi zaidi ya 30 na wanaonyesha walipanga kuua hawa watu hizi ni risasi nyingi sana. Swali langu Je huyu dereva alipigwa risasi ngap?

Nani alikuwa anamtafuta dereva, au dereva ni bord guard, ama lilikuwa ni shambulizi la bomu? Hata kwenye shambulizi la bomu sio wote wanakufa.
 
Lisu amesharejea nyumbani ,huyo dereva yuko wapi ,mbona anaonekana lisu tu peke yake !!?
Ngoja nikusaidie katika hili.

Hizi ni njama zilizopangwa kati ya Lissu na dereva wake, kwamba dereva atammiminia Lissu risasi; na baada ya yote yaliyopita, sasa Lissu anamkingia kifua dereva wake.

Sijui kama nimekusaidia kuelewa jambo hili linalokutatiza akilini mwako.
 
Msome huyu nchangiaji

CYP Mkutubi​

3 years ago (edited)
Huyu dereva, nimeyasikiliza maelezo yake kwa umakini sana ... kuna haja kubwa sana ya kuhojiwa na Idara ya Upelelezi ya Jeshi la Polisi. Jeshi letu la Polisi halina utaratibu wa kwenda kuwahoji washukiwa nje ya nchi, wewe kama Mtanzania ulitakiwa kuhitikia wito wa Jeshi la Polisi kuja kuhojiwa Tanzania. Ulikaidi, na hata sasa hutaki kurudi Tanzania. Mwenye akili za kupembua anaona kabisa kuna siri nzito zimefichwa! Wahusika wanazidi kujificha kwa kuelekeza lawama serikalini ili wasifikiriwe! Njoo uhojiwe!! Kikulacho kinguoni mwako, ipo siku MUNGU Mwenyezi atawafunulia Wana-CHADEMA. Jiulizeni ... kwanini kila anaeinuka kuwania Uwenyekiti wa CHADEMA lazima ashambuliwe au kufa kabisa, au kunyang'anywa uwanachama kabisa?! Huyu Top kwanini yeye haya hayamkuti?? !!! CHADEMA fikirieni mara nyingine tena! Mzua pembe ndo mzika pembe!!
Show less
Kwanini kila anayetaka kugombea uenyekiti ndani ya chadma anapatwa a dhoruba !!?? Kwanini !!?? Nauliza Kwanini!!?

Chadma NI chama langu ,lkn ninamaswali yasiyo na majibu aise.Lisu mm mwanachama na mfuasi wako kindakindaki naomba ugombee uenyekiti wa chadma taifa.
 
Ukweli uupate huku mitandaoni? Ok, endelea kuutafuta

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Wangetaka ukweli wangewaruhusu Scotland Yard wafanye upelelezi. Hawa wakwetu (Polisi) walituzuia hata kumwombea dua ya heri Ndugu Lisu na ukipatikana umevaa Tshirt ya kumtakia heri Ndugu Lisu ulikamatwa na kupelekwa Central Police Station.
 
😆😄😆 aisee we jamaa mjuaji sana
Nimeuliza swali kwa jinsi gari lilivyomiminiwa risasi haziwez kuwa zimempata mtu mmoja inakuwaje dereva hakupatwa na risasi ambazo zilimpatq mweshimiwa Lissu pekee?

wewe mwenye akili nyingi nifafanulie sijauliza kiushabiki wa kisiasa.
Ni mara nyingi tu imewahi kutokea watu wako wengi risasi au hata bomu linalipuka na wachache wanafariki na wengine wanatoka wazima kabisa. Inategemea risasi zilivyopigwa na huyo dereva ali-react namna gani. Hili siyo jambo la kushangaza hata kidogo na wala siyo ujuaji.
 
Huyu lisu hapana kwakweli anaongea ujinga tu

All in all mmesikia kwamba CCM bado tupo tutajenga madaraja, mashule, viwanja na kila maendeleo

CHAWA WA MAMA
 
Adam Mohamed Bakari, dreva wa Mh. Lissu aliyasema haya katika mahojiano yake na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo.

Maelezo ya dereva huyu ni very sincere, huoni shaka yoyote wala conspiracy yoyote kwamba alimsaliti kwa kumuuza boss wake kwa wahalifu hawa..

Ni wazi kuwa, Mungu wa mbingu na nchi aliwaponya hawa watu kwa namna ile.

Hata ajali ya jana kule Korogwe - Tanga kuna watu wamekufa palepale lakini kuna watu akiwemo mtoto mmoja nasikia hawakuapata hata michubuko, ni wazima kabisa..

Kwa hiyo si ajabu Dereva kutopatwa na risasi yoyote after all, target haikuwa yeye bali ni boss wake...

By the way kwanini Polisi hawafanyi uchunguzi? Kwanini hawajawahoji waathirika hawa kama sehemu ya uchunguzi wao?

Nadhani haya ndiyo maswali ya msingi kuyauliza. Dereva yupo Ubelgiji, kama wanatoka taarifa zake, waende huko wakamchukue maelezo yake. Ni HAKI yake kutokuja huku iwapo Kuna mazingira ya kuhofia usalama wake..!!
 
Naomba kuuliza swali. Zilipigwa risasi zaidi ya 30 na wanaonyesha walipanga kuua hawa watu hizi ni risasi nyingi sana. Swali langu Je huyu dereva alipigwa risasi ngap?
Umewahi kuugua magonjwa ya akili?

Baadaye utauliza na msichana wa gari alipigwa risasi ngapi. Mwishoni bila shaka utauliza wabunge na walazi wa Dodoma walipigwa risasi ngapi!

Ukiwa mnafiki hata akili inafifia au kuharibika. Unaanza kuuliza hata mambo ya kijinga kabisa ila wewe mwenyewe kwa sababu ya ile roho ya uovu, utaona umeuliza swali la maana sana.
 
Target ni Lissu ndio upande ulioshambuliwa na matundu yalionekana baada ya kufyatua risasi dereva akailaza siti yake pamoja na ya lissu na lissu Alilalia tumbo huku akiwa amesogea zaidi siti ya nyuma ya abiria ,sasa wale kina makonda wakawa wanamimina tuu risasi hovyo upande wa abiria pasipo kumrushia risasi upande wa dereva na tinted ilisaidia wakiendeleea kumimina risasi dereva alikua ameshashuka na kukaa ubavuni mwa tairi ya gari ...

Nimeamua nikujibu wewe moja kwa moja ili ukakojoe ukalale huko View attachment 2508644
Unahangaika na details zote hizo unadhani haujui ukweli, hao ndiyo wahusika wenyewe wanadhani wa akili za kuweza kuu-twist ukweli, bahati nzuri Lissu wazi kabisa bila ya kumung'unya maneno ameshasema kuwa ni ilikuwa ni order kutoka kwa lile shetani Jiwe na polisi wanaogopa kumhoji manake kama wanafanya upelelezi walipaswa kumuhoji.
 
Msome huyu nchangiaji

CYP Mkutubi​

3 years ago (edited)
Huyu dereva, nimeyasikiliza maelezo yake kwa umakini sana ... kuna haja kubwa sana ya kuhojiwa na Idara ya Upelelezi ya Jeshi la Polisi. Jeshi letu la Polisi halina utaratibu wa kwenda kuwahoji washukiwa nje ya nchi, wewe kama Mtanzania ulitakiwa kuhitikia wito wa Jeshi la Polisi kuja kuhojiwa Tanzania. Ulikaidi, na hata sasa hutaki kurudi Tanzania. Mwenye akili za kupembua anaona kabisa kuna siri nzito zimefichwa! Wahusika wanazidi kujificha kwa kuelekeza lawama serikalini ili wasifikiriwe! Njoo uhojiwe!! Kikulacho kinguoni mwako, ipo siku MUNGU Mwenyezi atawafunulia Wana-CHADEMA. Jiulizeni ... kwanini kila anaeinuka kuwania Uwenyekiti wa CHADEMA lazima ashambuliwe au kufa kabisa, au kunyang'anywa uwanachama kabisa?! Huyu Top kwanini yeye haya hayamkuti?? !!! CHADEMA fikirieni mara nyingine tena! Mzua pembe ndo mzika pembe!!
Show less
Tulikuwa na kiongozi shetani. Kwa binadamu wa kawaida, hata kama ukiwa katili, haiwezekani kabisa, mtu kukosoa tu maamuzi yako, unaona anastahili kuuawa. Mtu kuhoji uhalali wa PhD yako, unaona anastahili kuuawa. Mtu kuandika tu watu Kibiti wapo wanaouawa kwa kuonewa, unaona anastahili kifo. Mtu kuandika tu kuwa uchumi unadidimia, unaona anastahili kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi. Unatamani utajiri, unaamua kuwabambikia watu kesi za uhujumu uchumi, halafu unawapora pesa yao unaenda kuficha benki ya China.

Kwa kweli tulikuwa chini ya utawala wa laana. Tunamshukuru Mungu, bila shaka ni kutokana na sala za wenye haki, hakutuacha, akatuonesha upendo, huruma na ulinzi wake. Hakika mwenye haki hata akidhulumiwa na kuteswa, lazima Mwenyezi Mungu ampe ushindi.
 
Back
Top Bottom