Ene magari
Member
- Jul 28, 2021
- 21
- 24
- Thread starter
-
- #21
Tupo apa pia mkuu na ma vyeti yetu makubwa makubwa[emoji850][emoji850]background yangu ya uderva
nshawah kuwa dereva uber na bolt
ila sasa natafuta kazi kweny kampuni
au kuwa derva wa mtu binfsi
na uzoefu mkubwa
na lesen y had class c3
nina uzoefu wa miak 3 kweny udereva kipnd nipo uber
no yangu
0628729873
Nashindwa kuelewa inamaana tangu mwaka Jana unatafuta gari haupati..??? Au ulipata then ukaachami n Drive wa bolt nahitaji Gar ya hesabu
iwe plate no ya njano or commercial nipo tayari
n uzoefu mkubwa na lesen class c
ikipatikana nipo tiyar md wowote kwanzia sasa
0628729873