Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

Rip magufuli
 
Afisa na huyo mwenzake wote wapumbavu miaka hii kweli wanaume mnatukanana, kupigana na kutoana damu kisa malaya wa club za usiku?

Kizazi hiki cha wanaume kinazidi kuongezeka kwenye sifa ya ujinga.

Hata wanawake watakuwa wanatushangaa. Kweli malaya wa kufanya mtoane ngeu?

Mwanaume yoyote anayepigana na mwanaume mwenzake kwa sababu ya mwanamke ni simp

Usenge mtupu kmmmk
 
Imekuwaje alipomjeruhi Bujuru alituonyesha hadharani na akiwa na Jeuri zote, ila leo huko Polisi katokea Mlango wa nyuma?
Kwanza kwa nini mahakama iruhusu milango ya nyuma iruhusu kupitisha watuhumiwa? Mimi ndio maana sipotezagi muda wangu kukaa juani kupiga kura, wanaonufaika na mifumo ni watu wachache na familia zao huo ndio ukweli, wengine tupambane na maisha hadi kieleweke
 
Ila mahakama jamani tarehe inapangwa mbali au ndiyo imeisha hiyo.halafu lituhumiwa et linakana halijafanya.huyu alitakiwa kula kichapo cha nguvu kama alivyomuumiza jamaa
Kukana ni hatua ya kutengeneza mazingira mpaka itakapotajwa tena mahakamani. Angekubali tu maanake hakuna haja ya ushahidi na hakimu anasoma hukumu na mchezo unaisha. Jamaa atafungwa ila ataenda kutokea gerezani kwa rufaa ndani ya wiki tu
 
Si angewekwa kwenye mikono salama ya Polisi kama Boni Yai aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…