BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Angalia ulivyoandika hapo umelewa Gongo au?Kwa heri....ukiwa take it huwezi potezea...wenzako weengi wameelewa ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia ulivyoandika hapo umelewa Gongo au?Kwa heri....ukiwa take it huwezi potezea...wenzako weengi wameelewa ....
Kwa kitendo alichokifanya ilistahili akatwe kichwa kikazikwe baharini katikati ya bahari anaeweza kukifuata akifuate huku Nchi kavu mtazika kiwiliwili kmmmkezake yule boya ni zaidi ya mcenge kima kasoro mkia kabisa namaanisha huyo mtoto wa Gavana Msaidizi wa BOT alichofanya kumpiga na kumtishia mwenzake kwa kumpiga akatwe kichwa na yeye ajisikie vizuriMbona kwenye habari ya awali ilisemwa aliejeruhiwa na kaka wa huyo mwanamke. Sio demu wake ni dada yake
Huyu lazima achinjwe Wewe subiri labda wakamfiche nje hukoJamaa anajiona mjanja inabid afanyiwe tukio mpaka ajutie ujinga wake,
Uchawi haupo Serikalini, ndio maana hata mahakama haitambui uchawi. Kulogana kunaanza ukisha staafu.SWALI....
Hawarogeki?????
Mbona kwenye habari ya awali ilisemwa aliejeruhiwa na kaka wa huyo mwanamke. Sio demu wake ni dada yake
Umesema vyema mkuuJust imagine anapigana kisa mwanamke wa bar za usiku wa manane nyumbani kaacha mke.
Laanatul. Kwa kugombania mwanamke wa bar/club amejidhalilisha, amemdhalilisha mama yake na kumtia aibu mke wake.
Wote ni watumishi wa TRA.Mke wake alikuwa akifanyakazi Mkoa wa Arusha na yeye Mkoa wa Mwanza.Na unakuta mkewe na yeye wote ni member wa jamii forum hapo sasa ngoma inanoga zaidi.
Mbona Makonda alisema wafanyakazi wa serikali wanarogana sanaUchawi haupo Serikalini, ndio maana hata mahakama haitambui uchawi. Kulogana kunaanza ukisha staafu.
kwani anaishi kwenye dunia gani?Watu noma, mnajua hadi mke wake?
Jipeleke upigwe na wewe.Hawaogopi raia wenye hasira kali?
hapanasio hivyoNaonakabisa
Naona kabisa mpk alietendewa keshakubali maana ili jamaa apewe dhamana ilitakiwa usalama wa yule aliepigwa ujulikane kaumia Kwa kisasi gani sasa kaka Hadi kafika mahakamani ni ili kukuonesha hakimu kua afya yake sio mbaya sana
Nchi zingine, huyu kwanza ajira inaota nyasi, harafu ndio kesi, akimalizana, na kesi ya, jinai,anakutana na kesi ya madai, atagaharsmia matibsbu ya aliyejeruhiwa, na uharibifu wote,ikifanyika hv, hakuna kenge atafsnya ujinga kama huu, wengi kwenye hz taasisi wamefika pale kwa kubebwa tu, ukiwatupa kitaani, ni mishuzi, tu,Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha.
Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Hakimu Mfawidhi Is-haq Kuppa huku aliyejeruhiwa pia akifika mahakamani hapo.
Inadaiwa alitenda makosa hayo Oktoba 27, 2024 maeneo ya Masaki ‘1245 night club’ Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo alimjeruhi kijana Julian Bujuru kwa kumpiga na kitako cha bastola.
Pia inadaiwa alimjeruhi Julian Bujuru sehemu ya jicho na pua.
Soma Pia: Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Baada ya mshtakiwa kusomewa mashtaka hayo alikana makosa, huku mahakama ikimpa masharti ya dhamana ya mtumishi wa umma atakayesaini bondi ya Shilingi Milioni Nane.
Mtuhumiwa huyo alitimiza masharti hayo ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 20, 2024 itakapoitwa tena mahakamani kwa ajili ya kutajwa.
Hata hivyo mtuhumiwa aliweza kutokea mlango wa nyuma ili kukwepa mapaparazi ambao walijipanga maeneo hayo.
Kesi imeahirishwa mpaka itakapotajwa tena...Tuseme ndo imeisha hvyo au..
Usifanye masihara mkuu..Uchawi haupo Serikalini, ndio maana hata mahakama haitambui uchawi. Kulogana kunaanza ukisha staafu.
Cha kufurahisha Zaid au Cha kustahajabisha ni kwamba huyo ni mwanachama wa muda mrefu sana humu jamvini...!!😀😀Angalia ulivyoandika hapo umelewa Gongo au?
Babu huelewi yule aliyepigwa akiwa amelewa na huyo mtoto wa Gavana ni kaka wa yule Dada aliekua anaongea nae, yaan ni sawa wewe uende ukampige shemeji yako mbele ya Dada yake sijui unaelewa?Bado huyo afisa ni mpumbavu
Dada yake ni malaya ameenda klabu za usiku kama kapata bwana shida iko wapi?
Wewe hujui 90% ya watoto wa vigogo ni mabumunda ila kiingereza kingi kwa sababu ya kusoma shule za kimataifa.Wengi wanajiita business people na walioajiriwa hakuna interview,ka memo ka baba kanatosha.Ukion
Mtoto wa D governor anaweza kua mshamba kiasi Cha kutoa silaha bar? Labda mtoto wa nje ya ndoa maana wengi waliozaliwa nje ya ndoa Ni watoto wa michepuko or semi prostitute na Ni mabumunda yasiyo na maadili. Wanachojua Ni kudeka tu na hawana marafiki wa kweli wa kuwashauri.
Sema huyu mwanamke ana shida niongezee na mjinga. Wanawake wenye kipato na akili hawaendekezi hii shombo,ndio maana siku hii single mothers ni wengi sana.Wote ni watumishi wa TRA.Mke wake alikuwa akifanyakazi Mkoa wa Arusha na yeye Mkoa wa Mwanza.
HRM wakaona isiwe taabu bwana kawa kicheche sana kisa umbali wakaunganishwa wote Mkoa wa Dar.Bado haijasaidia kabisa Bwana analala nje Mama kakomaa analinda ndoa yake.
Jamani wanawake mnashida sana.
Kuoa mwanamke wa TRA kunahitaji moyo.Wote ni watumishi wa TRA.Mke wake alikuwa akifanyakazi Mkoa wa Arusha na yeye Mkoa wa Mwanza.
HRM wakaona isiwe taabu bwana kawa kicheche sana kisa umbali wakaunganishwa wote Mkoa wa Dar.Bado haijasaidia kabisa Bwana analala nje Mama kakomaa analinda ndoa yake.
Jamani wanawake mnashida sana.