Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

Mbona kwenye habari ya awali ilisemwa aliejeruhiwa na kaka wa huyo mwanamke. Sio demu wake ni dada yake
Kwa kitendo alichokifanya ilistahili akatwe kichwa kikazikwe baharini katikati ya bahari anaeweza kukifuata akifuate huku Nchi kavu mtazika kiwiliwili kmmmkezake yule boya ni zaidi ya mcenge kima kasoro mkia kabisa namaanisha huyo mtoto wa Gavana Msaidizi wa BOT alichofanya kumpiga na kumtishia mwenzake kwa kumpiga akatwe kichwa na yeye ajisikie vizuri
 
Na unakuta mkewe na yeye wote ni member wa jamii forum hapo sasa ngoma inanoga zaidi.
Wote ni watumishi wa TRA.Mke wake alikuwa akifanyakazi Mkoa wa Arusha na yeye Mkoa wa Mwanza.

HRM wakaona isiwe taabu bwana kawa kicheche sana kisa umbali wakaunganishwa wote Mkoa wa Dar.Bado haijasaidia kabisa Bwana analala nje Mama kakomaa analinda ndoa yake.

Jamani wanawake mnashida sana.
 
Naonakabisa

Naona kabisa mpk alietendewa keshakubali maana ili jamaa apewe dhamana ilitakiwa usalama wa yule aliepigwa ujulikane kaumia Kwa kisasi gani sasa kaka Hadi kafika mahakamani ni ili kukuonesha hakimu kua afya yake sio mbaya sana
hapanasio hivyo

kwa sheria ipi?
 
Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha.

Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Hakimu Mfawidhi Is-haq Kuppa huku aliyejeruhiwa pia akifika mahakamani hapo.

Inadaiwa alitenda makosa hayo Oktoba 27, 2024 maeneo ya Masaki ‘1245 night club’ Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo alimjeruhi kijana Julian Bujuru kwa kumpiga na kitako cha bastola.

Pia inadaiwa alimjeruhi Julian Bujuru sehemu ya jicho na pua.

Soma Pia: Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Baada ya mshtakiwa kusomewa mashtaka hayo alikana makosa, huku mahakama ikimpa masharti ya dhamana ya mtumishi wa umma atakayesaini bondi ya Shilingi Milioni Nane.

Mtuhumiwa huyo alitimiza masharti hayo ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 20, 2024 itakapoitwa tena mahakamani kwa ajili ya kutajwa.

Hata hivyo mtuhumiwa aliweza kutokea mlango wa nyuma ili kukwepa mapaparazi ambao walijipanga maeneo hayo.
Nchi zingine, huyu kwanza ajira inaota nyasi, harafu ndio kesi, akimalizana, na kesi ya, jinai,anakutana na kesi ya madai, atagaharsmia matibsbu ya aliyejeruhiwa, na uharibifu wote,ikifanyika hv, hakuna kenge atafsnya ujinga kama huu, wengi kwenye hz taasisi wamefika pale kwa kubebwa tu, ukiwatupa kitaani, ni mishuzi, tu,
 
Uchawi haupo Serikalini, ndio maana hata mahakama haitambui uchawi. Kulogana kunaanza ukisha staafu.
Usifanye masihara mkuu..
Hakuna sehemu yenye ushirikina kama Serikalini....
Ref.Bagamoyo Mlingotini...
Tanga mitaa ya Kwedikwazu mpaka pangani...
Kigoma ref. yule jamaa muimbaji aliyekatika mkono.....Sumbawanga kwa bibi yake Boni...huyu ndiye aliyekuwa fundi mkuu wa Chrisant Majiyatanga Mzindakaya...na bado yupo...
Kama hiyo haitoshi..
Jiulize Rais anapo apishwa ule mkuki na ngao na yale mavazi na kile kigoda kina maana gani....
Pia rejea hotuba za mwalimu Nyerere wakati wa kudai uhuru kafara waliyofanya Bagamoyo ya kuchinja na kuruka mashimo,,
 
Dhamana ni haki ya kila mtu, kama kosa lake lina dhamana acha apewe all we ask is consistency.
Kesho usinyime watu dhamana kisa wana mrengo fulani either kidini, kisiasa, kikabila au kitamaduni.
 
Angalia ulivyoandika hapo umelewa Gongo au?
Cha kufurahisha Zaid au Cha kustahajabisha ni kwamba huyo ni mwanachama wa muda mrefu sana humu jamvini...!!😀😀

Lakini tusishangae sana hii nchi suala la kuandika jambo kwa usahihi na likaeleweka ni changamoto mpaka kwa mawaziri Tena wenye PHD, sembuse raia wa Kawaida Tena wa kwa mtogole kama huyo.
 
Bado huyo afisa ni mpumbavu

Dada yake ni malaya ameenda klabu za usiku kama kapata bwana shida iko wapi?
Babu huelewi yule aliyepigwa akiwa amelewa na huyo mtoto wa Gavana ni kaka wa yule Dada aliekua anaongea nae, yaan ni sawa wewe uende ukampige shemeji yako mbele ya Dada yake sijui unaelewa?

Kwa hio mnapoenda club na mama zenu au dada zenu tambueni kuna manyamela km hayo ambayo yatataka kuwatomba kilazima dada zenu au mama zenu mbele zenu na ukiingilia yanakuchomolea chuma kiunoni
 
Ukion
Mtoto wa D governor anaweza kua mshamba kiasi Cha kutoa silaha bar? Labda mtoto wa nje ya ndoa maana wengi waliozaliwa nje ya ndoa Ni watoto wa michepuko or semi prostitute na Ni mabumunda yasiyo na maadili. Wanachojua Ni kudeka tu na hawana marafiki wa kweli wa kuwashauri.
Wewe hujui 90% ya watoto wa vigogo ni mabumunda ila kiingereza kingi kwa sababu ya kusoma shule za kimataifa.Wengi wanajiita business people na walioajiriwa hakuna interview,ka memo ka baba kanatosha.
 
Wote ni watumishi wa TRA.Mke wake alikuwa akifanyakazi Mkoa wa Arusha na yeye Mkoa wa Mwanza.

HRM wakaona isiwe taabu bwana kawa kicheche sana kisa umbali wakaunganishwa wote Mkoa wa Dar.Bado haijasaidia kabisa Bwana analala nje Mama kakomaa analinda ndoa yake.

Jamani wanawake mnashida sana.
Sema huyu mwanamke ana shida niongezee na mjinga. Wanawake wenye kipato na akili hawaendekezi hii shombo,ndio maana siku hii single mothers ni wengi sana.
 
Wote ni watumishi wa TRA.Mke wake alikuwa akifanyakazi Mkoa wa Arusha na yeye Mkoa wa Mwanza.

HRM wakaona isiwe taabu bwana kawa kicheche sana kisa umbali wakaunganishwa wote Mkoa wa Dar.Bado haijasaidia kabisa Bwana analala nje Mama kakomaa analinda ndoa yake.

Jamani wanawake mnashida sana.
Kuoa mwanamke wa TRA kunahitaji moyo.
Ni Ile taipu unamuambia mke wangu Leo nataka tule kitu Fulani anakujibu ingia jikoni hata wewe una mikono
 
Back
Top Bottom