Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si rahisi kukataa kwa utakayo amrishwa.

Sasa huenda pia huyu kijana (P Didy ) ni miongoni mwa ma devil worshippers na mtihani alipopewa ndio huo wa kuwalawiti wanaume wenzake tena wale ambao sio mashoga kabisa.

Kwa akili ya kawaida inaonekana kabisa hili ni shinikizo maana si rahisi mtu mwenye akili zake timamu awe vile alivyo .

Kwa alipofikia kutoka si rahisi na mwisho wake umekuja vibaya sana kila mmoja anamnyooshea vidole .

Hili liwe funzo pia kwa wengine wapenda utajiri wa shortcut ipo siku utatakiwa kuulipia tena kwa gharama kubwa sana ambayo kwa namna moja au nyingine inashusha utu wako na unaonekana kituko kwa wanaokutazama.
 
P didy ni kama chambo, na hakuna lolote litakalo mkuta kwani wapo wakubwa zaidi yake wana fanya hayo.

Afadhali yeye anashutumiwa kwa visa au kesi za watu wazima wenzake, kuna wale wakuu wa nchi waliotajwa kwenye Eipstin list( island), mpaka leo hakuna walicho fanywa.
 
Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si rahisi kukataa kwa utakayo amrishwa.

Sasa huenda pia huyu kijana (P Didy ) ni miongoni mwa ma devil worshippers na mtihani alipopewa ndio huo wa kuwalawiti wanaume wenzake tena wale ambao sio mashoga kabisa.

Kwa akili ya kawaida inaonekana kabisa hili ni shinikizo maana si rahisi mtu mwenye akili zake timamu awe vile alivyo .

Kwa alipofikia kutoka si rahisi na mwisho wake umekuja vibaya sana kila mmoja anamnyooshea vidole .

Hili liwe funzo pia kwa wengine wapenda utajiri wa shortcut ipo siku utatakiwa kuulipia tena kwa gharama kubwa sana ambayo kwa namna moja au nyingine inashusha utu wako na unaonekana kituko kwa wanaokutazama.
ulichoandika ndicho nilichokuwa nakiwaza kutwa nzima ya leo...DIDY FINISHED
 
Utafikiri ninyi ni watakatifu, mnapenda kufurahi matajiri wakipata kashkash ili muuhusishe utajiri wao na shetani sijui freemason.

Acheni hizo mbanga, kuna watu wanapenda kula vitoto vidogo, wao starehe yao ni kupiga miti vitoto huyu akidakwa mtamsingiia ndu yenu shetani, wengine ndo hao wafukua mitaro, shetani anapata kesi kwa upumbavu wa mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom