Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Whether it's true or arrangees to destruct Didy reputation
it's the matter of time everything will be revealed.
it's the matter of time everything will be revealed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa, kuna watu wanafuata mkumbo tu na kujifanya wema sana au nchi ina watu wazuriUtafikiri ninyi ni watakatifu, mnapenda kufurahi matajiri wakipata kashkash ili muuhusishe utajiri wao na shetani sijui freemason.
Acheni hizo mbanga, kuna watu wanapenda kula vitoto vidogo, wao starehe yao ni kupiga miti vitoto huyu akidakwa mtamsingiia ndu yenu shetani, wengine ndo hao wafukua mitaro, shetani anapata kesi kwa upumbavu wa mtu binafsi.
Wakati member mpya wa Freemason anafanyiwa initiation, anaambiwa mambo yafuatayo.Ina maana hao freemasons mwisho wao sio mbaya!!?
Fafanua!
Ulijuaje haya yote. Ulishakuwa member wao?Wakati member mpya wa Freemason anafanyiwa initiation, anaambiwa mambo yafuatayo.
Kwanza, anaapishwa kutunza siri na mambo yote nyeti ya taasisi, kiapo hicho hufanyika akiwa kifua wazi, then grand Master anachukua bikari yenye ncha kali, anamchoma nayo muhusika upande wa kushoto, juu ya kiini cha ziwa au kufua, then anamuuliza unasikia nini?
Muhusika anajibu, nasikia maumivu, anamchoma tena mpaka ifike mara tatu, then anamwambia siku ukitoa siri utapata maumivu makali zaidi ya hayo, yani moyo wake utatolewa live akiwa anaona.
Pili, wakati muhusika anachukua kiapo, anaweka mkono wake wa kulia upande wa kifuani mwake ( kama ambavyo watu hufanya wakiimba wimbo wa taifa) then anaapa kwamba atatunza siri sawa na kutunza moyo wake.
Ngozi nyeusi wanapenda wakiona tajiri anateseka hata iwe kwa kesi ya kubumba wanafurahi mno.Ni kweli kabisa, kuna watu wanafuata mkumbo tu na kujifanya wema sana au nchi ina watu wazuri
Tunaona kesi nyumbani zaidi ya huyu
Babu amlawiti mjukuu baada ya kujulikana ajiuwa, bongo
Baba mzazi ambaka mtoto wake wa miezi 6 mpaka kufa- Bongo
Na hao freemasonry?
Kila mahali kuna washenzi kweli boss ila waswahili kwa kuhukumu tuko juu
Angalia jamaa aliefia kwenye Range
Comments utafikiri wote ni police very strange
P.diddy atahukumiwa kwa makosa yake na mengi tutasikia pia
Nilisoma vitabu ambavyo viliandikwa na Ex-members wa hiyo taasisi.Ulijiaje haya yote. Ulishakuwa member wao
Ulijiridhisha vipi kama ni kweli alikuwa ni member waoNilisoma vitabu ambavyo viliandikwa na Ex-members wa hiyo taasisi.
Hiyo sio siri mkuu, zipo siri ambazo hata member Wengine hawazijui.Ulijiridhisha vipi kama ni kweli alikuwa ni member wao
Hao ni watu wanajitungia story kujipatia fedha. Umesema
ni siri yeye amewezaje kutoa siri hiyo akabaki salama mpaka
akaandika na kitabu.
kwendraaaaa Huko ......Hiyo sio siri mkuu, zipo siri ambazo hata member Wengine hawazijui.
Freemason (Scottish rite) Ina madaraja au degree 33°
Asilimia 80% ya members wote wanaishia kwenye degree ya tatu (3), kupanda degree za juu zaidi kuna vigezo vyake, na kadri unavyo upgrade ndyo unazidi kujua siri nyingi na kubwa.
Freemasonry is a secret within a secret
Muda ni mchache siwezi kuandika mambo yote hapa, ila hii ni mada pana sana.
“The more you research, the crazy you sound to ignorant people"kwendraaaaa Huko ......
Aiseh!inatisha sana!Wakati member mpya wa Freemason anafanyiwa initiation, anaambiwa mambo yafuatayo.
Kwanza, anaapishwa kutunza siri na mambo yote nyeti ya taasisi, kiapo hicho hufanyika akiwa kifua wazi, then grand Master anachukua bikari yenye ncha kali, pia anaweza kutumia upanga, anamchoma nayo muhusika upande wa kushoto, juu ya kiini cha ziwa au kufua, then anamuuliza unasikia nini?
Muhusika anajibu, nasikia maumivu, anamchoma tena mpaka ifike mara tatu, then anamwambia siku ukitoa siri utapata maumivu makali zaidi ya hayo, yani moyo wake utatolewa live akiwa anaona.
Pili, wakati muhusika anachukua kiapo, anaweka mkono wake wa kulia upande wa kifuani mwake ( kama ambavyo watu hufanya wakiimba wimbo wa taifa) then anaapa kwamba atatunza siri sawa na kutunza moyo wake.
View attachment 3106668
Kwamba shetani (kama kweli yupo) awatupe wafuasi wa uovu wake kweli? Au ufika tu mahali anazidiwa na nguvu nyingine kubwa zaidi kuliko yeye na kupelekea yeye na huyo mfuasi wake kufeli?Shetani ndivyo alivyo anakutumia lengo lake likitimia nakutupa na kukucheka
Unakumbuka ile movie ya Apocalypto? Kuna kipande kinaonesha mtu anatolewa moyo then unaliwa hadharani.Aiseh!inatisha sana!
Sawa mkuu sasa kujielimisha zaidi kuhusu hilo nenda TISH TV youtube kuna clip ya celebs anamuongelea msanii maarufu wa TZ mwenye jina la kwanza D La pili P. Huyu TISH TV ni wa Uganda, na pia kaongeza huyo msaniivwa TZ ni shemeji yetu.Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si rahisi kukataa kwa utakayo amrishwa.
Sasa huenda pia huyu kijana (P Didy ) ni miongoni mwa ma devil worshippers na mtihani alipopewa ndio huo wa kuwalawiti wanaume wenzake tena wale ambao sio mashoga kabisa.
Kwa akili ya kawaida inaonekana kabisa hili ni shinikizo maana si rahisi mtu mwenye akili zake timamu awe vile alivyo .
Kwa alipofikia kutoka si rahisi na mwisho wake umekuja vibaya sana kila mmoja anamnyooshea vidole .
Hili liwe funzo pia kwa wengine wapenda utajiri wa shortcut ipo siku utatakiwa kuulipia tena kwa gharama kubwa sana ambayo kwa namna moja au nyingine inashusha utu wako na unaonekana kituko kwa wanaokutazama.
Umasikini ni LAANA BossNgozi nyeusi wanapenda wakiona tajiri anateseka hata iwe kwa kesi ya kubumba wanafurahi mno.
Watamuita mwizi, fisadi, mchawi, freemason na sifa zote mbayambaya ndio mioyo yao itulie.
Angalia wao mambo yao na nyuzi zao humu uone uchafu wanaoshadadia daily.
Gwajiboy miuno anasema "ni wivu tu".
Kwa hiyo kapewa utajiri kwa shariti la kutogonga K na agonge tigo za wanaume wenzie!? Mashariti ya hovyo sana hayo,maana kila mwanaume anatafuta pesa kwa nguvu ili agonge K ya kila aina,na ndiyo rahaa ya uwanaume!!Hata mimi nilikuwa sielewi jitu lina mapesa mengi badala ya kipiga mademu yy An.afira wanaume wenzie lazma kuna ushetani hapo.