Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam mkuuMkuu
Umenisahau tena kunijibu🙏Naam mkuu
Hii si tayari ni siri. Je alieitoa alitolewa moyo mkavu. Wewe imefikaje kwako ?Wakati member mpya wa Freemason anafanyiwa initiation, anaambiwa mambo yafuatayo.
Kwanza, anaapishwa kutunza siri na mambo yote nyeti ya taasisi, kiapo hicho hufanyika akiwa kifua wazi, then grand Master anachukua bikari yenye ncha kali, pia anaweza kutumia upanga, anamchoma nayo muhusika upande wa kushoto, juu ya kiini cha ziwa au kufua, then anamuuliza unasikia nini?
Muhusika anajibu, nasikia maumivu, anamchoma tena mpaka ifike mara tatu, then anamwambia siku ukitoa siri utapata maumivu makali zaidi ya hayo, yani moyo wake utatolewa live akiwa anaona.
Pili, wakati muhusika anachukua kiapo, anaweka mkono wake wa kulia upande wa kifuani mwake ( kama ambavyo watu hufanya wakiimba wimbo wa taifa) then anaapa kwamba atatunza siri sawa na kutunza moyo wake.
View attachment 3106668
Hiyo sio siri, kuliko kuuliza jambo hili limefikaje kwangu, ni vyema ukafanya tafiti mwenyewe kama kweli una nia ya kujua haya mambo.Hii si tayari ni siri. Je alieitoa alitolewa moyo mkavu. Wewe imefikaje kwako ?
Mkuu mbona tulisha malizaUmenisahau tena kunijibu🙏
Mafwele yupo kundi gani ?Kwanini tunawachafua sana devil worshippers!? Kwahiyo ufilaji ni wao! Wezi ni wao? Ulawiti ni wao? Kila kitu kibaya ni wao?! Kwani hakuna watu wanaomuabudu Mungu na wanafanya ujinga?! Diddy sio devil worshipper acheni hizo
Kwani hakuna walokole na wacha Mungu walinaofilisika??Freemason wamemtumia kuharibu watu mwishoee wamemtupa huko.. Shetani ndivyo alivyo anakutumia lengo lake likitimia nakutupa na kukucheka
Mbona walokole na waswahilina wapo wanaifilisika??Na mara nyingi huwa hivyo hakuna ambaye mwisho wake huwa mwema.
Bdo nadhani ulisahau mkuu uki review nilikuulza leo saa nne iv , nikawa nasubir jibu🙏, naomba u upitie hapo juuMkuu mbona tulisha maliza
Haya mambo yalizuka sana kipindi cha awamu ya kikwete na ilikuwa kiki ya watu wa dini kujipigia hela.kipindi kile kulikuwa na list ya freemason, hata kikwete alitajwa.Hiyo sio siri, kuliko kuuliza jambo hili limefikaje kwangu, ni vyema ukafanya tafiti mwenyewe kama kweli una nia ya kujua haya mambo.
Duh, Sawa Mr Tanganyika, ni kweli matapeli wapo, na watu wanaliwa kila siku.Haya mambo yalizuka sana kipindi cha awamu ya kikwete na ilikuwa kiki ya watu wa dini kujipigia hela.kipindi kile kulikuwa na list ya freemason, hata kikwete alitajwa.
Ulikuwa ni ujinga na utapeli.
Hili sakata kuna watakaotapeliwa na kuliwa makalio wakidhani watalipwa hizo pesa.
Hii story ni ya kitapeli.
Sawa mkuu ngoja nipitie then nakujibu.Bdo nadhani ulisahau mkuu uki review nilikuulza leo saa nne iv , nikawa nasubir jibu🙏, naomba u upitie hapo juu
Kwahiyo msingi mkuu unaowatofautisha wacha Mungu na devil worshippers ni ufilaji!?M
Mafwele yupo kundi gani ?