Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
yeye mwenyewe wala hata hakujua kama anapigwa picha , ni mimi tu na kiherehere changuVibarakoa tu keleleee kwani akitoa tu bila camera kibao haitoshi?
Kwahiyo yeye sio mwanasiasa, au hujasoma nilichoandika! Mnatetea mtu ambaye akikutolea damu anatamani hata akupige chata la jina lake usoni.Pole pole anakuja nazakwake kuna picha yake kabisa.
Mbona hukuuliza RA alivyotoa msaada Yale madubwana yenye nembo ya Taifa gas kila kona?
Sent using Jamii Forums mobile app
bali wanaotoa magari ya kuzikia hawafanyi siasa !Politics
Na hizo lebo ni wewe pia na kiherehere chako?!yeye mwenyewe wala hata hakujua kama anapigwa picha , ni mimi tu na kiherehere changu
Mablack banaNaomba nisiharibu usk wangu kumhusu huyo Abood wao!
Viva devota! Mapambano yaendelee!
Hili li mkoa kama lina laana!..mijitu inafurahia kupelekwa Kola kuzikwa mahosp hata pen v hakuna! Mamaeeee
Ni wakati sasa kwa wabunge wengine akiwemo Mwakyembe wa jimbo la Kyela kutoa barakoa kwenye majimbo yao ili kusaidia wananchi
Kama kila mmoja angekuwa na uwezo wa kujinunulia barakoa sio shida, usimlaumu anaetoa barakoa yenye chapa yake, WALAUMU CCM KWA KULETA UMASIKINI ULIOTUKUKA KWA WATANZANIA WANASHINDWA HATA KUNUNUA BARAKOA, wanaotoa zenye chapa wapongezwe kwa kujali uhai wa watanzania.Kampeni kwenye siasa za kiafrika.
Nimeona vichupa vya sanitizer vimeandikwa ccm, wengine chadema naona huyu mwanamke ameamua kuandika kwenye barakoa.
Ukiamua kusaidia usisaidie kwa kutengeneza kampeni ndani ya msaada unaotoa inakuwa mambo ya hovyo sana.
Ni maoni yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kuamini kuna misukule hai..wewe ongelea vby ccm Moro!
Akichukua fomu mwaka huu tutamshangaa sana !
Zote ni politics tu mkuu.....Eti "Amwaga maelfu ya barakoa"bali wanaotoa magari ya kuzikia hawafanyi siasa !
Naona UVCCM ikitafuta kiki hapa.HUYU DEVOTA NAYE ANATAKA SIFA TU KWANIASINGEZIANDIKA MAJINA YAKE ZISINGEPOKELEWA YAANI CHADEMA WANA TAFUTAKA KIKI ZA KISHENZI TU
Politics za kijinga kabisa.....yana CORONA imekua mtaji kwa vyama vya siasaNaona UVCCM ikitafuta kiki hapa.View attachment 1429923
Ukweli mie binafsi sijawah kwenda hyo hosp yao ya serikali nikaandikiwa dawa zote nikapata zote .imagine kitu km septrin unaambiwa hakuna!!Yeye anafariji waliokufa tu. Hahahaaaa
Acha kutetea wanasiasa wa ovyo, regardless ni wa chama gani.Kama kila mmoja angekuwa na uwezo wa kujinunulia barakoa sio shida, usimlaumu anaetoa barakoa yenye chapa yake, WALAUMU CCM KWA KULETA UMASIKINI ULIOTUKUKA KWA WATANZANIA WANASHINDWA HATA KUNUNUA BARAKOA, wanaotoa zenye chapa wapongezwe kwa kujali uhai wa watanzania.
Viva Devotha Minja.
Sent using Jamii Forums mobile app