Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Devota minja vs Aboud
Kiakili..kielimu...kimaendeleo, kimikakati.... Abood haweki pua kwa Devo
hahaaaaaaaa
aisee, unajua maana ya kuendesha biashara na ikashamiri miaka zaidi ya 5 bila kuyumba...
katafute hoja nyingine mkuu..
Hovyo maana yake nini, wewe umeshasaidia wangapi?!Acha kutetea wanasiasa wa ovyo, regardless ni wa chama gani.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni abood ametoa ndoo za kunawia mji mzimaNaomba nisiharibu usk wangu kumhusu huyo Abood wao!
Viva devota! Mapambano yaendelee!
Hili li mkoa kama lina laana!..mijitu inafurahia kupelekwa Kola kuzikwa mahosp hata pen v hakuna! Mamaeeee
Kama nikitoa kama nitabarikiwa sitamuandika usoni.Hovyo maana yake nini, wewe umeshasaidia wangapi?!
Nyie hamtoi, ila akitoa mwingine mnampa conditions, sijui mnafikiria kwa kutumia nn!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni abood ametoa ndoo za kunawia mji mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama...Kama...Kama nikitoa kama nitabarikiwa sitamuandika usoni.
Nitoe, nisitoe hutajua hilo kamwe.
Ushabiki wa kisiasa una mambo ya ajabu sana. Yaani kama vile washabiki wa Yanga wanavyomchukia Kagere moyoni mwao kisa tu ni mchezaji wa Simba hata afanyeje hawezi kupendwa na wana yanga labda atakaposajiliwa yanga. Au ni sawa na washabiki wa Simba wanavyomchukia Morrison moyoni mwao.Naomba nisiharibu usk wangu kumhusu huyo Abood wao!
Viva devota! Mapambano yaendelee!
Hili li mkoa kama lina laana!..mijitu inafurahia kupelekwa Kola kuzikwa mahosp hata pen v hakuna! Mamaeeee
Ushabiki wa kisiasa una mambo ya ajabu sana. Yaani kama vile washabiki wa Yanga wanavyomchukia Kagere moyoni mwao kisa tu ni mchezaji wa Simba hata afanyeje hawezi kupendwa na wana yanga labda atakaposajiliwa yanga. Au ni sawa na washabiki wa Simba wanavyomchukia Morrison moyoni mwao.
Devota Minja ameonesha kitu kizuri kinachopaswa kuigwa na wengineo, maana amesaidia watu wajikinge na janga hili la corona. Lakini ukiangalia kwa namna nyingine ni kwamba kuelekea kipindi hiki wanasiasa na vyama vya kisiasa kwao majanga yanayo kick ni fursa kubwa sana.
Hivyo pamoja na watu kutoa misaada hujui dhamira yake ni ipi ni kusaidia kweli au ni namna kujipa kampeni kuelekea kwenye uchaguzi.
Kumfananisha Devota na Abood hili linaweza kuamliwa na wana Morogoro wenyewe kwasababu wanajua kuwa; ukiachanana kupewa usafiri wa kwenda kuzika misibani ni vitu gani au mambo gani Abood amefanya kuleta maendeleo na pia wanajua kuwa ukiachana na huu msaada waliopewa wa Barakoa ni vitu gani vingine Devota Kavifanya katika kuleta maendeo Morogoro au mkuu kama una mizania yao hawa wawili tuorodhoshee hapa walivyovifanya ili tuweze kujua aliyemzidi mwenzie ni yupi. ila nachokumbuka mimi ni kwamba Abood kaanza kutoa magari ya kwenda kuzika misibani tokea zamani kabla hata ya kuwa mbunge.
Ifike wakati watanzania tuwe wadau wa maendeleo na tusiwe wadau wa vyama vya kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maendeleo bila siasa? if yes..Ushabiki wa kisiasa una mambo ya ajabu sana. Yaani kama vile washabiki wa Yanga wanavyomchukia Kagere moyoni mwao kisa tu ni mchezaji wa Simba hata afanyeje hawezi kupendwa na wana yanga labda atakaposajiliwa yanga. Au ni sawa na washabiki wa Simba wanavyomchukia Morrison moyoni mwao.
Devota Minja ameonesha kitu kizuri kinachopaswa kuigwa na wengineo, maana amesaidia watu wajikinge na janga hili la corona. Lakini ukiangalia kwa namna nyingine ni kwamba kuelekea kipindi hiki wanasiasa na vyama vya kisiasa kwao majanga yanayo kick ni fursa kubwa sana.
Hivyo pamoja na watu kutoa misaada hujui dhamira yake ni ipi ni kusaidia kweli au ni namna kujipa kampeni kuelekea kwenye uchaguzi.
Kumfananisha Devota na Abood hili linaweza kuamliwa na wana Morogoro wenyewe kwasababu wanajua kuwa; ukiachanana kupewa usafiri wa kwenda kuzika misibani ni vitu gani au mambo gani Abood amefanya kuleta maendeleo na pia wanajua kuwa ukiachana na huu msaada waliopewa wa Barakoa ni vitu gani vingine Devota Kavifanya katika kuleta maendeo Morogoro au mkuu kama una mizania yao hawa wawili tuorodhoshee hapa walivyovifanya ili tuweze kujua aliyemzidi mwenzie ni yupi. ila nachokumbuka mimi ni kwamba Abood kaanza kutoa magari ya kwenda kuzika misibani tokea zamani kabla hata ya kuwa mbunge.
Ifike wakati watanzania tuwe wadau wa maendeleo na tusiwe wadau wa vyama vya kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana Devota, watu wa namna hii ndio wanatakiwa. Sio huyo kazi yake kutoa magari yakazike watu, wenye imani haba watasema ni mambo ya kishirikina. Watu wa namna hiyo sijui wanakuwa viongozi kwa sababu gani, huenda ni upumbavu wa mtanzania kama kawaida.
Ukinisoma ki-chadema na ki-ccm lazima upate shida mtumishi. Soma ukiwa na free mind, yoyote anayefanya vizuri kwangu nampongeza tu. Hata wewe "ukinifurahisha" nitakupongeza tu!!Ajabu leo umesifia Chadema
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kate Kamba (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini jana, kuhusu Chama hicho kutoa msaada wa barakoa milioni moja kwa wakazi wa jiji hilo wiki ijayo, ili kupambana na ugonjwa wa Covid -19.View attachment 1429399
View attachment 1429400View attachment 1429401View attachment 1429402View attachment 1429403View attachment 1429404
Wahenga walishasema tangu zamani kwamba kutoa ni moyo , na wala si utajiri , huyu Devota Minja yeye ameamua kutoa barakoa ili kuwaokoa wananchi dhidi ya vifo vya corona.
Lakini inafahamika kwamba Tajiri Mohamed Abood yeye miaka yote anatoa Magari ya kubebea maiti kupeleka makaburini kuzika , watu wa Morogoro Mjini hili wanalifahamu sana.
KUPANGA NI KUCHAGUA