Hapana.Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Unaposema "evidence yenu" unamkusudia nani? Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sijaja kishabikia chama hapa.Na evidence yenu ni slogan ya no reform no election au mna lingine, court za haki na huru mtapigwa fine kwa frivolous nonsense lawsuit
I mean YOU uliyeandikaUnaposema "evidence yenu" unamkusudia nani? Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sijaja kishabikia chama hapa.
Nimeweka facts tu.
Acha kuhemuka.
Mimi sikuandika, mimi niliripoti.I mean YOU uliyeandika
Tundu Lissu anasema anataka kuzuia uchaguzi, usifanyike kabisa.
Fuatilia kauli zake.
Si lazima kueleweka na kila mtu.
Inawezekana wewe si hadhira yangu ya watu ninaotaka wanielewe.
Inawezekana hata nikitafsiri kwa lugha ya kabila lenu hutanielewa bado.
Usilazimishe niandike unavyotaka wewe.
Mimi si mpagani na wewe ni mjinga kwenye hoja nzima ya nani ni mpagani.Wapagani wabishi sana. Tofauti yenu na wasabato ni jina tu