Kila kitu kinawezekana,hata Al Masr waliwafunga Simba 2 kwao na Tanzania wakapigwa,hivyo tusikatishane tamaa,lazima Simba ana mipango yake pia kuelekea huo mchezo,hakuna timu ambayo haina maandaliziMaandilizi muhimu goli mbili kwa berkane sio rahisi mkuu
Ahahahaha aisee niliwasikia oohh mbona mpira haujasimama dk 8 zote hizoJana ndio kwa mara ya kwanza makolo kulalamikia dakika za nyongeza kua nyingi
Kila kitu kinawezekana,hata Al Masr waliwafunga Simba 2 kwao na Tanzania wakapigwa,hivyo tusikatishane tamaa,lazima Simba ana mipango yake pia kuelekea huo mchezo
Wakasahau zile dakika 15 wanazopewaga 😂😂Ahahahaha aisee niliwasikia oohh mbona mpira haujasimama dk 8 zote hizo
Al masr unaifananisha na Berkane 😂Kila kitu kinawezekana,hata Al Masr waliwafunga Simba 2 kwao na Tanzania wakapigwa,hivyo tusikatishane tamaa,lazima Simba ana mipango yake pia kuelekea huo mchezo,hakuna timu ambayo haina maandalizi
Wanashida kubwa na bado kwa Mkapa au Amaan shughuli itakuwa nzito.. majamaa yanakaba na mpira wanajua labda wamkodishe Kefa Kayombo huenda akawapa goliWakasahau zile dakika 15 wanazopewaga 😂😂
Hata 5imba ilizaliwa kwa MkapaKwa Mkapa ni uwanja wa nyumbani wa 5imba? by the way hao jamaa hata mkicheza nao Mo arena hamtoboi
Kuna shabiki wao Mmoja anaitwa mchungaji nimeona anahojiwa mahala anaulizwa mechi ya marudiano Simba anatoboa? Kauli aliyozungumza imenifikirisha sana akasema nanukuu ""Ndugu mtangazaji Simba tunatoboa na sisi ndio mabingwa mechi ikichezwa kwa mkapa"" Sasa nikabaki najiuliza Ina maana Hawa jamaa awakiamini kikosi chao mpaka wabague viwanja?DHANA!!!
Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana.
Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali.
Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni bora kushinda simba, berkane ndio bingwa wa Ligi ya Botola pro ya pale Morroco.
Kuna watu wanaweza kuhisi kama walichokifanya wamebahatisha na wengine kusema, simba alijichanganya mwenyewe katika football ili liwe kosa linatakiwa liadhibiwe.
Kwanamna simba alivyocheza kama ingekua ligi yetu angeweza kuondoka na point tatu na ilikua perfomance bora kwasababu ligi yetu haitupi ushindani halisi.
Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.
Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora.
MAANDALIZI MUHIMU✍
Zamani sio miaka ya hv karibuni hizo timu kupata matokeo mazurie,enzi za kufungwa goli 5 hizo ndizo unazoziongelea wewe"Tunaruhusiwa kufananisha lakini tunapaswa kuwa na maandalizi makubwa.
Bado kwa mkapa kuna klabu zimepata matokeo mazuri tena simba ikiwa katika kilele cha bora."
MAANDALIZI MUHIMU✍️"
Hao berkane wanafanana na Al Ahli ambayo Simba ya miaka hii haijawahi kupoteza mbele yao Tz?Al masr unaifananisha na Berkane 😂
Sasa kuchezA uwamja wa nyumbani mara zote umeleta kombe gani hapa Tz!!. Mna imani za kishirikina kupitiliza..... Timu bora inapata matokeo sehemu yoyote, ubora wa timu ndio unaamua matokeo na sio kiwanja cha kuchezea.... Madrid amekufa nje ndani kwa Arsenal... Arsenal amekufa nje ndani kwa Psg.... Simba ni kitimu kisichokuwa na wachezaji.Hiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
kwani wangapi wamekuja machinjioni wakaweka ukuta na bado wakapasuka?Wakija kwa Mkapa wanaweka ukuta wa Babeli sijui mtapita wapi. Mnadhani wao wajinga.
Kuna lijamaa lirefu pale Mido sijui kama mtatoboa, haliruhusu mpira kupita kirahisi
Kwahiyo hiyo simba iliyomfunga Ahly kwa mkapa ndio hii ya akina hamza wanaojivunja?.Hao berkane wanafanana na Al Ahli ambayo Simba ya miaka hii haijawahi kupoteza mbele yao Tz?
Shida yenu wabongo hamjiamini popote pale
😂 Yani hapo wanajaribu kucreate defensive force mapema maana mechi inajulikana haitochezwa kwa mkapa , Ndio maana kuanzia kocha mpaka msemaji na mashabiki wanapalilia kwa mkapa kwa factor ya kwamba wakifungwa zanzibar watapata kisingizio kwamba hatukucheza kwa mkapaKuna shabiki wao Mmoja anaitwa mchungaji nimeona anahojiwa mahala anaulizwa mechi ya marudiano Simba anatoboa? Kauli aliyozungumza imenifikirisha sana akasema nanukuu ""Ndugu mtangazaji Simba tunatoboa na sisi ndio mabingwa mechi ikichezwa kwa mkapa"" Sasa nikabaki najiuliza Ina maana Hawa jamaa awakiamini kikosi chao mpaka wabague viwanja?
✌Hata 5imba ilizaliwa kwa Mkapa