Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

Haifanani lakini hata ile ilikua inaishia robo,so mpira sometimes ni mchezo wa bahati
Anha kwa hiyo tunakubaliana now tunaenda na bahati na sio uwezo tena, Nimekuelewa mkuu nawatakia maandalizi mema fainali hizi hazina bahati
 
Sasahivi hawawezi kukuelewa mkuu watakuelewa tarehe 25 , kufika fainali hamanishi kuwa wewe ni timu bora kuwazidi wengine
 
Wakati huohuo unatakiwa ujiulize pia ni kwa nini caf wanalazimisha mechi ichezwe nje ya benjamini mkapa (pamoja na uwanja kukidhi vigezo vyote vya mechi kuchezewa) na pia kwa nini uamuzi huo ulionesha kufurahishwa na mpinzani wa simba .
Uwanja wa Mkapa ulikuwa mbovu, ile nusu fainali ilitosha kwa uwanja kufungiwa.
 
Mkuu mbona sijaona ukisema chochote juu ya mechi ya jana? Umekuwa kimya sana sio kawaida yako.
Nahisi itakuwa kaelewa utofauti wa daraja kati yake na mpinzani wake.
Ambao hawajaelewa bado wanamatumaini
 
Mchafu Sana Yule Msenegali....
"Wanapaswa wajue sisi popote tunashinda wakitaka hata BUNJU sisi tunazima nao tu ๐Ÿ˜‚,Hii timu haitegemei VAR au REFA.

Waseme wao tu wapi wanataka kuwapakate tena...."


Alisikika โ˜†MAMADOU CAMARA
 
Anha kwa hiyo tunakubaliana now tunaenda na bahati na sio uwezo tena, Nimekuelewa mkuu nawatakia maandalizi mema fainali hizi hazina bahati
Hilo la bahati huwezi kulikwepa,kwani nyie Yanga si mlikua mnajiona mpo vyema sana,sasa hv mko wapi kimataifa,hata uwe uwezo vp bila bahati ni bure
 
Huu mtanange uliisha jana kule maroc. Raundi ya pili, Simba akipige kwa mkapa, au amaan au nambole au nyayo mwisho wake ni uleule: anakufa nyingi
 
Jambo la kufurahisha na la msingi ni kwamba simba ilifanikiwa kubakwa, ila kwa mbinde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ