Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

Hiyo mbona ni common sense tu. Hivi kuna timu Africa isiyoamini katika uwanja wa nyumbani? Kama sivyo kwa nini kuna goli la ugenini. Punguzeni ujuaji
Hakuna asiyeamini lakini inategemea unacheza na Nani....Haya mambo ya goli la ugenini Ndio ilipekea msimu uliopita ukapigwa nje ndani na Al ahly....Timu ya Simba ni ya kawaida ila tunaipa hype kubwa
 
Sawa Ila taarifa yako inaukakasi.... Berkane kacheza fainali 3 kabla ya hii na Simba na kabeba 2....Halazimishi Mechi iende Zanzibar ila ni wakaguzi WA CAF wale wale waliokaguwa kabla ya mech na Al Marsy wakaukataa Uwanja(Tuliwaomba Tu kwakuforce tutumie Mkapa,kilichotokea ni aibu siku ya mech) Ndio hao hao sasa hivi hawaukubali uwanja

Fainali dhidi ya Zamalek, Berkane alimalizia nyumbani kwake tenah ni mwaka Jana Ugenini Zamalek 1 Vs Rs Berkane 0(Na hapa walikuwa pungufu)

Nyumbani kwao wakishinda 2 kwa 1 , aggregate 2 kwa 2 , Zamalek akabeba kwa away Goal advantage....

β€’β€’Kwa msimu huu hata mcheze lupaso ni Sawa utapata goli Je unaweza kuzuia usifungwe maana hawa majamaa Wana cheza kwa strategy...hii mech itakufa ngumu kama ya Yanga na MC Alger yaani mnaachwa mcheze wanakimbiza Alafu wanapooza mpira MDA uende mpaniki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na Amaan watatoa tena kwa mbinde
Bikra haitolewi mara mbili..Simba sasa ni ex wa Berkane so alimpa na atampa tena! Zanzibar wanaenda fungate tu kunyandukiwa huku wakifurahia upepo mzuuuri kutoka kwenye nchi ya uchumi wa buluu!
 
Usisahau simba hiyo unayoiita ilikuwa bora ndo ilikuwa inapigwa tano mtawalia ikiwa away
Afu inakuja kwa mkapa inafunga 10?, ndio tunachokwambia dhana ya uwanja wa nyumba inaenda inapitwa na wakati... Timu zinaends ugenini zinapata matokeo... Stellen alipata matokeo ugenini kwa Zamalek haikuwa bahati bali mipango.
 
Na wakaishia robo
 
Sio kweli berkane mwaka jana kamalizia nyumbani alishinda 2 moja ila zamaleki alishunda kwa goli la ugenini
 
Sasa tickets zinaendelea kuuzwa au wamesitisha kwa mda? Japo CAF washasema mechi itafanyika Zanzibar na jana baada ya mechi wakapost next mechi ni Zanzibar.
 
Sasa tickets zinaendelea kuuzwa au wamesitisha kwa mda? Japo CAF washasema mechi itafanyika Zanzibar na jana baada ya mechi wakapost next mechi ni Zanzibar.
Wanaendelea kuuza mkuu , sema watu wamejiongeza wametulia kwanza
 
Ligi ya Morocco wamebahatisha tu Raja na Wydad wako hali mbaya kiuchumi na migogoro na utawala wa nchi
 
Kama Berkane alitamba kwake, kwanini usisubiri kuona Simba naye atavyotamba kwake?

Mpira una mambo mengi, Berkane anaweza kuingia kwenye mfumo yakamkuta mazito na kujiuliza, "hivi hii Berkane nayoiona leo ndio hii hii iliyotamba kwake?"

Berkane alichofanya kwake ndicho hicho Simba ambacho huwa anafanya akiwa kwake. Labda kama mpira umeanza kuangalia jana.

Usimalize maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…