Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

Hahaha, Mshana jr ana nguvu sana kuliko tunavyofikiri.
Moja ni mvumilivu punde anapomwagiwa povu..huwa hajibu povu kwa povu, hii ni nguvu kubwa mno kuliko zote.
Pili anafahamu mambo mengi makubwa ya upande wa giza, sio kwa kusimuliwa bali ameshiriki.
Anaufahamu juu ya Mungu aliye hai pia.

Kwa ujumla ni mtu HATARI akiamua kutumia silaha hizo 3 nilizoorodhesha
Mshana Jr
 
Mshana Jr is my role model
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 


Kaka Mshana naomba unijibu juu ya hili tafadhali
 
hata mipira ya kufanyia mapenzi wanaweka pc Tatu
 
Ahsante kwa madini mkuu..hata hizi funguo hapa ziko tatu aisee..nimekumbuka pia tuna Bunge,Mahakama,na Utawala...
 
Ahsante kwa madini mkuu..hata hizi funguo hapa ziko tatu aisee..nimekumbuka pia tuna Bunge,Mahakama,na Utawala...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…