Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, Mshana jr ana nguvu sana kuliko tunavyofikiri.
Mshana Jr is my role modelHahaha, Mshana jr ana nguvu sana kuliko tunavyofikiri.
Moja ni mvumilivu punde anapomwagiwa povu..huwa hajibu povu kwa povu, hii ni nguvu kubwa mno kuliko zote.
Pili anafahamu mambo mengi makubwa ya upande wa giza, sio kwa kusimuliwa bali ameshiriki.
Anaufahamu juu ya Mungu aliye hai pia.
Kwa ujumla ni mtu HATARI akiamua kutumia silaha hizo 3 nilizoorodhesha
Mshana Jr
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahaha, Mshana jr ana nguvu sana kuliko tunavyofikiri.
Moja ni mvumilivu punde anapomwagiwa povu..huwa hajibu povu kwa povu, hii ni nguvu kubwa mno kuliko zote.
Pili anafahamu mambo mengi makubwa ya upande wa giza, sio kwa kusimuliwa bali ameshiriki.
Anaufahamu juu ya Mungu aliye hai pia.
Kwa ujumla ni mtu HATARI akiamua kutumia silaha hizo 3 nilizoorodhesha
Mshana Jr
Lakin wakristo tunaambiwa tusamehe saba mara sabini na tunaambiwa ile tu hali ya kujifeel upo guilty na ukaomba msamaha basi hata mbinguni unasamehewa...ss Mshana mm nkukosee nikiri kosa ukatae kusamehe kwa hyo mm nibaki slave kwako milele ilihali ni ww unaekataa msamaha
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Asante sana ila duu hapana mimi ni wa kawaida kabisa
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Hali ya hewa inahamasisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 745261