Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

Kumbe kuna one Kali ya physics na hamsemi
 
Wewe tulia sa tisa uwepo hapa
Ili nibishane na mtu anasema amesoma umeme miaka miwili?

Yaani umekiri mwenyewe kusoma umeme miaka miwili,na eti umeme ule wa kwenye physics ordinary level na advanced level ndio unasema una elimu kubwa ya masuala ya umeme!

Mara uniulize najua kufunga submeters,ni nini hicho nabishana nacho sasa!

Kazi njema.
 
Ushaanza jichanganya saa moja hii unasema saa 11..

Sasa kama mambo madogo haya ushaanza jikanyaga utaweza simama na mimi wewe
UNAONA AKILI ZAKO,KWENYE HOJA ZILIZOPITA NIMESHAONYESHA SIPO TANZANIA KWA TOFAUTI YA MASAA MAWILI,AU NAE UNABISHA TU HUKUONA?

ILE ONE KALI YA PHYSICS UMESHINDWA KUJUA HILI TU MAPEMA?
 
UNAONA AKILI ZAKO,KWENYE HOJA ZILIZOPITA NIMESHAONYESHA SIPO TANZANIA KWA TOFAUTI YA MASAA MAWILI,AU NAE UNABISHA TU HUKUONA?
Mkuu hakuna sehemu umesema hvo..
Ndio maana nasema wewe mpaka sasa kuna kitu unahofia sasa nasemaje saa tisa nipo hapa....
 
Umeme unaingilia mifumo ya umeme wa mwili,misuli, muscles, zina kuwa paralyzed , zinashindwa kupokea taarifa kutoka kwenye ubongo,kujinasua, kama vile ukikanyaga mwiba au moto, unavyonyanyua mguu haraka,ndivyo hivyo misuli inabidi ifanye kutoa mkono kwenye nyaya za umeme, lakini kwa vile, umeme wa mwili umeishaingiliwa, misuli inashindwa kufanya kazi, ni si kweli, umeme utakuachia, pale maji yameisha mwilini,
 
Yass kitaalamu tunaita reflex arc
 
Weee una one ya. Ngap advanced??
Umesoma physics..?
Yaani hii hoja dhaifu sana.

Uliza Einstein ana one ya ngapi ana alifanya nini kwenye sayansi!

Wewe kufunga submeters ndio umeona jambo la maana sana eeh?

Sikia,niko chimbo hizo submeters designs ni projects za watoto huku.

Wewe unajua kufunga na kutumia submeters wengine tunafanya assembling ya hizo submeters factories.
 
Hahaa nadhani inatakiwa iwe hivii.....Ndo maana unashauriwa uvae viatu vyenye soli pana wakati unahudumia vifaa vya umeme...

Kwenye matembezi hata peku tembea tu...hahahaha
Hayo matembezi yasiambatane naradi
 
Saa tisa nipo hapa
 
Nimesoma ndio... Phy in education
Damn man, hiyo ndio inakufanya ujue umeme?
Hauko deep man, watu wameenda EE engineering kutoka reputated university for 4 fuckin years asomea umeme
Ww unatishia phy in education? Get serious man
 
Saa tisa nipo hapa
Wewe elimu yako ina shida.
Watu unaoishi nao wanapata tabu sana.

Suala alilosema Transistor halikuhitaji kuuliza mtu ana one kali ya Physics,eti umesoma umeme miaka miwili,huo ni udhaifu mkubwa kiakili.

Mtu mwenye akili haitaji kuuthibitishia umma kuwa ana akili,ila hawa wajinga wasiojua mambo au wale waliokariri hutaka sana kuonekana wanajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…