Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu,CCM mnapokesha kuijadili CHADEMA mnakisaidia chama chenu? Upumbavu wenu unawagharimu wenyewe..
chadema hatuangalii ukanda wa mtu, bali uwezo wa mtu kutuongoza
mwanadiwani kamuulize mansour himid yusufu aliyefukuzwa ccm kwa vile ni mzanzibar anayetaka serikali 3 lakini akina lugola,kunjobe,kesy kwa vile sio wanzanzibar hawawezi kufukzwa pili kamuulize salim ahmed salim mlichomfanyia wakati anataka kugombea urais ni ubaguzi wa rangi/ udini au ukabila?bob nyanga makani ni mmoja wa waasisi wa chadema, ni msukuma, mwislamu kutoka kutoka shinyanga na katibu mkuu wa kwanza wa chadema. katibu mkuu ndiye mwenye siri zote chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk. nimejifunza mambo yafuatayo. mosi, kama waanzilishi wa chadema wangekuwa na agenda udini wasingemchagua bob makani kwa sababu yeye ni mwislamu. ( binafsi nimejua dini yake wakati wa msiba) pili kama waasisi wa chadema wangekuwa wanaagenda ya ukanda wasingemchagua bob makani kwa sababu hatoki kanda ya kaskazini. tatu, kama waasisi wangekuwa na agenda ya ukabila wasingemchagua bob makani kwa sababu si mchaga. kitendo cha kumchagua msukuma, muislamu, kutoka kanda ya shinyanga katibu mkuu na baadaye kuongezewa cheo na kuwa mkiti ina maanisha kuwa alifanya kazi vizuri na alikuwa anakubalika na wajumbe wote bila kujali dini, ukanda wala ukabila. wale waliokuwa wanacheza cd ya udini, ukanda na ukabila dhidi ya chadema sasa inabidi watafute cd nyingine ya kucheza dhidi chadema vinginevyo hii ya ukanda, . Ukabila na udini sasa zimechuja. Haiuziki tena. ni mawazo yangu tu.
Ndugu,
Ndiyo maana ninajaribu kuuliza kutokana na yaliyojiri katika hoja za Prof. Safari.
Hoja dhaifu sana wangemchagua vipi wakati yeye ndio muasisi wa Chadema kajipange upya mkuu.
Mod's ninashindwa kuelewa kigezo mlichotumia kuiunganisha thread yangu yenye Heading, NI KWELI NDANI YA CHADEMA KUNA UDINI NA UKANDA.
Mimi siyo mpenda kulalamika, lakini kwa siku za hivi karibuni mmekuwa mkiunganisha thread zangu for no apparent reason..
Kama suala ni maudhui ya thread, ninaweza kuhesabu thread nyingi tu hasa ambazo zinahusu CCM mkiwa mmeziacha zinajitegemea wakati maudhui ni yale yale.
Where is the consistency?
Mfano, Suala kama la IPTL, Thread zote mmeziacha kuwa ingependent wakati maudhui ni yale yale au ni mwendelezo ya kinachoendelea kuhusiana na suala lenyewe.
Let's be fair as JF Motto, Where we Dare to Talk Openly
Kutumia silaha ya kuunganisha thread kama njia ya kuziondoa thread mbele ya jukwaa kwa vile hazijavunja taratibu na sheria za Jamiiforums siyo uungwana.
Sawa boss, lakini hata yanayoendelea ndani ya Chadema kila Mtanzania makini anayajua, shida hapa umemsigle out mtu mmoja kuelezea aliyoyataja kama mtaji wake. Hata CCM wanatumia mikakati kama hiyo kushinda. Tuliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania, kwani wakati huo watanzania wote walikuwa masikii? Na sasa je watanzania wote wana maisha bora leo? Wanasiasa wote wanatumia slogans.Ungemuuliza angekuambia yeye atafanikishaje, mambo hayo ni ya vyama vyote sio CDM tu hata wewe wajua
Ndugu,
Hayo ya CCM na gharama ya upumbavu wetu wala isikusumbue!.
Kama CHADEMA hakiangalii udini na ukanda, mbona Prof. Safari anadai anapenda kuchaguliwa ili auondoe ndani ya chama.
Ataweza kuuondoa?
Ukitaka kujua kama Chadema Waislam hawatakiwi muulize Said Arfi na Zitto Kabwe leo hii wapo wapi.
Wewe ni kada wa CCM lakini naona siku zote moyo wako upo CDM.[/QUOTE
siyo kada tu ni kiongozi wa ngazi ya juu lkn anahangaika na cdm hadi chama chao kinapoteza mwelekeo nguvu mnayo poteza hapa kushughurikia cdm huenda ingekisaidia chama chenu kama mngezielekeza kwenye kutatua kero za wananchi.