Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Tatizo letu humu ni wataalamu sana wa kutaka ubadilisha mada hata kama zina hoja za msingi, siyo wote wenye upofu, vichwa vya magzeti yote na mitandao ya kijamii ni LEMA, ZITTO MBOWE n.k. mnakiua chama kwa kukwepa kujadili mada ambazo zinajaribu kuwaweka kwenye mstari.

kwa mawazo yako unadhani Chadema ni wajinga ccm watapiga Ngoma Na wao wacheze midundo!
 
ZITTO KABWE kigoma.Victor kimesela Manyara, SAID ARFI mpanda ALLY MZEE ALLY zanzibar SHIDA SALUM mama yake zitto Kigoma,SHEKHE Mwaipopo Mbeya

wote hawa wako kundi la ZITTO, tusubiri tuone mwisho.
 
Mnyukano mkali unaoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri ni baina ya kundi ambalo halitokei kaskazini na watu wa kaskazini(SLAA, LEMA, MBOWE, MNYIKA, n.k) wanaoamini kuwa chama kiliasisiwa kaskazini, kikalelewa kakskazini na pengine wana imani kuwa bila ya watu wa kaskazini CHADEMA hakitakuwepo tena.

Ombi langu ni viongozi wengine wa CDM ambao hawatokei kaskazini(mimi namjua HECHE peke yake kwa sababu ni ndugu yangu) waje waseme, hii nguvu waliokuja nayo akina LEMA kama zina chembechembe za u-kaskazini au la, na kama ndiyo hivyo hawaoni kama wao kuendelea kuwepo CHADEMA wanasaliti wenyeji wa mikoa kwa vile na wao wanawahitaji kuwapigania?

Mkuu kumbuka kila kitu kina mahli pa kuanzia na baadae kitakua na kupanuka lkn mwanzo wake lazima uwepo. Mkuu kutumia ukanda kama silaha ya kukifanya chama makini na kioo cha wapigania wanyonge kutaka kukiua haisadii maana hiyo silaha ni BUTU! angalia wakati linaundwa na kuimalishwa JWTZ chini ya mzee wetu mwl Julius Kambarage Nyerere (Mungu amuweke mahli pema) viongozi waanadamizi wa JWTZ walitokea ukanda wa Musoma, kwa hiyo tusema mwl alifanya makosa? Angalia JWTZ ilivyo sasa! Acha kutumia akiri duni ndugu yangu.
 
Naona Lumumba leo mnajitekenya na kucheka wenyewe wana chadema tukae mbali na thread kama hizi.
 
Jambo likizungumzwa sana na kurudiwa sana linakua kweli

Mkuu kumbuka kila kitu kina mahli pa kuanzia na baadae kitakua na kupanuka lkn mwanzo wake lazima uwepo. Mkuu kutumia ukanda kama silaha ya kukifanya chama makini na kioo cha wapigania wanyonge kutaka kukiua haisadii maana hiyo silaha ni BUTU! angalia wakati linaundwa na kuimalishwa JWTZ chini ya mzee wetu mwl Julius Kambarage Nyerere (Mungu amuweke mahli pema) viongozi waanadamizi wa JWTZ walitokea ukanda wa Musoma, kwa hiyo tusema mwl alifanya makosa? Angalia JWTZ ilivyo sasa! Acha kutumia akiri duni ndugu yangu
 
Mnyukano mkali unaoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri ni baina ya kundi ambalo halitokei kaskazini na watu wa kaskazini(SLAA, LEMA, MBOWE, MNYIKA, n.k) wanaoamini kuwa chama kiliasisiwa kaskazini, kikalelewa kakskazini na pengine wana imani kuwa bila ya watu wa kaskazini CHADEMA hakitakuwepo tena.

Ombi langu ni viongozi wengine wa CDM ambao hawatokei kaskazini(mimi namjua HECHE peke yake kwa sababu ni ndugu yangu) waje waseme, hii nguvu waliokuja nayo akina LEMA kama zina chembechembe za u-kaskazini au la, na kama ndiyo hivyo hawaoni kama wao kuendelea kuwepo CHADEMA wanasaliti wenyeji wa mikoa kwa vile na wao wanawahitaji kuwapigania?

We njegele kweli.. .meza wembe basi ..... Heche mwenyewe anatokea Mara, kule sio kusini...
 
Kunachembe za ukweli ndani yake yote haya mda si mwingi yatajulikana tu lazima jipu lipasuke tu.

Mkuu kumbuka kila kitu kina mahli pa kuanzia na baadae kitakua na kupanuka lkn mwanzo wake lazima uwepo. Mkuu kutumia ukanda kama silaha ya kukifanya chama makini na kioo cha wapigania wanyonge kutaka kukiua haisadii maana hiyo silaha ni BUTU! angalia wakati linaundwa na kuimalishwa JWTZ chini ya mzee wetu mwl Julius Kambarage Nyerere (Mungu amuweke mahli pema) viongozi waanadamizi wa JWTZ walitokea ukanda wa Musoma, kwa hiyo tusema mwl alifanya makosa? Angalia JWTZ ilivyo sasa! Acha kutumia akiri duni ndugu yangu
 
Kweli kabisa, kuna haja ya watu kama akina Prof. SAFARI, prof. BAREGU KITILA MKUMBO, ARFI na wengine wajitokeze waseme nini hasa kiini cha mvutano huu kati ya watu wa Kaskazini(SLAA, MBOWE, MNYIKA, LEMA) na wale wasiotokea mikoa hiyo(MWIGAMBA, ZITTO n.k). Inawezekana kuna weingine wanasikilizia tu nini kitakachojiri kabla ya kuchukua maamuzi ambayo yanaweza kukiathiri chama. Ni kweli ikifahamika kwamba kuna siri ya U-kaskazini basi wale wanaoonekana kuwaunga mkono akina MBOWE hawatakwepa jina la "VIBARAKA" kwa vile kila mtu anajua vyema kazi ya vibaraka enzi za ukoloni. Hawa watakuwa wameacha kupigania maslahi ya mikoa yao kwa sababu tu ya kunyemelea nafasi za uongozi ambazo zitaachwa wazi na wale wanaoitwa kwa sasa wasaliti. Tunawajua hawa wanaotoka mikoa ya mara, Mbeya, Singida na kwingineko kama hali itafikia huko ni wazi hawana mapenzi mema na maeneo wanayotoka.

Mkuu kumbuka kila kitu kina mahli pa kuanzia na baadae kitakua na kupanuka lkn mwanzo wake lazima uwepo. Mkuu kutumia ukanda kama silaha ya kukifanya chama makini na kioo cha wapigania wanyonge kutaka kukiua haisadii maana hiyo silaha ni BUTU! angalia wakati linaundwa na kuimalishwa JWTZ chini ya mzee wetu mwl Julius Kambarage Nyerere (Mungu amuweke mahli pema) viongozi waanadamizi wa JWTZ walitokea ukanda wa Musoma, kwa hiyo tusema mwl alifanya makosa? Angalia JWTZ ilivyo sasa! Acha kutumia akiri duni ndugu yangu
 
Mnyukano mkali unaoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri ni baina ya kundi ambalo halitokei kaskazini na watu wa kaskazini(SLAA, LEMA, MBOWE, MNYIKA, n.k) wanaoamini kuwa chama kiliasisiwa kaskazini, kikalelewa kakskazini na pengine wana imani kuwa bila ya watu wa kaskazini CHADEMA hakitakuwepo tena.

Ombi langu ni viongozi wengine wa CDM ambao hawatokei kaskazini(mimi namjua HECHE peke yake kwa sababu ni ndugu yangu) waje waseme, hii nguvu waliokuja nayo akina LEMA kama zina chembechembe za u-kaskazini au la, na kama ndiyo hivyo hawaoni kama wao kuendelea kuwepo CHADEMA wanasaliti wenyeji wa mikoa kwa vile na wao wanawahitaji kuwapigania?

Waache kufanya kazi za ujenzi wa chama wakajibu hate speech za waliofilisika kisiasa?
 
Tatizo letu humu ni wataalamu sana wa kutaka ubadilisha mada hata kama zina hoja za msingi, siyo wote wenye upofu, vichwa vya magzeti yote na mitandao ya kijamii ni LEMA, ZITTO MBOWE n.k. mnakiua chama kwa kukwepa kujadili mada ambazo zinajaribu kuwaweka kwenye mstari.

Then wakishakanusha,what next?.mada zingine ni za kipuuzi na hazifai kujadiliwa. Badala ya kutazama ukweli ni upi,je walioadhibiwa ama kutuhumiwa kweli hawajatenda hayo makosa?.kwa nini mnakimbilia kutazama kanda na ukabila badala ya uhalisia? HEBU NAOMBA MWENYE UWEZO HUMU WA KUTUWEKEA MAKALA MOJA YA MWANAKIJIJI ISEMAYO"HUU UENZETU UTATUMALIZA" MAKALA HII ILICHAPWA KWENYE TANZANIA DAIMA LA TAR.14.08.2013 JUMATANO.PENGINE ITAWASAIDIA WATU KUELEWA NINI WAFANYE ANAPOTUHUMIWA MTU WA AINA WANAEFANANA NAE,badala ya kukimbilia na kujificha kwenye vichaka vya ukanda,udini,ukabila n.k.
 
Kweli kabisa, Hawa watakuwa wameacha kupigania maslahi ya mikoa yao.

Ndugu,kama ccm kuna watu wanapigania maslahi ya mikoa yao,huku hawapo. Chadema hatuna watu wa namna hiyo,tunapigania maslahi ya Tanzania kama nchi moja.full stop.
 
Mkuu kumbuka kila kitu kina mahli pa kuanzia na baadae kitakua na kupanuka lkn mwanzo wake lazima uwepo. Mkuu kutumia ukanda kama silaha ya kukifanya chama makini na kioo cha wapigania wanyonge kutaka kukiua haisadii maana hiyo silaha ni BUTU! angalia wakati linaundwa na kuimalishwa JWTZ chini ya mzee wetu mwl Julius Kambarage Nyerere (Mungu amuweke mahli pema) viongozi waanadamizi wa JWTZ walitokea ukanda wa Musoma, kwa hiyo tusema mwl alifanya makosa? Angalia JWTZ ilivyo sasa! Acha kutumia akiri duni ndugu yangu
Kumbe pakuanzia ni kwa shonza,mtela,mwigamaba,zito,shibuda na wengine wa aina hii sijui kama wewe ni muumini wa demokrasia pengine wewe ni mnufaika wa hawa wanaowanyanyasa hawa watu na kujiita wao ni miungu watu kwenye jamii na chadema kwa ujumla lakini wanajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili.
 
Bado sijaelewa mantiki ya watu wa kaskazini kuandamwa.wanachukua ruzuku na kuipeleka kwao?wanapigania kujitenga kwa kaskazini?au hawana uwezo wa kuongoza?
 
ni aibu kwa vijana wa ccm kila kitu wanashika...na kufanya mtaji wa kisisa....with cheap comment....lema kamatieni hapo hapo....CDM si CCM kuchekeana chekeana tu kama walevi.....CDM ni chama ambacho...nyuma yake kunawatu wamepoteza maisha , kuwa maskini na kuwa vilema....hakuna kuchekeana chekeana kama ccm....na kama nape ndo anawalipa buku saba kwa mambo ya kitoto kama haya basi anafuja hela ya chama....division 5
 
hivi ni vigezo gani mnatumia kuutambua ukabila na ukanda?
 
Back
Top Bottom