Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Mgeni alikua anakula mtoto akamwambia Mama huyu mgeni anakula sana mchele wetu utawahi kuisha 🀣
 
mie nshawah kulazwa chumba ki1 na kuku na bata🀣🀣 asbui nkaulz hamna gest hap karib ili nilale izo siku mbil zilobakia uku nwe nakuja kula tu nakushinda wenyej wakaw wamehis ktu wakaniulz kwan vp nkawqambia hapn uwa nahitj utuliv nkilala ooh wakajiongez wakanmbia bas anko leo utalala nyumba kubw watoto watalala banda la uwan nkalala pazur atlist bt swez sahau day1 yn bata wanatmbea kweny net alaf godor lipo chin yn mixa km utitir ikanfany had leo kwendag kutembea kwa ndug mie nadra sn labd msiba harus ten sio sehem kulala uko uko
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…pole
 
Ktk maisha mi nlijifunza kitu kimoja muhimu sana tutafute pesa.
Pesa inaheshimisha sana jitaid sana km ww huna pesa bas utoke familia yenye pesa hii inasaidia sana

Ni ndugu wachache sana wanaweza mletea roho mbaya mtu mwenye pesa akiwatembelea

Ukiwa na pesa ukitangaza safari nakuja dar unatoka mkoa kila ndugu atataka ufikie kwake sabu wanajua watafaidika na uwepo wako.
Dharau na mateso meng tunayokutana nayo ugenini huletwa na kipato ata ukienda kwa ndugu tajiri ila na ww unakipato chako kizur ni ngumu sana kudharaulika
 
Wengine wanaenda ugenini kutafuta na kuanza maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…