Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Mkuu hiyo Stori ya shangazi mimi ndiyo niliyeleta kisa hicho Kwa kweli sitokuja kusahau over my died body. Yaan mgeni Mme WA shangazi anauliza mmemtoa wap huyu mgeni! Mtoto akajibu ndugu Yake na mama, Mme anajisemea tena yaan analetaleta watu ovyoovyo Tu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญyaan mm WA ovyoovyo๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
....nilikuwa na njaa sana ,mgongoni nina begi la madaftari ,nilipoingia pale uwani ninamuona shemeji anaweka sinia la ubwabwa chini katika mkeka huku akifuatwa na binti yake mdogo mkononi akiwa na bakuli la mboga,aliponiona tu alikunja uso na akaitikia salamu bila ya furaha na kugeuka haraka mlango wa kuingia ndani na lile sahani la "ubweche"..roho iliniuma mno huku nikiwa na njaa na kiukweli nilipitia hapo kwao kwa lengo la kupoza njaa yangu....

Imepita miaka zaidi ya 10...amesahau ila nikiwa nacho shida zake ndogondogo ninamtatulia....

#Tutende Wema ,Kesho ni fumbo[emoji7]
 
Inasikitisha kwakwel
 
Ubarikiwe sana
 
Hata sitaki kukumbuka dah! Wenye wtoto jitahidini kulea watoto wenu wenyewe na sio kwa kuwaacha kwa ndugu au jirani . Mambo mengine hata nikikumbuka ni kama childhood trauma. Very disturbing kwa kweli.
...am sorry [emoji7]
 
Sjawai kukumbwa na fedheha yoyote ugenini

Ila pale home Kuna watoto Wa aunt ilikuwa likizo akaja mgeni si wakamwambia anakula sana...aibu niliona mm๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Beki tatu aligoma kunifungulia mlango. Na mabegi yangu nikatamani nigeuze sema ilikua mbali mkoa.
Kaniambia boss wake kamwambia asimruhusu mtu kuingia ndani.
Nilikaa nje ya fence mpaka mwenyeji wangu alivyorudi kutoka job ndio nikazama ndani.
..hana kosa
 
Noma sana mkuu๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ