Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

Tatizo mkuu sio kila mmoja limbwata linampiga sisi wengine tumepikwa
...uchawi wa mapenzi ni habari nyingine...hata mganga konki mwenye tiba za mapenzi inapofikia "kuelekezewa yeye mashambulizi" basi limbwata linaweza kupenya kirahisi tu...[emoji1787]
 
Maza mzungu sana!
 
Nakumbuka likizo moja ya advance niliamua kupita kwa brother sio mbal sana na nyumban. Nilienda ili nipate ujuru wa kupata vyombo na mjani wa uzima. Niliwanunulia na debe la mchele, unga na mafuta lita 5 ili nisiwe mzigo sana kwao. Sasa ile nimekaa kama wiki ivi shemeji akaanza visa mara kuniambia nimuoshee vyombo wakat ana watoto wakike wakubwa tu. Iyo siku akajichanganya kuuuliza lini nitaenda nyumban,
Nikasema shemeji leo ndo nilipanga kuenda vile vitu nimekuja navyo vilikua kwa ajil ya nyumban kwaiyo navyo nafungasha.
Shemeji jicho lilimtoka mana walikua hawajajipata kimaisha na alishaanza kuita wadogo zake yote kwa ajil ya uhakika wa msos.
 
Ila maisha haya noma, najifunza kitu
 
Huu Uzi ni Kwa wasio na Hela tu wataujibu vizuri maana dharau huwa zinawafuata hata mijusi ikikaa juu ya mti inawadondokea Kwa dharau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna principle moja naona ni nzuri, ukiitumia ndani kwako inaweza kupunguza matatizo madogo.

Akitaka kuja ndugu yangu, ampigie wife kumwambia anategemea kuja, mimi hata asiponiambia akanishukiza sina shida, ila wife ajue mapema...inapunguza maneno.
Uko sahihi kabisa.

Mimi nikiwa naenda kwa Ndugu, wengi wao huwa nawapa taarifa wake zao. Waume zao watanikuta tu nishafika na hna lolote baya litakuwepo. Pia kuna baadhi ya Ndugu ambayo taarifa nawapa waume badala ya wake zao na hamna lolote litakaloharibika.

Jambo la muhimu ni kuijua familia ili uweze kujua nani ni wa kumpa taarifa pindi ukitaka kwenda. Lakini asilimia kumbe kwenye familia yeyote hakikisha unaweka maelewano na mwanamke kwenye hiyo Familia.
 
Kuna hii ya wazazi kutengana alafu kila mmoja akaingia kwenye ndoa nyingingine. Hao watoto wananyanyasika sana kiakil mda mwingine hadi kimwil. Yan unakuta kwa wazaz wote anaishi kama yupo ugenini. Hili swala linaumiza liangaliwe sana
 
Kumbe ndio maana huwa nasubiri ufike hadi nasinzia? Eh
Pole b...
Lols! Siku hizi hawanipati hao wapuuzi b..., na-request tu na naoneshwa njia kabla na bei. Zamani hawa wahuni walifanya vile ili namba za KM ziwe nyingi akutoze hela nyingi.

Ova
 
Unaonyesha rangi halisi ya jinsi unavyoishi na huweki mahitaji ndani. Huna fridge . Shida kubwa sana maisha yetu haya.
 
Lols! Siku hizi hawanipati hao wapuuzi b..., na-request tu na naoneshwa njia kabla na bei. Zamani hawa wahuni walifanya vile ili namba za KM ziwe nyingi akutoze hela nyingi.

Ova
Nimecheka mno, jamani! Hadi siku moja nilikuuliza kwani ni mbali sana? Kama unakumbuka.
Pole sana b..., ugeni mbaya.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna hii ya wazazi kutengana alafu kila mmoja akaingia kwenye ndoa nyingingine. Hao watoto wananyanyasika sana kiakil mda mwingine hadi kimwil. Yan unakuta kwa wazaz wote anaishi kama yupo ugenini. Hili swala linaumiza liangaliwe sana
Kabisa dear
 
Exactly
 
Jana nikiwa kwenye daladala dada wa makamo kwenye 36 hadi 37 alinionesha dharau sana, akaniambia wewe baba geukia huko. Nikamuangaliaaa nikamjibu dada kwa nini unanionea?

Nikapata sitti ya nyuma yake, kushoto yeye akapata yakulia nikatoa simu yangu nikaperuzi..akaniangaliaa kwa jicho flan la wizi, alipoona sina tym nae akawa anaangalia, baadae nikawa wa kwanza kushuka akaniangalia mimi nikawa na smile tu..sasa sijui anawaza nini
 
Noma sana mkuuπŸ˜†
Mzee wake alikuwa na uwezo sasa akaona ndugu katoka kijijini akija town ukamweka kwenye godoro laini chakula cha kushiba tena biriani na mikuku anaweza asiondoke πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kuna watu wana roho ngumua aisee.
 
ubaya ubwela 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…