Nakumbuka likizo moja ya advance niliamua kupita kwa brother sio mbal sana na nyumban. Nilienda ili nipate ujuru wa kupata vyombo na mjani wa uzima. Niliwanunulia na debe la mchele, unga na mafuta lita 5 ili nisiwe mzigo sana kwao. Sasa ile nimekaa kama wiki ivi shemeji akaanza visa mara kuniambia nimuoshee vyombo wakat ana watoto wakike wakubwa tu. Iyo siku akajichanganya kuuuliza lini nitaenda nyumban,
Nikasema shemeji leo ndo nilipanga kuenda vile vitu nimekuja navyo vilikua kwa ajil ya nyumban kwaiyo navyo nafungasha.
Shemeji jicho lilimtoka mana walikua hawajajipata kimaisha na alishaanza kuita wadogo zake yote kwa ajil ya uhakika wa msos.